Bunge Kutumia zaidi ya MILIONI 500 kutengeneza FIMBO..

Acha utani?! Najua unatania tu au watakua wanatania tu, unajua mle ndani kuna watu wa kila aina mabubu, wanasiasa, waekti muvi, wakulima sijui wametoka kijiji gani, wafugaji lakini wenyewe hawa hami hami ndo mana wako pale, viongozi wa dini naomba waongoze ibada kuwaombea viongozi na serikali. Kwani sisi tunataka fimbo au katiba?'?'!!! kwani katiba yenyewe si kumbukumbu tosha, hili la kutengeneza fimbo ni wazo la wajumbe wa bunge la katiba au ni serikali?!? Tayari kuna mnuko wa ufisadi, jamaa wana mbinu sana. Hiyo fimbo ndo nini sasa, au ndo maishara ya kishetani!
 
Yaani hii kama ni kweli basi kiboko, kweli wanaotuongoza WAGONJWA wa AKILI...LOL.....Balaaaa...
 
Mlitaka katiba kubalini na gharama zake hivi tume ya Waryoba imetumia shilingi ngapi
 
Fimbo ya nini tena kama fimbo muhimu tuna mbao nyingi tu Tabora wanaweza kuchonga hata fimbo ya mninga.
 
Alafu Mkuu kumbuka sio Moja wanataka Siwa Mbili Moja ya Znz na Nyingine ya Tanganyika kama Kumbukumbu.
 
Hawa wanaumwa me nilishawahi sema wangejua maisha tunayoishi huku mtaani
 
Nchi hii ina viongozi wajinga wananchi nao wajinga basi wote tumekutana wajinga..kama ni kweli hii kitu basi hata Mungu atatuhukumu kwa ujinga wetu wa kukubali ujinga wa viongozi wetu ambao ni wajinga wakiongozwa na chama cha wajinga

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kweli nchi wananchi wajinga ndo maana wanashinda mtandaoni kushangilia viongozi wao kutembelea chopa na mashangingi wakt wao ht nauli ya daladala hawana. Hivi kalenga zimeenda chopa ngapi?
 
Sio Mbao tu Mkuu, Wachonge cha Mpingo, Kuna wataalamu kibao wazuri sana wa kuchonga kitu kama hiyo.

Gharama ya siwa mbili ni sawa na kukodi chopa mbona sijackia mkimlalamikia Mbowe kwa matumizi mabaya make badala yake mngenunua ht minibus kuwafika kwenye mikutano yenu achane unafiki
 
Kujikweza tu!!! Hivi hiyo siwa ina maana gani? Huku ni sawa tu na kuabudu sanamu.

Yaani ambulance wala madawa hakuna hospitalini lakini watu wazima na akili zao wanalilia siwa la gharama namna hiyo. Siwa litawasaidia nini hata kama liaandikwa majina yao.

Mimi hata lile siwa la Bunge huwa silielewi; naliona kama mambo ya matambiko vile yaani uchawi uchawi tu.

Kama wanataka siwa si watumie lile la Bunge japokuwa nalo sioni kwa nini liwepo.

Hakika tumefika wakati tuwe na siwa la Mpingo kama ulivyosema mkuu.

Hivi hatuwezi kuji organize watu kama coaster tatu hivi tuingie pale tutembeze kichapo ili wajue ni kiasi gani tunaumia kwa upuuzi wao huu!? Nawaza tu.
 
Kweli nchi wananchi wajinga ndo maana wanashinda mtandaoni kushangilia viongozi wao kutembelea chopa na mashangingi wakt wao ht nauli ya daladala hawana. Hivi kalenga zimeenda chopa ngapi?
Ujinga mwingine huo. Hiv utawezaje kulinganisha hiv vitu viwili tofauti?
 
Hoja hapa ni gharama ya matumizi kununua siwa 500milioni ni sawa na kukodi chopa500milioni km tunaweza kutengeneza siwa kwa mpingo basi ht kampeni tunaweza kutumia Pikipiki ya Honda ili kutumia pesa ya mlipakodi.
 
Kweli nchi wananchi wajinga ndo maana wanashinda mtandaoni kushangilia viongozi wao kutembelea chopa na mashangingi wakt wao ht nauli ya daladala hawana. Hivi kalenga zimeenda chopa ngapi?

kamuulize mama yako....m.
 
Wale wanaoandaa maandamano Mara kwa Mara serikali inapokosea wako wapi?au hadi mkuu atamke "wapigwe tu" ishu za matumizi mabaya hawahusiki?
 
Hoja hapa ni gharama ya matumizi kununua siwa 500milioni ni sawa na kukodi chopa500milioni km tunaweza kutengeneza siwa kwa mpingo basi ht kampeni tunaweza kutumia Pikipiki ya Honda ili kutumia pesa ya mlipakodi.

verry stupid.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…