TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Nchi hii Viongozi wanachojua ni kutumia tu pesa kichwani ubunifu ni ziro.Hivi kwanini wasijenge mnara halafu wa-engrave majina ya Wabunge wote walioshiriki kutengeneza Katiba?Kama wanataka kutengeneza fimbo huku mitaani kuna mafundi vinyago wengi wanaweza kutengeneza,Waache kutumia hela zetu za kodi vibaya katika mambo yao ya kipuuzi puuzi.