zambez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 2,071
- 255
Hivi hatuwezi kuji organize watu kama coaster tatu hivi tuingie pale tutembeze kichapo ili wajue ni kiasi gani tunaumia kwa upuuzi wao huu!? Nawaza tu.
uko sawa mkuu.....ndo dawa yao Yao......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hatuwezi kuji organize watu kama coaster tatu hivi tuingie pale tutembeze kichapo ili wajue ni kiasi gani tunaumia kwa upuuzi wao huu!? Nawaza tu.
Sijui unaongelea Hoja ikiyopo au unajaribu kuleta unachoamini utapindisha maana ya hoja?!??Kweli nchi wananchi wajinga ndo maana wanashinda mtandaoni kushangilia viongozi wao kutembelea chopa na mashangingi wakt wao ht nauli ya daladala hawana. Hivi kalenga zimeenda chopa ngapi?
Sijui unaongelea Hoja ikiyopo au unajaribu kuleta unachoamini utapindisha maana ya hoja?!??
Mkuu, hata lingekuwa la mwaka mmoja, fimbo ya 1b Tsh ya nini? ya kazi gani?hili bunge ni la muda tu, maximum ni siku 90
fimbo ya nini??
au wameshajisahau?

Chanzo Ni kikao Cha Bunge la KATIBA kinachoendelea Leo wakati asubuhi Mwenyekiti wa Kamati ya Muda ya kutunga kanuni Za Bunge Prop Mahalu aliwakilisha KaZi Yao ya siku Sita kupitia, kuchambua Na kutoa mapendekezo ya kanuni Za Bunge.. Na Mwisho ndipo uundaji wa SIWA (FIMBO) ya Bunge.
Mpaka hapo mnaamini bado Tanzania ni nchi maskini? Hapana ss matajiri wa mali lkn akili ndo tuliiacha mochwari tulipokufa na kufufuka njiani kuelekea makaburini. VIVA BUNGE LA KATIBA......U MADE IT HAPPEN.Nazidi kuamini zaidi Kwamba kuna Mtu/Watu wamesaidia kutengeneza Shimo la Fedha ambazo Ni Nyingi mno zinazosaidia Bunge la KATIBA Kufanya kila inalojisikia kufanya hususani Matumizi ya Fedha pasipo Kujali mustakabali wa maisha ya Leo ya Mtanzania.
Kama Bunge (bila Aibu) Leo wanajadili kutengeneza FIMBO Kama Kinyago flan wanachokiita SIWA, Yenye uzito wa kilo Nne Na Nusu ya Dhahabu (4,500gram Kama gram moja Ni 97,000/= hapo tuna (97,000 x 4,500 = 436,500,000) hapo ukitia ufundi (Artist ambayo Ni 1/3 ya gharama hiyo nadhani Hii Ni Fedha ya Kutisha mno.. Naskia PATAKUWA NA SIWA MBILI hapo Ni zaidi ya Bilioni Moja..
Nadhani Kama wanaamini FIMBO Ni muhimu watengeneze FIMBO ya Mbao hasa mpingo Yenye thamani ya Chini ya Laki Nane ambayo in mbao ya Tanzania. Na endapo wanataka Alama Za historia ujengwe mnara Kama alivyoshauri Professa Tibaijuka ambao hauta gharimu zaidi ya Milioni 20.
Kama wakiitengeneza hiyo SIWA YA dhahabu ya zaidi ya Milioni 500 wakaandika hayo majina yako ...najiuliza nani atalinda dhahabu hiyo Baada ya Bunge hili. Je itahifadhiwa Ndani ya CHUMBA imara (STRONG ROOM) nani Atasoma majina hayo. Sidhani Kama wabunge wanawaza Ni Nini wanakijadili Unless watufafanulie huyo aliyewatengenezea shimo la Fedha ndiye anayewalazimisha Kufanya matumizi hayo kufuru..!!!!!
---------
Punguza kidogo jazba Ni SIWA si Siime, Wazee wa Kichaga wakikasirika huwa wanaongea kipare..!Naomba niulize, na hiyo ya kutengeneza siime ni mojawapo ya shughuli zilizo ainishwa kwenye sheria iliyoanzisha bunge hilo au inatokana na kutumia vibaya kile kipengere cha sheria hiyo kinachotoa madaraka kwa bunge hilo kufanya jambo lolote ambalo kwa maoni yao litaonekana linafaa! Madhumuni ya kuuliza swali hilo, ni kwamba mimi nimeanza kuwa na wasiwasi juu ya waledi na uadilifu wa bunge hili; kwani tangu lianze kazi yake linatoa kipaumbele kwa mambo ambayo haina uhusiano kabisa na kazi lililotumwa, lilianza kuzungumzia posho, sasa hivi linakuja na hili suala la siime- eti kwaajili ya kuweka kumbukumbu ya bunge hilo kwa vizazi na vizazi! Hivi kweli kumbukumbu ya bunge hili inaweza kutokana na kutengeneza siime ya mabilioni ya fedha au kuipatia nchi yetu katiba nzuri inayokidhi matakwa ya wakati huu pamoja na miaka mingi ijayo. Tuchukue mfano wa nchi ya marekani; umaarufu wa nchi hiyo umechangiwa kwa kiasi kikubwa na katiba nzuri iliyobuniwa na wakina Jefferson; kutokana na mchango wao huo kwa taifa lao, wataendelea kuwa kwenye kumbukumbu za mashujaa wa taifa hilo- na hilo haliitaji siime. Jambo lingine ninalotaka niulize, hivi hili bunge halina bugeti! maana naona liko kwenye kujitanua tu kama kwamba hawana ufinyo wa bajeti,
Mkuu, hata lingekuwa la mwaka mmoja, fimbo ya 1b Tsh ya nini? ya kazi gani?
Tumelogwa sisi sio bure.
Nazidi kuamini zaidi Kwamba kuna Mtu/Watu wamesaidia kutengeneza Shimo la Fedha ambazo Ni Nyingi mno zinazosaidia Bunge la KATIBA Kufanya kila inalojisikia kufanya hususani Matumizi ya Fedha pasipo Kujali mustakabali wa maisha ya Leo ya Mtanzania.
Kama Bunge (bila Aibu) Leo wanajadili kutengeneza FIMBO Kama Kinyago flan wanachokiita SIWA, Yenye uzito wa kilo Nne Na Nusu ya Dhahabu (4,500gram Kama gram moja Ni 97,000/= hapo tuna (97,000 x 4,500 = 436,500,000) hapo ukitia ufundi (Artist ambayo Ni 1/3 ya gharama hiyo nadhani Hii Ni Fedha ya Kutisha mno.. Naskia PATAKUWA NA SIWA MBILI hapo Ni zaidi ya Bilioni Moja..
Nadhani Kama wanaamini FIMBO Ni muhimu watengeneze FIMBO ya Mbao hasa mpingo Yenye thamani ya Chini ya Laki Nane ambayo in mbao ya Tanzania. Na endapo wanataka Alama Za historia ujengwe mnara Kama alivyoshauri Professa Tibaijuka ambao hauta gharimu zaidi ya Milioni 20.
Kama wakiitengeneza hiyo SIWA YA dhahabu ya zaidi ya Milioni 500 wakaandika hayo majina yako ...najiuliza nani atalinda dhahabu hiyo Baada ya Bunge hili. Je itahifadhiwa Ndani ya CHUMBA imara (STRONG ROOM) nani Atasoma majina hayo. Sidhani Kama wabunge wanawaza Ni Nini wanakijadili Unless watufafanulie huyo aliyewatengenezea shimo la Fedha ndiye anayewalazimisha Kufanya matumizi hayo kufuru..!!!!!
---------
Kwa maana wanachunguzachunguza sana mnavyokwiba vijisent kiduchu tu Kama hivyo badala ya kukazania kukodolea vitabu tu.. !Wakati mwingine napata mashaka na akili za wasomi tulionao Tanzania.