Bunge Kutumia zaidi ya MILIONI 500 kutengeneza FIMBO..

Hivi hatuwezi kuji organize watu kama coaster tatu hivi tuingie pale tutembeze kichapo ili wajue ni kiasi gani tunaumia kwa upuuzi wao huu!? Nawaza tu.

uko sawa mkuu.....ndo dawa yao Yao......
 
Hii ndo ile tunasema "Maskini akipata wazo la kwanza ni kuweka heshima Bar"..people are dying wengine ni maskini bcoz ya hzi project zao ambazo ni kama Cancer kwenye maendeleo ya Nchi!
 
kwa kweli serikali yetu ina hela za kuchezea. hizo hela zingetumiwa vizuri zingeleta maendeleo makubwa katika kila sekta ya uchumi na kuundoa kabisa tatizo la umaskini.
 
Kweli nchi wananchi wajinga ndo maana wanashinda mtandaoni kushangilia viongozi wao kutembelea chopa na mashangingi wakt wao ht nauli ya daladala hawana. Hivi kalenga zimeenda chopa ngapi?
Sijui unaongelea Hoja ikiyopo au unajaribu kuleta unachoamini utapindisha maana ya hoja?!??
 
Hivi hawa jamaa wameshasahua kuwa walimu wanawadai!
 
hili bunge ni la muda tu, maximum ni siku 90

fimbo ya nini??

au wameshajisahau?
Mkuu, hata lingekuwa la mwaka mmoja, fimbo ya 1b Tsh ya nini? ya kazi gani?
Tumelogwa sisi sio bure.
 
[h=5]SOURCE: JamiiForums
[/h]Rais Jakaya Kikwete akutana na marais wastaafu; Mzee Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa!

- Ni katika harambee iliyokuwa inaendeshwa na rais Kikwete iliyofanyika Golden Tulip. Harambee hiyo ilifanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi million 600 kwa ajili ya vifaa vya kitabibu vya kisasa kwa ajili ya hospitali ya Mhimbili (MNH) kitengo cha ‘Emergency Unit and ICU'.




NOTE: hawa jamaa walendesha harambee na kupata 600m, kiasi ambacho ni sawa na allowance za wabunge wa BM kwa siku tatu tu.
Kichekesho kabisa kabisa.

Hii nchi Mazafaka sana.
 

Siyo fimbo bali ni kichwa cha siwa!!!
 
Mpaka hapo mnaamini bado Tanzania ni nchi maskini? Hapana ss matajiri wa mali lkn akili ndo tuliiacha mochwari tulipokufa na kufufuka njiani kuelekea makaburini. VIVA BUNGE LA KATIBA......U MADE IT HAPPEN.
 
Kuna mambo yanafanyika tanzania tu,huwezi kusikia yamefanyika sehemu nyingine yoyote ile duniani.Hii nchi ina viongozi wa jabu sana.
 
Naomba niulize, na hiyo ya kutengeneza siime ni mojawapo ya shughuli zilizo ainishwa kwenye sheria iliyoanzisha bunge hilo au inatokana na kutumia vibaya kile kipengere cha sheria hiyo kinachotoa madaraka kwa bunge hilo kufanya jambo lolote ambalo kwa maoni yao litaonekana linafaa! Madhumuni ya kuuliza swali hilo, ni kwamba mimi nimeanza kuwa na wasiwasi juu ya waledi na uadilifu wa bunge hili; kwani tangu lianze kazi yake linatoa kipaumbele kwa mambo ambayo haina uhusiano kabisa na kazi lililotumwa, lilianza kuzungumzia posho, sasa hivi linakuja na hili suala la siime- eti kwaajili ya kuweka kumbukumbu ya bunge hilo kwa vizazi na vizazi! Hivi kweli kumbukumbu ya bunge hili inaweza kutokana na kutengeneza siime ya mabilioni ya fedha au kuipatia nchi yetu katiba nzuri inayokidhi matakwa ya wakati huu pamoja na miaka mingi ijayo. Tuchukue mfano wa nchi ya marekani; umaarufu wa nchi hiyo umechangiwa kwa kiasi kikubwa na katiba nzuri iliyobuniwa na wakina Jefferson; kutokana na mchango wao huo kwa taifa lao, wataendelea kuwa kwenye kumbukumbu za mashujaa wa taifa hilo- na hilo haliitaji siime. Jambo lingine ninalotaka niulize, hivi hili bunge halina bugeti! maana naona liko kwenye kujitanua tu kama kwamba hawana ufinyo wa bajeti,
 
Punguza kidogo jazba Ni SIWA si Siime, Wazee wa Kichaga wakikasirika huwa wanaongea kipare..!
 
Mkuu, hata lingekuwa la mwaka mmoja, fimbo ya 1b Tsh ya nini? ya kazi gani?
Tumelogwa sisi sio bure.

kweli aisee

wachukue fimbo pale mwenge kwa wachonga vinyago
 

Wakati mwingine napata mashaka na akili za wasomi tulionao Tanzania.
 
Ile machela ilyombeba Dr Livingston miaka elfu kadhaa iliyopita ipo makumbusho hadi leo na ni ya miti na aina hiyo ya miti bado inapatikana! Kwanini wasiitafte uo mt watengeneze ilo Siwa? Au ni mbinu tu ya kujitengenezea fursa zao! Yani ningekuwa na uwezo ningejifungia mabomu nikafe nao ili liwe fundisho kwa watakaokuja wafanye kaz waache Use***!
 
Wakati mwingine napata mashaka na akili za wasomi tulionao Tanzania.
Kwa maana wanachunguzachunguza sana mnavyokwiba vijisent kiduchu tu Kama hivyo badala ya kukazania kukodolea vitabu tu.. !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…