Bunge Kutumia zaidi ya MILIONI 500 kutengeneza FIMBO..

Nchi hii Viongozi wanachojua ni kutumia tu pesa kichwani ubunifu ni ziro.Hivi kwanini wasijenge mnara halafu wa-engrave majina ya Wabunge wote walioshiriki kutengeneza Katiba?Kama wanataka kutengeneza fimbo huku mitaani kuna mafundi vinyago wengi wanaweza kutengeneza,Waache kutumia hela zetu za kodi vibaya katika mambo yao ya kipuuzi puuzi.
 
Waweke tu jiwe la gangachuma linatosha
 
Katika Rasimu ya Kanuni za bunge la Katiba iliyowasilishwa, imependekezwa kuwepo na SIWA mbili moja itakayokuwa ya dhahabu na uzito wa kilo nne na ya pili ya rangi ya fedha (silver). Gharama ya SIWA hiyo ya dhahabu inakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 400! Nashauri kuachana na wazo hilo na badala yake tutumie alama yoyote inayodumisha utamaduni wetu. Kama ni lazima kuwa na SIWA basi ichongwe kwa kutumia mti wa mpingo au wowote ule badala ya kutumia dhahabu. Hebu tuachane na fikra za kikoloni za kukumbatia SIWA na kujiingiza katika gharama kubwa kwa kitu kitakachotumika kwa siku 90 tu! Shilingi milioni 400 zitakazookolewa zitumike kununua madawati au kujenga zahanati.
 
Kweli mkuu nchi hiyo tayari tenda.wizi mtupu
 
Hata likiwekwa jiwe linatisha hizo zingine ni bange zao
 
Dah hzo pesa bora wapewe walmu tu, maana elmu ya TZ n majanga matupu na hii inasababshwa na kutothaminiwa secta ya elimu,.
 
Kwanza hiyo fimbo ina maana gani hasa kuhusu katiba au bunge,kwa ujumla? Inaongea au??
 
Dah hzo pesa bora wapewe walmu tu, maana elmu ya TZ n majanga matupu na hii inasababshwa na kutothaminiwa secta ya elimu,.
.
Tanzania kila Mtu ana matatizo ambayo Serikali haijui
 
Je hizo 500mln zilidhinishwa/liwa?
Maana muda huu wa Uchaguzi madudu kama hayo ni muhimu wapiga kura kuyajua na kufikiria pesa hizo zingewaokoa ndugu zao wangapi waliofariki kwa kuokosa dawa mahospitalini!

CC Eng.Y.Bihagaze
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…