Tetesi: Bunge Kuwaka Moto hadi Zanzibar ijadiliwe kwa Dharula

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Wadau habari nilizopata kutoka Dodoma hivi punde ni kuwa siku ya Jumanne Bungeni Dodoma moto utawaka kwani kuna hoja itatolewa ya kujadili suala la Zanzibar kama suala la dharura na kuwa shughuli zingine zisiendelee mpaka hilo lipatiwe ufumbuzi kwanza.

Hoja hiyo pamoja na kutoka upinzani lakini habari ni kuwa wapo wabunge wengi wa ccm wanaiunga mkono bila kujali mikakati waliyopewa kikao cha Kinana majuzi.

Wabunge hawataki uvunjifu wa amani utokee ndio eti hatua zichukuliwe, kwani kimya cha watu visiwani sio kuwa hali ni shwari.

Nimeileta kama nilivyoisikia kutoka reliable source
 
Wadau habari nilizopata kutoka Dodoma hivi punde ni kuwa siku ya Jumanne Bungeni Dodoma moto utawaka kwani kuna hoja itatolewa ya kujadili suala la Zanzibar kama suala la dharura na kuwa shughuli zingine zisiendelee mpaka hilo lipatiwe ufumbuzi kwanza. Hoja hiyo pamoja na kutoka upinzani lakini habari ni kuwa wapo wabunge wengi wa ccm wanaiunga mkono bila kujali mikakati waliyopewa kikao cha Kinana majuzi.

Kazi ipo!!!!
 
Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....

Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
 
Mpuuzi kweli wewe

Hilo ni Bunge la Tanganyika au La Tanzania...kama kawaida ubaguzi wenu

And you Nicocomp are you ACT Member au CCM member...Mbona tunashindwa kukutofautisha
Nilichoandika kina ukweli........Tanganyika tumevaa koti la muungano.....mimi ni ACT Mzalendo
 
Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....

Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu

Amani ikivurugika Zanzibar hayo yote uliyoyaainisha hapo juu yatakua si lolote kwani bila Amani na Utulivu huko Visiwani hakuna kitakachofanyika huku Bara.
 
Wadau habari nilizopata kutoka Dodoma hivi punde ni kuwa siku ya Jumanne Bungeni Dodoma moto utawaka kwani kuna hoja itatolewa ya kujadili suala la Zanzibar kama suala la dharura na kuwa shughuli zingine zisiendelee mpaka hilo lipatiwe ufumbuzi kwanza. Hoja hiyo pamoja na kutoka upinzani lakini habari ni kuwa wapo wabunge wengi wa ccm wanaiunga mkono bila kujali mikakati waliyopewa kikao cha Kinana majuzi.
Wabunge hawataki uvunjifu wa amani utokee ndio eti hatua zichukuliwe, kwani kimya cha watu visiwani sio kuwa hali ni shwari.
Nimeileta kama nilivyoisikia kutoka reliable source
Naona vijana wa ukawa wamesha jipanga vya kutosha mkuu
 
Attachments

  • 1453360423510.jpg
    1453360423510.jpg
    34.8 KB · Views: 49
Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....

Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
mkuu huu ushauri mpe boss wako Zitto
 
Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....

Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
Upo sahihi kabisa. Lakini hali ya usalama ikiwa mbaya ndani ya sehemu ya muungano itakuwa vigumu kuyafanya yote hayo. Hebu ona ya kule Mtwara tuu kuhusu gas yalivyotusumbua! Na Zanzibar kuiacha bila kuijadili na kupata ufumbuzi ni sawa na kuwa na chui ndani ya nyumba ambaye yuko usingizini na kutegemea atalala daima.
Tusikubali nchi yetu sehemu moja ikageuka kama Somalia, ikifikia hapo hatuta weza kuidhibiti bila damu zetu kumwagika
 
Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....

Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
hapo ndipo utakapoelewa unafiki wa ccm kungangania serikali mbili na umuhimu wa kuwa na serikali tatu.tungekuwa na serikali tatu swala la zanzibar lisinge zungumziwa kwenye bunge la Tanganyika
 
Back
Top Bottom