YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kuna watu wanatazama mambo visivyo kabisaaa... YEHODAYA haoni ukuwa jambo hili na anajiona yuko salama kabisa.... JIRANI YAKO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI...
Utie maji kwa kuongozwa na katiba na sheria.Bunge linaongozwa na katiba sio bla bla
Huwezi kukuta jirani mwanaume anapiga mkewe kamvua nguo zote halafu wewe kidume ukaenda kumpiga ngumi yule jirani mwanaume na kukimbia na mkewe aliye uchi ukatokomea naye gizani eti kumwokoa kesho lazima ukutane na kesi kuwa ulifuniwa ukampiga mwenye mke mkakimbia