Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #81
Acha ujanja wa kitoto huwezi kuni quote post yangu kwa kuchukua mistari miwili uliyoipenda ili upotoshe na mambo yako ya uhawara.Kuna kitu hujijui kuhusu sheria ya uchaguzi.Kazi ya tume ni pamoja na kujumlisha matokeo.Huwezi kulala na hawara yako kitandani ukachukua matokeo toka vituoni na kuanza kujijumlishia na hawara yako halafu uende kutangaza kuwa kwa mujibu wangu na hawara yangu matokeo tuliyojumlisha ni haya! Tume itoe ya kwao ilinganishe na yale tulliyojumlisha kitandani na hawara yangu!!!!!! Tume ndie mjumlishaji pekee anayetambulika kisheria sio MHaini SEIF au mtu mwingine yeyote.
Tume ingetoa yake kwanza ndipo kama ana dispute yeye ndie alinganishe matokeo yake na ya tume sio tume ilinganishe matokeo yake na Yale ya Seif SHARRIF HAMAD.Mgombea hawezi kuwa yeye mpigiwa kura,mhesabu kura na mjitangaza mwenyewe kama mshindi ndicho Seif ALICHOFANYA.
Hilo ungemuuliza Jecha, jee unawezaje kulala na hawara yako kada wa ccm na akakuambia kesho kafute uchaguzi nawe unafuta wakati mamlaka huna?