Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kwa spika Ndugai wasitegemee hoja ya Zanzibar kujadiliwa bungeni na uelewe Zanzibar haitakuwa na mwakilishi wao kwenye kikao hicho kwani wale watano waliokuwa wamechaguliwa na uchaguzi kufutwa baadae hawawezi kujumuika bunge la muungano. Hivyo tegemea spika kuwaambia hoja hiyo ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar. Wakingangania spika hatakuwa na simile ya kuwatoa nje. Watoe hoja binafsi nyingine ila hiyo hofu ni hiyo.
Hata mimi najua kiti cha Ndugai na Tulia kitakuwa zaidi ya kile cha Makinda na wala watu wasitegemee haki inayoombwa kwa kucheka