Kazi ipo!!!!Wadau habari nilizopata kutoka Dodoma hivi punde ni kuwa siku ya Jumanne Bungeni Dodoma moto utawaka kwani kuna hoja itatolewa ya kujadili suala la Zanzibar kama suala la dharura na kuwa shughuli zingine zisiendelee mpaka hilo lipatiwe ufumbuzi kwanza. Hoja hiyo pamoja na kutoka upinzani lakini habari ni kuwa wapo wabunge wengi wa ccm wanaiunga mkono bila kujali mikakati waliyopewa kikao cha Kinana majuzi.
Wabunge hawataki uvunjifu wa amani utokee ndio eti hatua zichukuliwe, kwani kimya cha watu visiwani sio kuwa hali ni shwari.
Nimeileta kama nilivyoisikia kutoka reliable source
Bunge linataka kufanya kazi za ZEC?
Nilichoandika kina ukweli........Tanganyika tumevaa koti la muungano.....mimi ni ACT MzalendoMpuuzi kweli wewe
Hilo ni Bunge la Tanganyika au La Tanzania...kama kawaida ubaguzi wenu
And you Nicocomp are you ACT Member au CCM member...Mbona tunashindwa kukutofautisha
Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....
Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
Kwa hiyo bunge linaichukua hiyo kazi?ZEC imeshindwa kufanya kazi...walibaki wanapigana tu
Naona vijana wa ukawa wamesha jipanga vya kutosha mkuuWadau habari nilizopata kutoka Dodoma hivi punde ni kuwa siku ya Jumanne Bungeni Dodoma moto utawaka kwani kuna hoja itatolewa ya kujadili suala la Zanzibar kama suala la dharura na kuwa shughuli zingine zisiendelee mpaka hilo lipatiwe ufumbuzi kwanza. Hoja hiyo pamoja na kutoka upinzani lakini habari ni kuwa wapo wabunge wengi wa ccm wanaiunga mkono bila kujali mikakati waliyopewa kikao cha Kinana majuzi.
Wabunge hawataki uvunjifu wa amani utokee ndio eti hatua zichukuliwe, kwani kimya cha watu visiwani sio kuwa hali ni shwari.
Nimeileta kama nilivyoisikia kutoka reliable source
Huu ni mkwamo...Ulioletwa na Kungang'ania madaraka kwa CCM.....Bunge ni sehemu ya kuihoji serikali ....Hivyo Bunge lina wajibu wa kupata majibu wanapoyahitaji na kuielekeza serikali nini cha kufanyaKwa hiyo bunge linaichukua hiyo kazi?
mkuu huu ushauri mpe boss wako ZittoSisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....
Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
Upo sahihi kabisa. Lakini hali ya usalama ikiwa mbaya ndani ya sehemu ya muungano itakuwa vigumu kuyafanya yote hayo. Hebu ona ya kule Mtwara tuu kuhusu gas yalivyotusumbua! Na Zanzibar kuiacha bila kuijadili na kupata ufumbuzi ni sawa na kuwa na chui ndani ya nyumba ambaye yuko usingizini na kutegemea atalala daima.Sisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....
Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu
hapo ndipo utakapoelewa unafiki wa ccm kungangania serikali mbili na umuhimu wa kuwa na serikali tatu.tungekuwa na serikali tatu swala la zanzibar lisinge zungumziwa kwenye bunge la TanganyikaSisi watanganyika tuna shida ya barabara, maji, umeme, huduma bora za afya na elimu, masoko ya uhakika, mbinu bora za kilimo na kuongeza tija, ajira kwa vijana na mambo meengi, wabunge tumewaagiza mkatutekelezee haya.....
Miaka mitano sio mingi.....shauri yenu