Tetesi: Bunge Kuwaka Moto hadi Zanzibar ijadiliwe kwa Dharula

Tanzania Mungu anaipenda sana Wako wachache ndani ya ccm wanaotaka kumwaga damu za wengi pasipo sabubu...ati uchaguzi unarudiwa na wagombea walele wakiwapo wa cuf waliogomea uchaguzuli huo. Huu nu uhuni....zaidi sana wakighaidi
 
safi sana. maamuzi ya wazanzibar yaheshimiwe. tofauti na hapo taifa hili halitafika kokote.
 
Tunawaomba wabunge wetu wote simamieni ukweli bunge lisijadili chochote mpaka hatima ya zanzibar ijulikane.. Nchi haiwezi kuendeshwa kihuni kisa siasa na maslahi ya Ccm.
 

Poor you.Hakuna nchi inayoitwa Tanganyika wewe uko Dunia Ipi. Zanzibar mpaka itakapojitenga ndio unaweza ukadai unachodai vinginevyo ukitaka usipotaka unahusika na mgogoro wa zanzibar.
 
Na
Amani ikivurugika Zanzibar hayo yote uliyoyaainisha hapo juu yatakua si lolote kwani bila Amani na Utulivu huko Visiwani hakuna kitakachofanyika huku Bara.
Nani kakwambia? Mara ngapi wameuana Zanzibar wakati Kawe na Mbagala wanaendelea na kazi zao. Wangapi kule Tarime na Chunya wanafahamu hata Zanzibar ni mnyama gani? Au unataka kusema vijana wa CUF watakuja kufanya fujo huku Bara; si watapigwa?
 
habari hii imekaa poa sana
 
Ni lini mlijitenga na Zanzibar
 
Mkuu yehoyada Kama usemavyo ni kweli kwa nini wale wabunge watano watokanao na baraza la wawakilishi hawapo? Maana bao ni sehemu ya wabunge WA Bunge la JMT. Usiongee mbele ya watu hivyo utachekwa Mkuu!

Wale wabunge wa Zanzibar kazi yao ni kushughulikia na kupeleka bungeni mambo ya muungano ya upande wa Zanzibar kwenye bunge la muungano.Kazi yao si kushughuklia mambo yasiyo ya kimuungano au kubeba hoja za mambo yasiyo ya kimuungano na kuyapeleka bungeni.Kazi ya kushughulikia mambo yasiyo ya kimuungano ni ya wajumbe wa baraza la wawakilishi ambao huyachukua na kuyapeleka baraza la wawakilishi.Hilo la uchaguzi wa Zanzibar halimuhusu kabisa mbunge wa Zanzibar aliyeko bunge la muungano.Umeelewa????
 
Tunawaomba wabunge wetu wote simamieni ukweli bunge lisijadili chochote mpaka hatima ya zanzibar ijulikane.. Nchi haiwezi kuendeshwa kihuni kisa siasa na maslahi ya Ccm.
Swala la uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Wazanzibari walilikataa na halimo kwenye katiba ya muungano.Ni la wazanzibari wenyewe.Bunge likilijadili litakuwa limevunja katiba kulijadili jambo ambalo si la muungano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…