Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha kwanza, Oktoba 29, 2024

Bunge la 12..

Mkutano wa 17...

Kikao cha kwanza...

Ufafanuzi pls!
 
Bunge lazima lijali zaidi wananchi kuliko Chochote kama ilivyo Kenya
 
Bunge lazima liwe na uzalendo kwani pesa wanazotumia ni nyingi sana
 
Bunge lazima liwe ni mchanganyiko wa vyama ili kupunguza ukada
sasa wenngine hata kujiandikisha hawajajiandikisha unategemea watagombeaje halafu ndiyo wakwanza kusema wameibiwa kura wakati hawakupiga hizo kura
 
Kikao cha ccm hiki. Hakuna anayekifuatilia.
 
Bunge lazima lijue Watanzania hawafurahishwa na mienendo yake hasa ya kubebanabebana
 
Bunge lazima liwe na wabunge wenye uelewa na juhudi ya kujisomea sana
 
Bunge lazima liwe na heshima liliyojitengeneza kama I'll livyokuwa kwa Sita na Makinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…