Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha kwanza, Oktoba 29, 2024

Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha kwanza, Oktoba 29, 2024

Kikao cha ccm hiki. Hakuna anayekifuatilia.
usiseme hakuna anyefuatilia tupo milioni 60+ sema wewe hufuatilii umekalia kubet halafu njaa ikiuma unaanza kusema serikali mbaya kumbe hufanyi kazi kila siku umekalia majungu
 
usiseme hakuna anyefuatilia tupo milioni 60+ sema wewe hufuatilii umekalia kubet halafu njaa ikiuma unaanza kusema serikali mbaya kumbe hufanyi kazi kila siku umekalia majungu
Nikweli mwitikio wa Wananchi kufuatilia Bunge ni mdogo sana
 
Tutaangalia Bunge siku nchi itakapokuwa na wabunge, siyo hizi takataka za sasa.
 
sasa wenngine hata kujiandikisha hawajajiandikisha unategemea watagombeaje halafu ndiyo wakwanza kusema wameibiwa kura wakati hawakupiga hizo kura
Ukajiandikishe kwenye uchaguzi ambao watu wanaingia na matokeo?
 

Attachments

  • IMG-20241029-WA0022.jpg
    IMG-20241029-WA0022.jpg
    163.8 KB · Views: 3
Hivi kikao cha Bunge kimeanza. Sina habari kabisa kwa sababu niliisha acha kuangalia kikao cha Bunge mubashara na hata kuisikia tu.
 
Hili siyo bunge Bali ni kikao Cha wavuta bangi wanakusanyika ili kula posho
 
Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma.

View: https://www.youtube.com/watch?v=i2OqSWWMSO0

Hivi bado kuna wanaofuatilia mijadala ya bunge? Niliacha wakati watu mbalimbali wa serikali walipojaribu kutusminisha kuwa kuangalia bunge watu hawafanyikazi, na kwamba bunge live ni gharama, lakini aliyekataza yeye akawa anaonyeshwa kuanzia asubuhi hadi jioni. Jambo lingine ni kuwa bunge la chama kimoja. Tangu wakati huo nikakata tamaa.
 
Dodoma spika wetu anajinafasi anavyotaka. Ila akikutana na wale wababe wa Ukraine anakuwa mpoole
 
Back
Top Bottom