Bunge la Dkt. Tulia lenye Paul Makonda na David Kafulila ndani yake litawaka moto na kuteka mioyo ya watanzania hapo mwakani

lakini hao wabunge machachari wazamani ambao waliwafanya raia hadiwakaenda kibanda umiza kuwaaangalia hujawataja kwenye andiko lako naomba niwajue
Sijui kama Mwashambwa alikuwepo enzi zile lakini kuliwahi kuwa na Mkinga mmoja msomi sana wa kuitwa Tuntemeke Sanga na miamba mengine (Alcardo Ntagazwa, Philip Marmo...) aisee bunge lilikuwa bunge kweli. Au kipindi kile wabunge 59 walipokiwasha kudai serikali ya Tanganyika mpaka Nyerere akawatungia kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania; na kuwatukana. Ndiyo. Ilikuwa lazima watu mkusanyike kusikiliza mirindimo ya majibu ba maswali bungeni....
 
Umekosea hapo uliposema wabunge 59. Ukweli ni kuwa wabunge walikuwa ni 55 na walijiita G55 na miongoni mwao ni Njelu Kasaka.
 
Kafulila Yuko njema sana hata hivyo Makonda anakuja vizuri pia
 
Kafulila ni kweli yuko vizuri katika utendaji Hilo nakubaliana na wewe
 
Kazi na iendelee
 
Bunge lilikuwa ni lile la 9 (6) na 10 (Anna)! Bunge haliwezi kuchangamka bila vyama vya upinzani.
Labda kama Makonda na Kafulila wataingia upinzani.
 
Bunge lilikuwa ni lile la 9 (6) na 10 (Anna)! Bunge haliwezi kuchangamka bila vyama vya upinzani.
Labda kama Makonda na Kafulila wataingia upinzani.
Wataingia kupitia CCM na watafanya vizuri sana
 
"Kuteka mioyo ya wa Tanzania" Kuipeleka wapi?
We are already at the bottom, Ccm fuckers, can't take our hearts deeper than we are already are! Can't go deeper than this,
Kuiteka mioyo kunaleta vipi ugari mezani?afya Bora, balaa LA, kikokotoo,
Watz hawahitaji comedy kwenye maisha, afya, elimu, maisha Bora, nafuu, wake zetu wanatosha kuiteka
 
Kuna watu Wana like upuuzi wako??
 
Mbowe hujajiweka ndani..na wewe ukiwa mbunge ndani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…