Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

Sio kuhusu wewe, sio kuhusu mimi, sio kuhusu uislamu au ukristo. Ni kuhusu watoto wasioweza kujilinda dhidi ya tamaa za watu wazima.

Who cares about who you have tied a knot with? Who you have got hitched? This is to do what is right for the powerless.

Hakuna anayejali kuhusu unayemtomba, unayetaka kumtia au utakayetiana nae as long as sio mtoto. Umepata bikira, umepata mshangazi au single mama au malaika as long as sio mtoto no one cares.

Shubamiit.

Yani watoto waolewe ili wanaume aina yako na ndevu zenu mpate mabinti ambao hawajaingiliwa au kuchezewa ili muwamwagie shahawa kabla wengine hawajawamwagia?

USHENZI KWELI.
Tuliza mshono ewe kafiriiii! Kazi kufumuana rinder kwenye nyumba zenu za kuimba nyimbo za kumsifu mfu
 
Miaka 13 kwa TZ ya wapi hii duuh
Sheria ya Ndoa..
Marriage ordinance (sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 sheria namba 29.. Kifungu cha 13 cha Sheria hiyo.)
Screenshot_20241208_182643_Adobe Acrobat.jpg
 
Kwahiyo hata Arif, be, te se hujui?
🤣🤣🤣🙌🙌
Ninajua Lugha Zifuatazo (Nitakutajia chache) Kiarabu, Kiebrania, Kingereza, Kigiriki, Kilatin,Aramaic, na Some of the Sematic Texts
Na lugha zetu zingine hizo za Kitanzania..

Arif Be te...Hata Kiebrania Zinaanza Hivyo hivyo..

Ila Nilisoma Hizo herufi Nilimuajiri Mwalimu Wa Kunifundisha Nyumbani Na sikwenda madrrasa.. (Baada ya Kusilimu) nilikula Shule miaka mitatu kutoka kwa Masheikh tofauti tifauti..
 
Sheria ya Ndoa..
Marriage ordinance (sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 sheria namba 29.. Kifungu cha 13 cha Sheria hiyo.)
View attachment 3172417

Just because it's legal does not means it's right or moral

Yaani kuna ndugu zetu wanaandika vitu humu ambavyo akitoka mbele ya watu hawezi kutamka kabisa; hivi hii Tanzania ya leo kuna watu tunaishi nao mjini wana mitazamo hii kweli?
 
Sawa mkuu ila hii pia si ni kama ilikuwa amended kuna binti alienda mahakamani
Hapana haijawahi kuwa Ammended marekebisho yalipingwa Kwahyo sheria Ilibaki hivyo Hivyo..
Na Kila Siku wanaharakati wanapeleka Proposal Ya Mabadiliko ya Sheria ila Huwa Yanatupiliwa Mbali
 
hivyo uchumba unaanza kabla yake yaani muda wa kutongozana kutoka out na kuelewana.
hapo uchumba unaanza mtoto akiwa na japo miaka 5, 6 au 7 hivi.
au watavizia tu kakifika miaka 9 katolewe mahali na kuolewa ?
 
Serikali ya Tanzania inaruhusu Watu kuuza na kunywa pombe lakini haimaanishi kila Mtanzania ni mlevi, ila Sheria ya kukuzuia usinywe haipo ni wewe na maamuzi yako.

Iraq inachotaka kufanya ni kuondoka huo mbano , msichana awe huru akiona anataka kuolewa kuanzia umri huo ruksa, hii itaondosha uzinzi uliojaa kwakua watu wamebanwa sanaa na sheria kandamizi ya miaka 18. Naunga mkono muswada huo, Msichana akitaka kuolewa kuanzia umri huo na aolewe. Uzuri ndoa katika Uislamu haipiti bila ridhaa ya muolewaji, kwanini umsubirishe mtu na karidhia kuolewa kisa hajafika miaka 18 lakini mwili na afya yake vinamruhusu!?..

Leo hii Tanzania inawasichana wangapi ambao wamepewa mimba wakiwa shule ya msingi!?, Au wakiwa sekondari ambao ni umri kuanzia miaka 10, 11, 12 na kuendelea.
Msichana wa miaka 9 kutoa consent ya kuolewa unadhan iyo consent ni sahihi? Yaan mbaba mwenye miaka 35 akakutana na kabint kametoka shule kanasoma darasa la nne akakapa lift kwenye gar na kukuambia anataka kukaoa na atakanunilia TV afunge king'amuz Cha Azam kawe kanaangalia TV kulko kwenda shule ,kakkubali tuseme iyo ridhaa ya kuolewa ni sawa?? Na ww mbaba wa miaka 35 uchukue uboo wako kama wa shetan umzamishie mtot wa miaka 9?
 
Back
Top Bottom