Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

Tuliza mshono ewe kafiriiii! Kazi kufumuana rinder kwenye nyumba zenu za kuimba nyimbo za kumsifu mfu
 
Kwahiyo hata Arif, be, te se hujui?
🤣🤣🤣🙌🙌
Ninajua Lugha Zifuatazo (Nitakutajia chache) Kiarabu, Kiebrania, Kingereza, Kigiriki, Kilatin,Aramaic, na Some of the Sematic Texts
Na lugha zetu zingine hizo za Kitanzania..

Arif Be te...Hata Kiebrania Zinaanza Hivyo hivyo..

Ila Nilisoma Hizo herufi Nilimuajiri Mwalimu Wa Kunifundisha Nyumbani Na sikwenda madrrasa.. (Baada ya Kusilimu) nilikula Shule miaka mitatu kutoka kwa Masheikh tofauti tifauti..
 
Sheria ya Ndoa..
Marriage ordinance (sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 sheria namba 29.. Kifungu cha 13 cha Sheria hiyo.)
View attachment 3172417

Just because it's legal does not means it's right or moral

Yaani kuna ndugu zetu wanaandika vitu humu ambavyo akitoka mbele ya watu hawezi kutamka kabisa; hivi hii Tanzania ya leo kuna watu tunaishi nao mjini wana mitazamo hii kweli?
 
Sawa mkuu ila hii pia si ni kama ilikuwa amended kuna binti alienda mahakamani
Hapana haijawahi kuwa Ammended marekebisho yalipingwa Kwahyo sheria Ilibaki hivyo Hivyo..
Na Kila Siku wanaharakati wanapeleka Proposal Ya Mabadiliko ya Sheria ila Huwa Yanatupiliwa Mbali
 
hivyo uchumba unaanza kabla yake yaani muda wa kutongozana kutoka out na kuelewana.
hapo uchumba unaanza mtoto akiwa na japo miaka 5, 6 au 7 hivi.
au watavizia tu kakifika miaka 9 katolewe mahali na kuolewa ?
 
Msichana wa miaka 9 kutoa consent ya kuolewa unadhan iyo consent ni sahihi? Yaan mbaba mwenye miaka 35 akakutana na kabint kametoka shule kanasoma darasa la nne akakapa lift kwenye gar na kukuambia anataka kukaoa na atakanunilia TV afunge king'amuz Cha Azam kawe kanaangalia TV kulko kwenda shule ,kakkubali tuseme iyo ridhaa ya kuolewa ni sawa?? Na ww mbaba wa miaka 35 uchukue uboo wako kama wa shetan umzamishie mtot wa miaka 9?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…