Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Wacha iwe hivyo natetea watoto. Likud ukiacha wanaume tuendekeze ushetani hawa watoto wetu watapata shida sana.tuwalinde watoto bila kujali watenda makosa ni ndugu zetu au jamaa zetu. Wewe una binti wa miaka 9 nakuja posa. Unanioza?kweli toka moyoni mwako Mola akuona.Na wewe utakwenda jela maisha.
Usiishi Kwa hisia
Don't take life that serious bro.Wote ni MASHETANI WOTE NAWAKATA KATA MAPANGA HAKUNA MWENYE AFADHALI.
WEWE NIKIJA KUPOSA BINTU YAKO WA MIAKA 9 UNANIPA?NIJE HATA NEXT WEEK. KAWE TU KAZURI.
When it comes to kids/children i aint take no damn joke brother.Don't take life that serious bro.
Yesu Kristo ndio mfano wa kuigwa Kwa wakristo,kwahiyo kwakuwa hakuna mahali Yesu aliruhusu ndoa za jinsia Moja wala hakuna sehem Biblia imeruhusu ndoa hizo,basi ni wazi ukristo unapinga ushoga,na kama wapo wanaojiita wakristo halafu wanafanya hivyo hao ni waongo ni wapinga kristo au wapagani wanaojiita wakristo,lakini Kwa suala la waislam wao ni wazi wanaamini hivyo kwakuwa mfano wao bora ambae ni Muhammad alifanya hivyo, kwaiyo ni wazi uislam unaruhusu huo ushenziSikubaliani na hilo suala,, lakini sidhani kama ni sawa kusema waislam wote naamini pia Tanzania kuna waislam, lakini sidhani kama wanaafiki ili suala,ni sawa nawewe mkristo lakini kunasemekana kua ushoga umeruhusiwa je wewe kwakua ni mkristo unaungana na uyo mkristo mwenzio?
Nb mimi ni mkristo pure.
Katika vitu nimekataa ni kuwa mlevi wa dini.Mnachotakiwa ni kuuliza na si kuanza lawama Islam hajibu kwa vile anaelewa nini kinaendelaa hata ninyi msijitoe fahamu zamani watoto (bibi zetu) walikuwa wanaolewa.wadogo sana hata hapa hapa Tanzania. Ni kwamba yule mtoto anakwenda lelewa na wazazi wa mume hadi atakapofikia umri unaostahili kuolewa ndio anapewa mume wake na katapata huduma.zote Kama mtoto na kwamba katacheza na wenzake Kama kawaida, ila watajaribu kukaweka karibu na mhusika ili aweze kumzoea mf. jamaa akiwa anarudi nyumbani watamwambia akampokee ni ile kumuweka karibu hapo anakuwa amefanywa nini kibaya? Tena kanalala na.mama mkwe maana ni katoto au na wenzake na nyumbani kanakwenda ila hakalali huko na si mara kwa mara. Kabla hamjaamza.kashfa zenu na kuamzisha nyuzi za kurukana.viongozi wa dini ambazo sio zenu mngejaribu kuchunguza, pia ustaarabu.uchukue nafasi yake
Ukimsoma vizuri huyo jamaa na ukarelate na zile kesi za Walimu wa Madrasa utapata majibu wanawachuliaje mabinti zetu.Unatafuta nafuu gani katika mambo ya kipumbavu ? Wewe zimo kichwani kweli
Lengo lao kuu ni kupunguza idadi ya wanawake wanaoenda shule.Kuna muda nakubali Dunia kutawaliwa na mzungu laiti ingetawaliwa na mwarabu mambo yangekuwa haya hapa.
Mataifa mengi ya kiislam yanamkandamiza to sana mtoto wa kike
Unamaanisha nini?Hakuna jipya chini ya jua, kitu kilekile Kwa version nyingi tofauti.
Sio hivyo tuMimi sina dini wala sifati tamaduni za watu wanaokandamiza wanawake, dini zipo kumfurahisha mwanaume na kumkandamiza mwanamke..!!
Dini yenu ya hovyo inasema pepo ya mwanamke ipo kwa mume wake, kwann isiwe mwanaume pepo yake ipo kwa mkewe??
Mara mtume kaoa mke mwenye 9yrs na nyie waarabu wa kimatumbi mnaona ni sawa..!! Wakati huyo mtume ni mbakaji ilitakiwa awe jela
Da umeandika kwa hisia sana . Imani yao ya ajabu sana.Sijaona kilipoolewa kitoto cha miaka 6 au 9 katika Biblia. Wakoloni nadhani walitumia busara. Mtoto wa miaka 9? Huyu ni mdogo jamani. Huo ni Ulafi na Ukafir wa ajabu sana. Uasherati wa kiwango cha juu sana. Mtoto akue kue hata miaka ya 16 na kuendelea. ANGALAU. 9 UNA JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala NA MTOTO WAKO KABISA. UNAVUAJE HATA NGUO?UNAJALI TU KUTIMIZA TAMAA ZAKO? USHETANI HUO.
Kuna muda nakubali Dunia kutawaliwa na mzungu laiti ingetawaliwa na mwarabu mambo yangekuwa haya hapa.
Mataifa mengi ya kiislam yanamkandamiza to sana mtoto wa hai
SoNATAKA NIONE WANAHARAKATI WA FREE PALESTINE WAKIANDIKA NYUZI HUMU KUPINGA UNYANYASAJI HUU.
OOH , HADI MUISRAEL NA MKRISTO WABAKE MTOTO MDOGO NDIO KOSA ETI???
PUMBAVU NYIIEEE!!
View attachment 3210378
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.
Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.
Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.
Pia, Soma:
• Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9
• Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa
Unapingana na mtumeHii napinga kwa nguvu zote
Muddy miyeyusho sana.Unapingana na mtume