Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Na wewe utakwenda jela maisha.

Usiishi Kwa hisia
Wacha iwe hivyo natetea watoto. Likud ukiacha wanaume tuendekeze ushetani hawa watoto wetu watapata shida sana.tuwalinde watoto bila kujali watenda makosa ni ndugu zetu au jamaa zetu. Wewe una binti wa miaka 9 nakuja posa. Unanioza?kweli toka moyoni mwako Mola akuona.
 
Lkn wewe si hauna dini?watoto umeona ni hawa wa Iraq tuu ndo ujitie vidole mpk uwaonee huruma?..shawaha tena hutaki sahv?
 
Habari ipo clear kabisaa inasema bunge la Iraq limeshusha umri wa kuoa kutoka 15-9..sasa uislam hapo umekuja je?..au wairaq ndo wanarun uislam ulimwenguni?..kwhy sheria za bunge za nchi nyngn tufuate sisi huku waislam?...
Mbn bunge la Uingereza limepitisha ndoa za jinsia moja weeh mgalatia huku unafuata?..hapo bado hujamgusa Papa Francis ambaye waraka wa kukubali upo practice kasro nyie wagalatia wa Njombe ndo mnajifanya kuukataa
 
Sikubaliani na hilo suala,, lakini sidhani kama ni sawa kusema waislam wote naamini pia Tanzania kuna waislam, lakini sidhani kama wanaafiki ili suala,ni sawa nawewe mkristo lakini kunasemekana kua ushoga umeruhusiwa je wewe kwakua ni mkristo unaungana na uyo mkristo mwenzio?

Nb mimi ni mkristo pure.
Yesu Kristo ndio mfano wa kuigwa Kwa wakristo,kwahiyo kwakuwa hakuna mahali Yesu aliruhusu ndoa za jinsia Moja wala hakuna sehem Biblia imeruhusu ndoa hizo,basi ni wazi ukristo unapinga ushoga,na kama wapo wanaojiita wakristo halafu wanafanya hivyo hao ni waongo ni wapinga kristo au wapagani wanaojiita wakristo,lakini Kwa suala la waislam wao ni wazi wanaamini hivyo kwakuwa mfano wao bora ambae ni Muhammad alifanya hivyo, kwaiyo ni wazi uislam unaruhusu huo ushenzi
 
Mnachotakiwa ni kuuliza na si kuanza lawama Islam hajibu kwa vile anaelewa nini kinaendelaa hata ninyi msijitoe fahamu zamani watoto (bibi zetu) walikuwa wanaolewa.wadogo sana hata hapa hapa Tanzania. Ni kwamba yule mtoto anakwenda lelewa na wazazi wa mume hadi atakapofikia umri unaostahili kuolewa ndio anapewa mume wake na katapata huduma.zote Kama mtoto na kwamba katacheza na wenzake Kama kawaida, ila watajaribu kukaweka karibu na mhusika ili aweze kumzoea mf. jamaa akiwa anarudi nyumbani watamwambia akampokee ni ile kumuweka karibu hapo anakuwa amefanywa nini kibaya? Tena kanalala na.mama mkwe maana ni katoto au na wenzake na nyumbani kanakwenda ila hakalali huko na si mara kwa mara. Kabla hamjaamza.kashfa zenu na kuamzisha nyuzi za kurukana.viongozi wa dini ambazo sio zenu mngejaribu kuchunguza, pia ustaarabu.uchukue nafasi yake
Katika vitu nimekataa ni kuwa mlevi wa dini.

Eti atakuwa nae karibu ili amzoee.. Mpeleke binti yako akawazoee kama unaona ni sahihi.
 
Unatafuta nafuu gani katika mambo ya kipumbavu ? Wewe zimo kichwani kweli
Ukimsoma vizuri huyo jamaa na ukarelate na zile kesi za Walimu wa Madrasa utapata majibu wanawachuliaje mabinti zetu.

Nyie mnaona watoto wao wanaona mishangazi.
 
Kwa wazee wa miaka 90 kuoa vitoto vya miaka 6 au 9 ni ndoto ya kila Mwislamu.
Kila alicho kifanya Mtume wa
Watu na Majini ni jambo jema kwa kila Mwislamu Jini na Mtu.

Bakwata walisha peleka ombi serikalini ili Muslims waoe vitoto vya kuanzia miaka 6 kama mtume wao wakakataliwa na serikali.

Ashakum, The Religion is a total Cult From Satanic Verses
 
Kuna muda nakubali Dunia kutawaliwa na mzungu laiti ingetawaliwa na mwarabu mambo yangekuwa haya hapa.

Mataifa mengi ya kiislam yanamkandamiza to sana mtoto wa kike
Lengo lao kuu ni kupunguza idadi ya wanawake wanaoenda shule.
 
Mimi sina dini wala sifati tamaduni za watu wanaokandamiza wanawake, dini zipo kumfurahisha mwanaume na kumkandamiza mwanamke..!!

Dini yenu ya hovyo inasema pepo ya mwanamke ipo kwa mume wake, kwann isiwe mwanaume pepo yake ipo kwa mkewe??
Mara mtume kaoa mke mwenye 9yrs na nyie waarabu wa kimatumbi mnaona ni sawa..!! Wakati huyo mtume ni mbakaji ilitakiwa awe jela
Sio hivyo tu
Hata pepo ya mtoto ipo chini ya wazazi wake
Ambaye mmoja ni mwanamke
 
Sijaona kilipoolewa kitoto cha miaka 6 au 9 katika Biblia. Wakoloni nadhani walitumia busara. Mtoto wa miaka 9? Huyu ni mdogo jamani. Huo ni Ulafi na Ukafir wa ajabu sana. Uasherati wa kiwango cha juu sana. Mtoto akue kue hata miaka ya 16 na kuendelea. ANGALAU. 9 UNA JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala NA MTOTO WAKO KABISA. UNAVUAJE HATA NGUO?UNAJALI TU KUTIMIZA TAMAA ZAKO? USHETANI HUO.
Da umeandika kwa hisia sana . Imani yao ya ajabu sana.
 
NATAKA NIONE WANAHARAKATI WA FREE PALESTINE WAKIANDIKA NYUZI HUMU KUPINGA UNYANYASAJI HUU.

OOH , HADI MUISRAEL NA MKRISTO WABAKE MTOTO MDOGO NDIO KOSA ETI???

PUMBAVU NYIIEEE!!



View attachment 3210378

Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.

Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.

Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.

Pia, Soma:
Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9
Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa
So
 
Hakuna mnato kwa kitoto kam icho hata nyama za ndani zinakua hazijanawiri bwan ni mifupa tu.
Achana na wapumbavu hawa

Ukatili ndio asili yao
Ugaidi ndio pumzi
 
Back
Top Bottom