Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nipe link nikaangalie chanzo cha hii habari, itakuwa mleta uzi ana bifu na waislamu wa Iraq 😹🤣Propaganda ni kitu kibaya sana
"Iraqi law currently sets 18 as the minimum age of marriage in most cases. The changes passed Tuesday would let clerics rule according to their interpretation of Islamic law, which people are feared that, some may interpret to allow marriage of girls in their early teens – or as young as 9"
Kwa nini watu watafsiri kwamba sheria imepitishwa kuoa miaka 9?
Shindwaaaaaa 🤣 🤣 🤣 🤣Dini inaruhusu KP mama mkwe..
naleta mahari kabisa tuwahi bikra hapa hapa duniani😅😅
Kumbuka: Ile Nchi inafuata taratibu za Kiislam; sasa kusema mambo ya ndoa, miradhi nk yatasimamiwa na sheria za Kiislam, Ndio wamesema watoto wa miaka 9 wataolewe???Hebu nipe link nikaangalie chanzo cha hii habari, itakuwa mleta uzi ana bifu na waislamu wa Iraq 😹🤣
Hapana siyo ubakaji; ubakaji huwa hauko hivi. Ni UUAJI!!
Hivi hiyo nchi ina upungufu mkubwa wa wanawake? Kwa nini wasituombe hata sisi tukawaazima wa k
Sijui kizungu mimiYou proved what I said without saying it
Ushetani aisee.
Hivi waislamu wa maeneo mengine ya dunia hawawezi kulikemea hili swala?
Kumbuka: Ile Nchi inafuata taratibu za Kiislam; sasa kusema mambo ya ndoa, miradhi nk yatasimamiwa na sheria za Kiislam, Ndio wamesema watoto wa miaka 9 wataolewe???Wanakemeaje akati kiongozi wao amefanya hayo pia kama mfano.
Kwani hio sheria ina sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe auHebu nipe link nikaangalie chanzo cha hii habari, itakuwa mleta uzi ana bifu na waislamu wa Iraq 😹🤣
Wewe ostadhi ubwabwa iwe makubaliano au sio makubaliano, acheni kurasimisha ubakaji na ukatili kwa watoto.!!Kwani hio sheria ina sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe au
Maana ndoa ni jambo la makubaliano kati ya muowaji na muolewaji
Na kuna taratibu zake zakufwata
Kama Kuoa ni ubakaji sawaWewe ostadhi ubwabwa iwe makubaliano au sio makubaliano, acheni kurasimisha ubakaji na ukatili kwa watoto.!!
Uoe mtoto mwenye umri wa miaka 9? Uko sawa kweli?Kama Kuoa ni ubakaji sawa
Uoe mtoto mwenye umri wa miaka 9? Uko
mtoto mwenye umri wa miaka 9? Uko sawa kweli?
Hio sheria haija sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aoleweUoe mtoto mwenye umri wa miaka 9? Uko sawa kweli?
Wafia dini mara nyingi hamjielewi, mnafanana na shetani mnayemsimanga tofauti yenu shetani haonekani lakini yumo ndani yenu..!!Hio sheria haija sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe
Elewa hilo
Ni kama wewe kuolewa ni makubaliano yako na anae kuoa
Inasikitisha sana, yaani sana.Wafia dini mara nyingi hamjielewi, mnafanana na shetani mnayemsimanga tofauti yenu shetani haonekani lakini yumo ndani yenu..!!
Hivi mtoto wa miaka 9 anaweza akawa na maamuzi ya kukataa?? Jinga kabisa
Mimi mjinga sawaWafia dini mara nyingi hamjielewi, mnafanana na shetani mnayemsimanga tofauti yenu shetani haonekani lakini yumo ndani yenu..!!
Hivi mtoto wa miaka 9 anaweza akawa na maamuzi ya kukataa?? Jinga kabisa
😅😅😅 kwani aliagiza wafanye hivyoHawawezi pinga kitu ambacho mwasisi wao alifanya. .
Ni sawa na Mkristo apinge ubatizo wakati mwasisi wao alifanya na akaruhusu.
Mkuu twende taratibu, wewe hujui kuwa mtoto wa miaka 9 hajawa tayari kuingiliwa?Mimi mjinga sawa
Ila nikupe mfano mwepesi
Kenya mirungi ni halali ila
Tanzania ni halamu
Ila Tanzania nayo ikibadili sheria na kusema mirungi ni halali
Haita maanisha kuwa wa Tanzania tunatakiwa tele mirungi