Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Propaganda ni kitu kibaya sana
"Iraqi law currently sets 18 as the minimum age of marriage in most cases. The changes passed Tuesday would let clerics rule according to their interpretation of Islamic law, which people are feared that, some may interpret to allow marriage of girls in their early teens – or as young as 9"

Kwa nini watu watafsiri kwamba sheria imepitishwa kuoa miaka 9?
Hebu nipe link nikaangalie chanzo cha hii habari, itakuwa mleta uzi ana bifu na waislamu wa Iraq 😹🤣
 
Kumbuka: Ile Nchi inafuata taratibu za Kiislam; sasa kusema mambo ya ndoa, miradhi nk yatasimamiwa na sheria za Kiislam, Ndio wamesema watoto wa miaka 9 wataolewe???
Mbona Saudia, Indonesia nk wanatumia sheria za kiislam na watoto hawaolewi wakiwa na miaka 9?
Zipo link nyingi tu japo watu wanatafsiri kwa namna wanavyo taka ujumbe ufike

WATU WANAVYOSHABIKIA BILA KUTAFUTA UKWELI INAONESHA JINSI TULIVYO NA WATU WASIOKUWA NA MAARIFA

Wanakemeaje akati kiongozi wao amefanya hayo pia kama mfano.
Kumbuka: Ile Nchi inafuata taratibu za Kiislam; sasa kusema mambo ya ndoa, miradhi nk yatasimamiwa na sheria za Kiislam, Ndio wamesema watoto wa miaka 9 wataolewe???
Mbona Saudia, Indonesia nk wanatumia sheria za kiislam na watoto hawaolewi wakiwa na miaka 9?

WATU WANAVYOSHABIKIA BILA KUTAFUTA UKWELI INAONESHA JINSI TULIVYO NA WATU WASIOKUWA NA MAARIFA
 
Kwani hio sheria ina sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe au

Maana ndoa ni jambo la makubaliano kati ya muowaji na muolewaji
Na kuna taratibu zake zakufwata
 
Hebu nipe link nikaangalie chanzo cha hii habari, itakuwa mleta uzi ana bifu na waislamu wa Iraq 😹🤣
Kwani hio sheria ina sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe au

Maana ndoa ni jambo la makubaliano kati ya muowaji na muolewaji
Na kuna taratibu zake zakufwata
 
Kwani hio sheria ina sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe au

Maana ndoa ni jambo la makubaliano kati ya muowaji na muolewaji
Na kuna taratibu zake zakufwata
Wewe ostadhi ubwabwa iwe makubaliano au sio makubaliano, acheni kurasimisha ubakaji na ukatili kwa watoto.!!
 
Hio sheria haija sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe
Elewa hilo

Ni kama wewe kuolewa ni makubaliano yako na anae kuoa
Wafia dini mara nyingi hamjielewi, mnafanana na shetani mnayemsimanga tofauti yenu shetani haonekani lakini yumo ndani yenu..!!

Hivi mtoto wa miaka 9 anaweza akawa na maamuzi ya kukataa?? Jinga kabisa
 
Inasikitisha sana, yaani sana.

Sielewi waarabu akili zao zikoje!
 
Wafia dini mara nyingi hamjielewi, mnafanana na shetani mnayemsimanga tofauti yenu shetani haonekani lakini yumo ndani yenu..!!

Hivi mtoto wa miaka 9 anaweza akawa na maamuzi ya kukataa?? Jinga kabisa
Mimi mjinga sawa
Ila nikupe mfano mwepesi
Kenya mirungi ni halali ila
Tanzania ni halamu
Ila Tanzania nayo ikibadili sheria na kusema mirungi ni halali
Haita maanisha kuwa wa Tanzania tunatakiwa tele mirungi
 
Back
Top Bottom