mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Sasa hapo uislam umehusika vipi?..hebu rudia kusoma tena hiyo habari...sheria imepitishwa na bunge au uislam?
Ila waraka wa Papa Francis uliusoma vzr tuu ukaona sawa wabarikiwe LGBT sababu yeye aliongea na mungu si ndio?
Ila waraka wa Papa Francis uliusoma vzr tuu ukaona sawa wabarikiwe LGBT sababu yeye aliongea na mungu si ndio?