Hii kitu kuna agenda ya Siri Hapo! Tusitegemee katiba muzuri Hapo Zaidi ya uozo tu!
Wantumia fedha zetu za kodi hovyo Alafu wanatuletea katiba mbovu!
Kwa michezo wanayofanya hawa jamaa zetu wa CCM na serikali ingekuwa ni busara kwa wao kuepuka gharama za kuitisha bunge la katiba . Wangeitisha kamati kuu ama Halmashauri kuu ya CCM waandae katiba mpya na mapema ianze kutumika mwezi ujao.Ndugu wana Jamvi,
Nimetafakari kwanini Uongozi wa Bunge umeamua kutokuonesha Bunge LIVE sijapata jibu. Katika sheria zetu, ni haki kwa kila mtanzania kupata taarifa, kama hii ya mchakato wa Katiba, Bungeni. Tuishawishi Serikali kupitia Jukwaa hili kuhakikisha Kipndi cha Bunge kinarushwa Live ili tuweze kuona moja kwa moja majadiliano ya wawakilishi wetu Bungeni. Tafakari, paza sauti yako kupitia Jukwaa hili, nafahamu watasikia!
Karibuni
Ni Moja ya nchi za kipumbavu Kuwahi kutokea..
Wanajua Fika hakuna anayeweza kuhoji..
Ni haki yetu lazima tuone nini wanajadili..
CCM inaongoza nchi kipumbavu sana..Ni wajinga wajinga ndio wanaweza kushabikia Upumbavu wao..
Na ole wao watuletee katiba isiyo na maslahi na Taifa...Manina zao..
Ndio mana kumbe nakodoa macho kwa tv sipati updates zozote... du huu ni uhuni sana jaman...
hii katiba hiii nawasi wasi nayo sana kama kweli itamsaidia mwananchi wa kawaida...
Sasa hapo baadae wanapotuletea mikaratasi yao ili tupige kura ya maoni ili iweje? Tunataka kusikia mijadala ili halafu tuwe kwenye nafasi nzuri ya kupiga kura ya maoni kwa vitu tunavyovijua sio mambo ya gizani kisha kutuletea.
Hivi kwa nini nchi hii tunaendekeza ujinga?
Miss Chagga, habari ndo hiyo, wameamua kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Mtambumburuka mwishoni Katiba ilishapitishwa
This is absolutely true. Kwamba kila siku tunaona na kusikia walichokijadili, then siku ya mwisho tunafahamu kabisa Katiba inayoletwa iko hivi. Nahisi ni mkakati wa kuwahadaa wananchi ili wasielewe kilichomo ili mwisho wa siku isipingwe. Ni hatari sana, tunahitaji kukemea kitu hiki.
Sasa hapo baadae wanapotuletea mikaratasi yao ili tupige kura ya maoni ili iweje? Tunataka kusikia mijadala ili halafu tuwe kwenye nafasi nzuri ya kupiga kura ya maoni kwa vitu tunavyovijua sio mambo ya gizani kisha kutuletea.
Hivi kwa nini nchi hii tunaendekeza ujinga?