Bunge la Kenya laamua nchi kujitoa katika mahakama ya ICC.

kwa kitendo hicho, wameshajihukumu. Ruto harudi akienda wiki ijayo.


  • supported: Jamani tuwasaidie wakenya na janga la jubilee ambalo limejizatiti kuua msingi wahaki kwa wanyonge. Kenya imekwisha. Wanaposema judiciary mbona supreme court ipo lakini imenyang'anywa meno katika kesi tu ya kwanza.sasa kama kesi zauhuruto zitarudishwa kenya au tanzania ndiyo itakuwqa njia yao ya kumaliza kesi hizo kwa kuwazika wahanga wa tukio la 2007/8. Pole kenya!!!!!!!
  • jumuia ya ea ndiyo basi tena maana akina mu-7 wamedhamiria kuona ea ya u/r/k
[/quote]
 

Hizi bunge na senate za jubilee wana matatizo ya kutoona mbali. Uruto wako the Hague hiyo sheria kamawataipitisha kwa tyranny of numbers Uhuruto watatia sahihi kuwa sheria? Hawaoni hii itakuwa ni kuwafanya Uhuruto kukana commitment yao kushirikianana ICC ? IKO KAZI VIONGOZI WA KIAFRIKA NA SHORTSIGHTEDNESS YA AINA HII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Ndugu,

You are preaching to the choir.

Hii yote umeeleza hapo kila mtu anajua...what you forget (or slyly feign ignorance) is that Kenya is a society
that thrives on corruption and intimidation.

Therein lies the crux of the matter.
 
Wanawahi shuka kumeshakucha...... Nadhani msingi Mkuu wa kujiondoa ICC ni kuondoa uzito wa hukumu za viongozi wao kama watapatikana na hatia, kusiwepo na nguvu ya kisiasa Kenya kutekeleza hukumu au adhabu zao za mahakama coz Kenya watakuwa sio wanachama.
 

Haiya-haiya-haiya.... Gado has illustrated the Parliament of Kenya aka "House" as a monkey business that will further sink the two! Chezea Gado :wave: chaaaa this Guy is genius


Sijui mwanznilishi wa hili suala kama ni UHURUTO wenyewe au wamepewa ushauri kutoka kwa marafiki zao, nina wasi wasi kenya inaweza kutoka kwenye demokrasia na kuelekea kwenye udikiteta. Kitendo cha kujitoa ICC kinaweza kusababisha kutawala kwa mkono wa chuma, na ukitawala kwa mkono wa chuma inabidi usitoke madarakani kwa kuhofia kukamatwa. Nahisi kama vile tutapata akina mseveni wengine kama hizi harakati za kujitoa ICC zitafanikiwa.
 
Hatua ya nchi ya Kenya kutishia kujitoa katika Mahakama ya Makosa ya Jinai ICC ni kutokana na Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wake Samuel Ruto kuhusishwa na kesi ya mauaji katika uchaguzi mkuu uliopita nchini humo huku wakiwa na nyadhifa kubwa katika nchi ya Kenya,. Je wamechukulia Jambo kama hilo ni la udhalilishaji au walijipanga tangu mwanzo kujitoa katika Mahakama hiyo?. Na kama wasingepata hivyo vyeo wangejitoa au wangeendelea kuwa wanachama?? Tafakari ya kina inahitajika,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…