Bunge la samwel SITA na la Tulia Akson je lipi lilikuwa bunge la wananchi?

Bunge la samwel SITA na la Tulia Akson je lipi lilikuwa bunge la wananchi?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali je lipi lilikuwa bunge Bora?
 
Hivi ukipima SITA na Tulia nani alikuwa na manufaa Kwa taifa?
 
Bunge la Samwel Sitta liliitwa "Bunge la Wananchi" kwa kuwa lilitoa fursa ya mijadala huru na ushirikishwaji mpana.

Vijana wapewe nafasi zaidi kwa kuwa ni nguvu kazi ya sasa na kesho, wazee wabaki kuwa dira na washauri wa taifa.
 
Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali je lipi lilikuwa bunge Bora?
 

Attachments

  • Picsart_25-06-12_14-48-41-286.jpg
    Picsart_25-06-12_14-48-41-286.jpg
    166.5 KB · Views: 35
Bunge la Samwel Sitta liliitwa "Bunge la Wananchi" kwa kuwa lilitoa fursa ya mijadala huru na ushirikishwaji mpana.

Vijana wapewe nafasi zaidi kwa kuwa ni nguvu kazi ya sasa na kesho, wazee wabaki kuwa dira na washauri wa taifa.
Kwahiyo Tulia akson mnyakyusa yule amewaangusha vijana sio?! Spika wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.
 
Tulia Akson akija KUOMBA ubunge swali la kwanza watu wa mbeya muulizeni alipo mdude na mumuambie wazi kura zetu ni kujua wapi alipo mdude nyagali chadema hata kaburi lake tu litatufaa bila hivyo asahau kushibisha tumbo lake Kwa kura zenu.
 
Kwahiyo Tulia akson mnyakyusa yule amewaangusha vijana sio?! Spika wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.
Simply put, Tulia is a useless piece of sh*t! Speaker anayeamini kwamba Executive Branch (whose oversight kikatiba iko mikononi mwa Legislative Branch) ndiyo mhimili mkuu hatufai kwa lolote. Sidhani kama anaielewa sawa sawa built-in system of checks and balances iliyomo ndani ya Katiba ya Tanzania.
 
..Bunge bora lilikuwa la mwaka 1990 mpaka 1995 chini ya Spika Pius Msekwa. Ndilo Bunge lililojadili hoja ya Tanganyika, na kupitisha mswada wa kuunda serikali ya Tanganyika ndani ya muungano.
 
Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali je lipi lilikuwa bunge Bora?
Hili ndio swali gani?, acha hizi mambo za kulinganisha mbingu na nchi!.
Kila zama na zama zake!.
Bunge la SS lilikuwa ni Bunge la Speed na Standards
Bunge la JYN lilikuwa ni Bunge jipendekeza
Hili Bunge la sasa, ni Bunge ... kwa heshima ya mwalimu wangu, naomba nisimalizie... Spika Dr Tulia ni mwalimu wangu, hata ikotokea mwalimu wako ameboronga vipi,ile heshima ya mwalimu na mwanafunzi inakuwa ipo pale pale, nimeshauri Watanzania tusiruhusu tena Bunge Kibogoyo dhaifu kama hili, lisilo na Meno, kukosa Kambi ya Upinzani na kushindwa kuisimamia Serikali kikamilifu!

Na kulihusu Bunge letu tukufu,sio tuu nimeandika sana,bali nimeandika hadi kuitwa kuhojiwa na kamati,tena nimeitwa kwa makeke..., nikaitika wito nikahojiwa,
walipokuta nilichoandika ni
ukweli mtupu, tukayamaliza kimya kimya!.

Ila mimi nimeandika sana kuhusu Bunge
 
Hili ndio swali gani?, acha hizi mambo za kulinganisha mbingu na nchi!.
Kila zama na zama zake!.
Bunge la SS lilikuwa ni Bunge la Speed na Standards
Bunge la JYN lilikuwa ni Bunge jipendekeza
Hili Bunge la sasa, ni Bunge ... kwa heshima ya mwalimu wangu, naomba nisimalizie...

one word please 😆😆😆😆
 
Kwa Tulia hakukuwa na bunge pale. Vile vilikuwa vikao vya "kupitisha" mambo ya serikali na kupiga soga.

Bunge lilishindwa hata kufanya basic functions za mhimili kwa mujibu wa katiba.

Na hili ni tatizo la mhimili mmoja kuhodhi madaraka. Wakuu wa mihimili mingine wanalazimika kujipendekeza.
 
Back
Top Bottom