Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
..una sovereignity na bakuli mkononi la nini?
 
Bunge la JMT lingelaani kwanza kupigwa, kuumizwa, kutekwa na kuuawa kwa raia waliowapigia kura.
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Huo uwezo wautoe wapi wakati Mwijaku ana mamlaka ya kwenda jumba jeupe muda wowote kuliko Waziri MKENDA ambaye wafanya usafi wa jumba lile walimkataza kuingia lkn hawaja kemewa na yeyote.
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Hivi hili bunge lina moral authority ya kufanya hicho unachokitamani? Nafikiri tunaita bunge Kwa sababu lipo kwenye majengo ya bunge.
Bunge linaloogopa uchaguzi wa kusimamiwa na tume huru?
Hili bunge linaloongozwa na Tulia!!
 
Mngekuwa sovereign state msingekuwa mnapitisha bakuli kama ombaomba kwa hao hao unaotaka serikali iwachimbe biti...

Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
 
kama n
Tajiri hanuniwi

Waulize Makonda na Palamagamba waliojaribu kuwakemea wazungu watakujuza
kama ni kula bata sio lazima mtu aende ulaya au marekan. mbona dubai hapo pana bata la dunia nzima. mabeberu wasitutishe
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Labda wamtumie kibajaji aseme neno. Sio mbunge anaye jielewa
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Siku mkiacha tabia yenu ya kupenda kuomba omba hovyo, ndiyo mtakuwa na hiyo jeuri. Ila kwa sasa kuweni tu wapole. Hamna uhuru wowote ule, na hivyo muache kujidanganya.
 
Kweli kuna watu wa hovyo, huna tofauti na mtu aliyependezesha nyumba yake kwa furniture za kisasa na appliances za kuvutia kwa pesa za mkopo huku ameweka hati ya nyumba rehani. Siku ukishindwa kulipa mkopeshaji anakuja kuchukua nyumba.

Yaani tumeweka rehani rasilimali zote za muhimu rehani kwa mikopo na hatujui lini tutalipa hiyo mikopo. Huo uhuru upo wapi?
 
Tanzania ni sehemu ya jumuiya ya kimataifa. Inapojitokeza malalamiko yanayohusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu, ni kawaida kwa mabunge na mashirika ya kimataifa kutoa maoni au maazimio. Hii ni sehemu ya kuimarisha uwajibikaji, si kuvunja sheria.
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Ungeomba kusaidiwa kuandika
 
Ukishaanza kukamata na kufunga watu bila sababu za msingi, unavunja milango ya raia akina Mdude usiku na kuwapiga mpaka kuwaua, unapoteza uhalali wa kuwa taifa linalojitambua, unapaswa kuingiliwa.
Tena kuingiliwa kinyume na nani liu kabisa, hasa mleta mada kibaraka wa watawala!
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Siku Mkiweza kujikomboa na kusema kwa sasa hatutumi ruzuku ya kila mwaka kwa watu wa ulaya hapo ndo mtakuwa na sauti sasa na kupanga mambo yenu Bila hivyo ni Bila bila tu
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Naona hata Tulia Sasa hivi amekalia kuti kavu, maana Umoja wa Bunge la Dunia hawawezi kua na Rais wa Bunge kutoka nchi ambayo haina Human Rights
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Bunge la Tanzania litoe kauli kukemea utekaji, mauaji, uvunjifu wa haki na katiba. Alafu ndio mseme sasa. Jirani hawezi kukuvumilia kila siku unapiga mke na watoto wanalia mtaa mzima.
 
Back
Top Bottom