Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Umasikini ni shida, u tegemezi huna hata kiwanda cha kutengeneza sindano. Ardhi unayo unategemea mvua wakati una vijito unakinga tuta na kupata bwawa. Utakoromewa sana.
 
Back
Top Bottom