Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Watu wajinga tu ndio hawajui kuwa mahakama Tanzania haziko huru, na ziko kukomoa zaidi kuliko kutoa haki. Hii ya kutoungiliwa ndio imekuwa ikitumiwa na viongozi kama sehemu ya kukomoa wasiowasujudia. Haiwezekani sehemu ya kupatia haki, kesi zikae kwa muda mrefu kwa kiwango hicho.
 
Si kitu cha kujivunia kabisa ukishaanza ingia kwenye 18 za hao watu. Muamar Gadafi na uchumi wote aliokuwa nao alidondoshwa.

Ni vyema siasa zisiingizwe kwenye muhimili wa mahakama. Pia Police waache siasa, wajikite kwenye kusudio lao la kulinda mali na wananchi.

Huko tunapoelekea, tusijekuwa kisiwa.
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Shida wakati mwingine tunashindwa kujisimamia, mpaka tunabambikiana kesi za uhaini
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Hiyo katiba ya Tanzania wewe mwenyewe uijua na kama inaijua inatumika je?

Wananchi wanakubali huo utawala?

Wewe mwenyewe ni shahidi nchi yetu inaongozwa na matamko. Hapo tulipofia ni pabaya sana
 
Hata kama tunaomba misaada lakini haiwapi uhalali wa kuingilia mambo yetu ya ndani
Mambo yenu ya ndani wewe nani?Kama watanzania wanaiunga mkono ccm kwanini msiweke mazingira ya uchaguzi kuwa wa huru na wa haki?Muachane na changa la macho Kuwe na tume huru ya uchaguzi!🤔
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Nani mwenye hiyo jeuri? Wazee wakuhemea
 
Si kuna mtanzania mnasemaga ni Rais wa mabunge duniani? Mbona huyo Rais haheshimiwi na hilo Bunge la Ulaya? Au hawamtambui kama Rais wao?!
 
Bunge la Tanzania litoe kauli kukemea utekaji, mauaji, uvunjifu wa haki na katiba. Alafu ndio mseme sasa. Jirani hawezi kukuvumilia kila siku unapiga mke na watoto wanalia mtaa mzima.
Bora ingekuwa kupiga tu. Ni kuua na kuwapoteza kabisa.
 
Hilo bunge au team jiwe, kwani kuna bonge Tz? la kina babu tale na msukuma na mama betina wamjibu mkoloni? Huyu ambaye akiulizwa swali badala ya kujibu hoja analia kaambiwa mweusi? Unacheza kijana
 
kumbuka sovereignty inakuwa regulated na international law na conventions, huo ndio ukweli hususan na mataifa yenye nguvu duniani ndiyo maana kuna UN. Tusimpotoshe Rais na kumsababishia ugumu wa kutawala bila sababu. Huyo Lissu atolewe kuondoa depression.
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Wajaribu waone
 
Sovereignty gani wakati wewe ni ombaomba.
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
hatuhitaji mihemuko kuongea, spika dr.tulia awasiliane na spika wa bunge la ulaya aweke appointment ya kuhutubia eu, pili, tuwajue walioongea walitoka nchi gani, hizo nchi tukae nazo kando kimyakimya, sie sio mbwa ukibwekewa nawewe unabweka juu kwa juu
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Mmewakaribisha wenyewe! Mngefanya kama Magufuri alivyofanya, hata pesa tungewakopesha!
 
Mbona amtoi tamko kua nyie ni TAIFA ombaomba?kwa hao mabeberu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Mabeberu wasitupangie cha kufanya ndani ya nchi yetu tunajitegemea vi mia mbili wanavyotusaidia isiwe sababu ya kutupangia
 
Back
Top Bottom