..una sovereignity na bakuli mkononi la nini?Tanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Bunge la JMT lingelaani kwanza kupigwa, kuumizwa, kutekwa na kuuawa kwa raia waliowapigia kura.Tanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Huo uwezo wautoe wapi wakati Mwijaku ana mamlaka ya kwenda jumba jeupe muda wowote kuliko Waziri MKENDA ambaye wafanya usafi wa jumba lile walimkataza kuingia lkn hawaja kemewa na yeyote.Tanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Hivi hili bunge lina moral authority ya kufanya hicho unachokitamani? Nafikiri tunaita bunge Kwa sababu lipo kwenye majengo ya bunge.Tanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Tanzania ni Sovereign State.

kama ni kula bata sio lazima mtu aende ulaya au marekan. mbona dubai hapo pana bata la dunia nzima. mabeberu wasitutisheTajiri hanuniwi
Waulize Makonda na Palamagamba waliojaribu kuwakemea wazungu watakujuza
Labda wamtumie kibajaji aseme neno. Sio mbunge anaye jielewaTanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Siku mkiacha tabia yenu ya kupenda kuomba omba hovyo, ndiyo mtakuwa na hiyo jeuri. Ila kwa sasa kuweni tu wapole. Hamna uhuru wowote ule, na hivyo muache kujidanganya.Tanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Ungeomba kusaidiwa kuandikaTanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Hiki ulichoandika ni kama hivi "hata kama umenioa lakini hauna haki ya kuniingilia."Hata kama tunaomba misaada lakini haiwapi uhalali wa kuingilia mambo yetu ya ndani
Tena kuingiliwa kinyume na nani liu kabisa, hasa mleta mada kibaraka wa watawala!Ukishaanza kukamata na kufunga watu bila sababu za msingi, unavunja milango ya raia akina Mdude usiku na kuwapiga mpaka kuwaua, unapoteza uhalali wa kuwa taifa linalojitambua, unapaswa kuingiliwa.
Siku Mkiweza kujikomboa na kusema kwa sasa hatutumi ruzuku ya kila mwaka kwa watu wa ulaya hapo ndo mtakuwa na sauti sasa na kupanga mambo yenu Bila hivyo ni Bila bila tuTanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Naona hata Tulia Sasa hivi amekalia kuti kavu, maana Umoja wa Bunge la Dunia hawawezi kua na Rais wa Bunge kutoka nchi ambayo haina Human RightsTanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Bunge la Tanzania litoe kauli kukemea utekaji, mauaji, uvunjifu wa haki na katiba. Alafu ndio mseme sasa. Jirani hawezi kukuvumilia kila siku unapiga mke na watoto wanalia mtaa mzima.Tanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.
Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Sio mambo ya ndani tu, watawaingilia mpaka mambo ya chumbani. Kazi kuomba omba hela alafu mnajifanya vidume? Tena tulieni tuliiiiiHata kama tunaomba misaada lakini haiwapi uhalali wa kuingilia mambo yetu ya ndani