Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

Kumbuka Bunge liko kwenye Bajeti! Na sehemu ya Bajeti inategemea misaada yao hao jamaa ambao tunataka wasiingilie uhuru wa nchi yetu.
Tena tuwe wapole tukaja kukosa fedha za Uchaguzi!
Dawa ni moja tu ili kumaliza! "Free Lissu and Reforms" harafu dimba siku ya Uchaguzi.
Mnakwama wapi?
Yaani hata katika hizo 4R zenu,mnashindwa kuitumia R-Reconciliation?
 
Hata kama tunaomba misaada lakini haiwapi uhalali wa kuingilia mambo yetu ya ndani
Mambo yenu ya ndani yasingelikuwa ya kukojolea katiba, kila mtu angewasaport.

Hili la kuteka na kuua watu hakuna raia atakayewaunga mkono katika kupaza kwenu sauti.
 
4-R Zao ni za Mchongo
 
Rember there's a situation where the sovereignty is outweighed by othe factors. For example police officers turning to murderers.
 
Tz sio kijiji cha kwenu mkuu, ipo mikataba nchi imeingia achana na zile za kuuza rasilimali za nchi ,nazungumza za kimataifa, so ukirikoroga lazima ulinywe tu
 
siku ukianza kuwa na akili timamu huwezi kuandika uharo huu.

1. Unajua kuwa Samia alipookota urais chini ya mwembe mawaziri wetu walikesha kuomba fursa ya rais Samia kuonana angalau na rais wa nchi za ulaya na Marekani?

2. Unafikiri Samia hajui umuhimu wa nchi hizo kufanikisha uongozi wake hasa kifedha?
3. Uliona wapi kibaraka/mtumwa/ tegemezi akaukata mkono unaomlisha?

4. Unajua bila kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Ulaya na Marekani serikali itapwaya kwa 60%

Acheni ujinga nyie vima/kyma wa Lumumba
 
Hata kama tunaomba misaada lakini haiwapi uhalali wa kuingilia mambo yetu ya ndani

Kuua watu si miongoni mwa masuala ya uhuru wa Taifa. Tena kuna tamko la UN linalorihusi taifa lolote kuingia kwenye Taifa lolote na kufanya jambo lolote la kusaidia kuwaokoa watu kama Serikali yao au kundi lolote linaonekana kuhatarisha maisha ya jamii au kundi fulani.

Ali Kibao angepelekwa mahakamani, hakuna wa kukuingilia, lakini kumteka na kumwua, hapo unakiuka mkataba wa UN.

Serikali ya Tanzania kwa kuwa inateka, inatesa na kuwaua watu wenye mlengo fulani, hapo imetoa uhalali wa jamii ya kimataifa kuingilia kati.
 
Unachekesha! Kama vipi washushie kichapo watoto wako nyumbani kwako halafu uone kama majirani zako na wengine kama hawataingilia mambo yako ya ndani. Utakemeaje wanaokupa misaada na mikopo ili uishi? Kama hutaki kadhia ya kuingiliwa mambo yako ya ndani ishi vizuri, tenda haki
 
Umenishawishi expert wangu
 
Kwahiyo ndio umeamua kutuandikia kwa maandishi makubwa ili tukuelewe au
 
Tujibu kwanza. Nikwanini serikali iko kimya dhidi ya vitendo vya utekaji kutesa na kuua wapinzani?
 
Sovereignty ya Banana 🍌 Republic mumeua mihimili yote Bunge limekuwa ni Rubber Stamp tu ya kupigia dili limeshindwa hata kujadili mauaji na utekaji unaondelea nchini.
 
Hilo hilo bunge linalopitisha bajeti ya misaada toka kwa hao hao! 🤣
Bajeti yetu ina nakisi "deficit" ya 40% mkuu. Pesa hiyo inakuwa "covered" na hao hao mnaowaita mabeberu.
 
Haya, kemeeni in the strongest possible terms. Kemeeni through TBC, Tik Tok, gazeti la Uhuru , Mzalendo ( Hivi lipo?) 🙂 Jitutumueni kama alivyojitutumua Mama kwenye ile hotuba yake kwamba tusiingiliwe kwenye issue ya Kibao.
 
Leo parasites wa Lumumba mtaanzisha kila aina ya uzi. Hakika Bunge la Ulaya limewapiga finger ya matackle. 🤣😂
 
A sovereignty of abducting and killing people! What the hell?
 
Likitoa
Likitoa Hilo tamko nishtue
 
Tunashindwa kujitawala wacha watawala waliotupa uhuru warudi kurekebisha mambo. Ni aibu sana!
 
Shida haiko kwa hawa unaowalaumu. Shida na tatizo la nchi hii ni CCM na utawala wao wa zaidi ya miaka 64 sasa...!!

If you're poor and you expect other people to feed you and your family, then you don't have any sovereignty...!!

Haya yote uliyoyaandika hapa, kama CCM itaendelea kuongoza nchi hii, tunaweza kufika huko very soon...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…