Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Wasiofahamu Siasa za kimataifa wanaona jambo kubwa sana na wengine wanahisi Tayari wanachukua Nchi

Magharibi wameishambulia sana Saudia kwny kadhia ya Mwandishi Khashoghi alieuwawa Ubalozi wa Saudia kule Uturuki

Lakin biashara na mambo mengine yanaendelea kama kawaida na hao Wazungu

Wazungu wanakuwa serious na Wewe ukiwakazia kwny mambo yao hizi zingine ni kitchen Talks tu

Sie tunaminya Demokrasia kuliko Rwanda na Uganda?
 
Kuna baadhi ya vigogo wa CCM wanasema Bunge la Ulaya halina makali yoyote yale - ni majadiliano tu ya kawaida, kwa wao CCM wanasema mwendo mdundo -business as usual kwamba wazungu hawawezi kuipangia Tanzania namna ya kujiongoza hili ni taifa huru.
 
Wala kulikua hakuna haja ya kufika kote huku. ukiangalia mwenendo wa kesi utaona fika kuna tatizo sehemu. unless uwe huna uwezo wa kuangalia mambo kwa jicho la tatu
 
Tangu lini ombaomba anakuwa huru..!? Uhuru wa ombaomba anao anayemuomba...
Kamwe huwezi kuwa huru kama unaishi kwa misaada na mikopo

Tungekuwa huru kweli tungeshikilia msimamo wa Magufuli kuhusu Corona, lakini wote tunajua tukakimbilia barakoa na kufyata mkia
 
Suluisho la matatizo yetu ni sisi wenyewe ,Mzungu ni mtu wa kucheza na nafasi na akili hawez kukusaidia kwa chochote km maslai yake yanalindwa Nchi nying za kiafrika zina mattzo ya kisiasa ila umeona kafanya nn zaid ya kutoa matamko bas
 
Achukue hatua haraka kunusuru Tabaka la wanaolengwa na watawala kila uchao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…