Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Hiyo hapo juu ni picha ya inayosadikiwa kuwa ya mnara wa babel ambao Nimrod kwa kushirikiana na watu wengine waliujenga kwasababu ambazo ni za kishetani kwa mujibu wa maandiko na Mungu alivuruga lugha
Tazama picha inayofuata hapa chini .....
Hii ni picha ya jengo la bunge la Ulaya huko Ubelgiji ...
Majengo haya yanafanana kwa kiwango kikubwa sana,je ni kwanini?
Haya mambo ni ya bahati mbaya au ni kwa lengo maalum tu?
Wajameni mmeshajiuliza kuhusu haya waungwana?
Hiyo tisa kumi ni hii picha hapa chini ;
Hii ni sanamu ya mwanamke akiwa juu ya mnyama kama ilivyoelezwa kwenye Ufunuo 17 na sanamu hii iko nje ya jengo la bunge la Ulaya,kwanini mambo haya yako hivi?
Ni bahati mbaya tu au yapo kwa malengo maalum?
Jamani hebu tusaidiane kufikiri waungwana ......
CC: Mkuu wa chuo , Ishmael juve2012 , Ntuzu , RGforever , MTAZAMO Mentor , Kaunga EMT , Lisa Valentine Tanzania Law @Schiendler charminglady , Basluma Original Otorong'ong'o na wengineo .....!!
Last edited by a moderator: