Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Mtumishi, wakati mwingine huwa nashindwa elewa kama huwa watu wanatumia intellect yao sawa sawa? Maswali mengine yanamuonyesha mtu ni wapi upeo wake unaishia na au labda yana lengo la ku incite religious hate. Such people needs to be rebuked immediately, personally huwa sina mswalie mtume na watu kama hao.
Ni kweli mkuu

Mtu anakua na kudai eti hakuna mfanano,hivi huyu ajenda yake ni nini kama sio kutaka watu wasione?
Au nae ni mmoja wao?
Hii mada nimepienda mkuu.
Mkuu tuendelee kupashana habari ili tuwe makini

Wakati unazidi kujongea na unazidi kuwa mchache ....

Marko 13:28-29
28 Kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake liishapo kuwa laini, na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno ni karibu;
29 nanyi kadhalika, myaonapo mambo hayo yanaanza, tambueni ya kuwa yu karibu milangoni.
 
Hkuna kipya chini ya jua, kila kitu kipo kwa malengo maalum.....tukumbuke kuwa shetani alipotupwa duniani hakupokwa nguvu wala maarifa yake, so tangu wakati huo amekuwa akipanga mikakati yake na sasa angalau mambo yanaanza kuwa wazi kwa wenye kupenda kujifunza na kuzifuata njia za haki.
Kwa kutazama tu yanayoendelea Duniani kote kwa sasa utajua tu ile siku haipo mbali............
Asante mleta mada maana kwa mafundisho haya tunazidi kulitafakari neno na maandiko ya Bwana.
 
One of my prior link The European Union (EU) in Bible Prophecy: the 'revived Roman Empire' explains a lot about EU. The link is food for thought. I am recommending it for comprehension.
 
Mkuu Eiyer, mafundisho ya kisabato yangekuwa yanakubalika kwako na wadau wengine, ningechangia kuhusu kile ninachokijua kuhusu hilo suala, maana kuna mchungaji wa kisabato mzaliwa wa Afrika Kusini lakini kwa sasa akiwa kuwa Marekani aitwaye Walter Veith kalizungumzia kwa kuleta picha kama ulizoweka hapo juu, lakini maadamu nikichangia nitaishiwa kuambiwa ni mafundisho ya wanayemuita kahaba wa kisabato, najiweka pembeni.
 
Last edited by a moderator:
Hkuna kipya chini ya jua, kila kitu kipo kwa malengo maalum.....tukumbuke kuwa shetani alipotupwa duniani hakupokwa nguvu wala maarifa yake, so tangu wakati huo amekuwa akipanga mikakati yake na sasa angalau mambo yanaanza kuwa wazi kwa wenye kupenda kujifunza na kuzifuata njia za haki.
Kwa kutazama tu yanayoendelea Duniani kote kwa sasa utajua tu ile siku haipo mbali............
Asante mleta mada maana kwa mafundisho haya tunazidi kulitafakari neno na maandiko ya Bwana.

Asante kushukuru mkuu maana kuna watu humu wakiona Mungu anafanya kazi yake wanajaa hasira sana

Barikiwa mkuu ....!!
 
Mkuu Eiyer, mafundisho ya kisabato yangekuwa yanakubalika kwako na wadau wengine, ningechangia kuhusu kile ninachokijua kuhusu hilo suala, maana kuna mchungaji wa kisabato mzaliwa wa Afrika Kusini lakini kwa sasa akiwa kuwa Marekani aitwaye Walter Veith kalizungumzia kwa kuleta picha kama ulizoweka hapo juu, lakini maadamu nikichangia nitaishiwa kuambiwa ni mafundisho ya wanayemuita kahaba wa kisabato, najiweka pembeni.

Mkuu,
Nimekumention kwa makusudi maalum ...

Hili ni jukwaa huru na linapitiwa na watu wengi sana,nitashangaa kama wewe unasema ni mfuasi wa Yesu halafu unaogopa maneno ya watu,Yesu mwenyewe alisemwa kuwa anatoa pepo kwa nguvu za belzebuli na hakuacha kazi na hata walipotaka kumuuua hakuacha,iweje wewe maneno ya watu yakufanya uogope?

Mungu anafanya kazi hata mahali ambapo kwa akili za kawaida ni ngumu kuona,sio lazima nikukubalie mimi,kuna watu wengi sana wanafuatilia hii mada,ukisema kwa neno lako wanaweza kukuelewa tu mkuu na usi focus kwangu au kwa Mkuu wa chuo au Ishmael kwani kuna maelfu ya watu hapa watakusikiliza

Hebu acha woga na mwaga nondo tupate mawazo tofauti tofauti bana!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni lazima kupiga picha ili uelewe huo mnara jinsi ulivyo? Hii elimu lemavu ya non theists ni lini mtaiacha?

Inawezekana ikawa ni michoro ya kucikilika tu.Huyo mchoro Wa gorofa 4cjui ndo use mnara Wa baberi!!! We yaelekea unaamini mapicha yooote ya yesu yanayochorwa.unakili ndogo sana.
 
Mkuu Eiyer, mafundisho ya kisabato yangekuwa yanakubalika kwako na wadau wengine, ningechangia kuhusu kile ninachokijua kuhusu hilo suala, maana kuna mchungaji wa kisabato mzaliwa wa Afrika Kusini lakini kwa sasa akiwa kuwa Marekani aitwaye Walter Veith kalizungumzia kwa kuleta picha kama ulizoweka hapo juu, lakini maadamu nikichangia nitaishiwa kuambiwa ni mafundisho ya wanayemuita kahaba wa kisabato, najiweka pembeni.
Kiongozi, kwani Mungu ana dini? Tuletee mafudisho ili watu wapate elimu.
 
  • Mkuu Eiyer Kitu cha kwanza kabisa ambacho naweza kusema ni kwamba BIBLE IS REAL and GOD EXIST ndo maana unaona biblia inachukuliwa kwa mifano na watu wanaiga sana mambo ya kwenye Biblia kuliko kitabu kingine kile kwenye historia..
  • Kitu kingine Hilo jengo naweza kusema kwamba may be Engineers walitaka kujaribu kujenga na wao kama wataweza kujenga mnaraa wa BABELI au Kuna malengo ya makusudi kabisa ambayo sisi watu wa kawaida hatuwezi kufahamu ni sawa na TOP SECRET
  • Kitu kingine kabla hatujaweza kujudge ni bora tukatafuta maana kamili ya hayo majengo na huyo mwanamke aliyesimama kwenye Mbuzi wa pembe mbili anamaana gani?.. maana kila kitu kina maana Ngoja tutafute maana kamili kwanza halafu tukishajua ndo tuanze kuchambua. kama ulishapata maana kamili au mtu yeyote yule anaweza kutuambia hapa huko ulaya wanasemaje kuhusu hilo jengo na Hiyo sanamu
 
Last edited by a moderator:
Asante kushukuru mkuu maana kuna watu humu wakiona Mungu anafanya kazi yake wanajaa hasira sana

Barikiwa mkuu ....!!

Amen Mkuu.......
Ila usije kushangaa wakajaa hasira leo lakini kesho wakawa mashahidi wazuri, tuwape muda na maombi pia......tunaweza kumkumbuka Sauli kama mfano mzuri wa waliokataa huduma ya Bwana lkn mwisho wake akawa balozi mzuri na mtiifu............tuombe bila kuchoka wala tusiwakasirikie, amri mpya nawaachia, mpendane.
 
Inawezekana ikawa ni michoro ya kucikilika tu.Huyo mchoro Wa gorofa 4cjui ndo use mnara Wa baberi!!! We yaelekea unaamini mapicha yooote ya yesu yanayochorwa.unakili ndogo sana.

Kama huo sio mnara wa Babeli tupe mnara mbadala maana inaonekana unaujua mnara wa babeli ulikuwaje..... ila kama unaongea tu ili kujaza post naomba utupishe
 
Mathayo 6:33 (a) "Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake ..."

1. Hiyo 666 ni uongo. Hapo walikuwa wameandika 60 60 60 wakimaanisha miaka 60. Na picha hiyo inaendelea ivo ivo...ziko 60 60 60 ukuta mzima.

2. Mwanamke aliyetajwa kwenye ufunuo amepanda mnyama mwenye pembe saba na vichwa kumi.

3. Mambo yaliyotabiriwa yakifika hutohitaji kuanzisha thread kuyatambua. Tutayaona waziwazi..neno linasema hivyo

4. Mathayo 6:33, "Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake..." (itakufaidi nini kuyafahamu yote haya na nafsi yako bado ikaangamia katika dhambi?)
 
Pope Benedict wamewahi kukataa kuhutubia hili bunge hasa kutokana na kuonekana kwenda kinyume na Ukristo .....soma habari hii kutoka kwenye makala moja ya the guardian niliyoiweka kimafungu hasa mkuu Eiyer angalia hapo nilipo highlight kwa RED.......

Pope Benedict XVI's refusal to address the European parliament for fear it is becoming "militantly secularist" initially struck me, a humanist MEP, a triumph of equality and rationality for the EU.

I read the Vatican's contention that the EU has become increasingly "secularist" over recent years to mean less Christian. In some respects this is true. The EU refused to mention "God" in the now moribund constitution and has permitted the use of EU funding for research involving stem cells.

Since its inception over 50 years ago the EU has indeed moved away from the deeply Christian beliefs of its founding fathers in order to bring together an estimated 497m Europeans. The 2008 population count across the EU includes an estimated 16m Muslims, over a million Jews and approximately 18m atheists. Under the EU's Seventh Framework Programme for Research and Development stem cell research can be funded, on a case-by-case basis, subject to certain conditions. These conditions include a guarantee that EU cash would not be used for the destruction of human embryos, a compromise with critics of stem cell research.

But on deeper reflection, I think it's a cop-out of the grandest scale, setting a dangerous precedent for other cultural and religious leaders to "opt out" of EU proceedings if they are dissatisfied with their values and methods. By refusing to take part in the parliament's Year of Intercultural Dialogue, the pontiff is effectively holding the EU to ransom.

However, Pope Benedict's rejection of the same invitation to address the European Parliament indicates that compromise and tolerance is not what the Catholic church is about. The Vatican is in danger of looking like it is withdrawing from the proceedings of the EU because it is not in agreement with all its decisions. This is fateful for both the future of Europe and the future of the Catholic church, especially as Commission President Borrosso has offered the churches a "major contribution to the EU's ongoing dialogue".

cc RGforever
 
Last edited by a moderator:
hivi mnara wa babeli kuna maelezo yoyote ya kina yaliyowezesha kupata picha kama hiyo hapo juu au ilikuwa impression ya artist tu?
 
Back
Top Bottom