Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Kupitia uzi huu tunaweza kuona nafasi na umuhimu wa Kanisa kuwa na ushawishi kisiasa.EU inaweza kuwa ndio maandalizi ya yale tunayosoma kwenye ufunuo ......wamejiundia sheria ambazo indirectly zilikuwa zinaliingiza hata Kanisa kwenye ushetani hasa kukubaliana (indirectly) na yale yanayopingwa na Kanisa ......Kwa mfano angalia hoja hizi zilizokuwa zinajengwa ktk article 52 ya EU na jinsi Kanisa lilivyopambana kuepusha kuingizwa kwenye "system" za kishetani .........na hii ni moja ya hoja ya Kanisa iliyopingwa vikali.............

The Vatican wanted five points to be included in the Constitutional Treaty.

The recognition of an exemption from European law and regulations that the church considered to violate its teachings. Religious freedom already grants the church the right to administer itself as a faith community, according to its teaching. This new right would institutionalise on a European level an exemption that grants the church the right to implement employment practices without having to comply with European policies and regulations that the church considers a violation of its teaching.

This means that Catholic-run or affiliated hospitals, schools and social service projects would not have to respect EU principles and laws on non-discrimination. In the name of "institutional religious freedom" and "subsidiarity" Catholic-affiliated projects could refuse to hire and could fire gay, lesbian, bisexual and transgendered people, and divorced and re-married people as well. They could also refuse to hire or fire people who publicly express disagreement with church positions on key policy issues, like contraception or abortion.

Helmut Kohl, then Christian Democrat chancellor of Germany and an ally of the German bishops, succeeded in overcoming the resistance of the French delegates to have this right recognized and added to the Treaty of Amsterdam, the 1997 compact between the EU member nations outlining the foundations for an expanded EU in the 21st century. The Vatican's desired language was annexed in Declaration No. 11-the first mention of the church in a European legislative document-and it allows for all organisations recognised as a church or a community of faith or conviction to be exempt from Article 13 of the treaty, which prohibits discrimination on the grounds of religion or sexual orientation. The Vatican sought to have this declaration promoted from an annex to an integral part of the new constitution.
 
Mkuu Eiyer... Hata Nuhu alihubiri miaka 120 lakini watu hawakusikia. Na mwisho waligharikishwa.

Basi sasa ule mwisho utakapofika ndipo kila kitu kitakuwa wazi na kila mmoja atajua ukweli ni upi na uongo ni upi!

Hakuna haja ya kubishana na watu wasioamini kitu fulani, Hiyo sio coincedence bali ni mkakati maalumu.

Biblia inasema katika Mathayo 5: 18 "Kwa maana amini nawaambia mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka yodi moja wala nukta moja ya Torati haitaondoka hata yote yatimie" Hivyo basi kila kilichoandikwa katika biblia lazima kitatimia.

Biblia sio gazeti wala hadithi bali ni Unabii wa Mungu mwenyewe.

"Asomaye na afahamu"
 
Last edited by a moderator:
Amen Mkuu.......
Ila usije kushangaa wakajaa hasira leo lakini kesho wakawa mashahidi wazuri, tuwape muda na maombi pia......tunaweza kumkumbuka Sauli kama mfano mzuri wa waliokataa huduma ya Bwana lkn mwisho wake akawa balozi mzuri na mtiifu............tuombe bila kuchoka wala tusiwakasirikie, amri mpya nawaachia, mpendane.

Barikiwa mkuu .....!!
 
Mkuu Eiyer... Hata Nuhu alihubiri miaka 120 lakini watu hawakusikia. Na mwisho waligharikishwa.

Basi sasa ule mwisho utakapofika ndipo kila kitu kitakuwa wazi na kila mmoja atajua ukweli ni upi na uongo ni upi!

Hakuna haja ya kubishana na watu wasioamini kitu fulani, Hiyo sio coincedence bali ni mkakati maalumu.

Biblia inasema katika Mathayo 5: 18 "Kwa maana amini nawaambia mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka yodi moja wala nukta moja ya Torati haitaondoka hata yote yatimie" Hivyo basi kila kilichoandikwa katika biblia lazima kitatimia.

Biblia sio gazeti wala hadithi bali ni Unabii wa Mungu mwenyewe.

"Asomaye na afahamu"

Amen mkuu ....

Hawa nawapuuza tu mkuu kwani muda utazungumza vizuri sana ......!!
 
Yes ofcourse Mungu hana Dini..Kila kiumbe kilichopo Duniani ni chake kinachoabudu na kisichomuabudu...

Hapo Mwanzo hakukuwa na Dini Yeyote ukristo, Uyahudi, Buddha ila Mungu aliwapenda watu na kuwaokoa kina Nuhu, Ibrahim, n.k

Wanaodhani Mungu anahitaji dini ni watu wasiomjua Mungu

Binadamu ndie aliyetengeneza dini
Mungu hakuanzisha dini yoyote,labda Mungu fake

Mungu alileta habari njema

Mungu awe na dini ili amuombe nani?

Ukristo sio dini ...!!
 
Inawezekana ikawa ni michoro ya kucikilika tu.Huyo mchoro Wa gorofa 4cjui ndo use mnara Wa baberi!!! We yaelekea unaamini mapicha yooote ya yesu yanayochorwa.unakili ndogo sana.

Ujinga wa mtu upo moyoni mwake..rudi darasa la kwanza ujifunze mwandiko...ndipo uje utoe hoja zako..huu uzii mzito sana kama huezi kuchangia bora ukae kimya au upite hiviii...
 
Ujinga wa mtu upo moyoni mwake..rudi darasa la kwanza ujifunze mwandiko...ndipo uje utoe hoja zako..huu uzii mzito sana kama huezi kuchangia bora ukae kimya au upite hiviii...

We ndo umechangia nini sasa ktk Huyo ??ulipoandika uzii ndo kuonyesha msisitizo au na wewe bado unajifunza mwandiko??jinga lingine kabisa.kila kitu hata cha kipuuzi mnaleta kijadiliwe.vingine vinaletwa kupoteza mda na ili mabwege kama nyie mkodoe mijicho kujiona mnajifunza kumbe mnajazwa ujinga!!mamb ya kufikirika sinaga time mayo.
 
We kilaza ingekua sio ban leo ungenitambua...dume zima umekaa kindezii mxiuuuu...naipenda ID yangu la sivyo ningekufunza kusafisha kinywa ili uweze kuongea maneno ya staha...
 
We kilaza ingekua sio ban leo ungenitambua...dume zima umekaa kindezii mxiuuuu...naipenda ID yangu la sivyo ningekufunza kusafisha kinywa ili uweze kuongea maneno ya staha...

Mambo...
 
hivi mnara wa babeli kuna maelezo yoyote ya kina yaliyowezesha kupata picha kama hiyo hapo juu au ilikuwa impression ya artist tu?
Yapo maelezo ambayo yanaichora hiyo picha.
 
Mungu hana dini mkuu?
Mungu hana dini mkuu na wala haitaji dini.

Dini ni jaribio la mwanadamu kuwa na uhusiano na Mungu. Imani ya kikristo ni uhusiano na Mungu kwa sababu yale ametufanyia kupitia kwa kusulubiwa kwa Yesu Kristo. Hakuna mpango wa kumfikia Mungu (Yeye ametufikia Warumi 5:8). Hakuna kulipa mahari (yote tumeyapokea kwa neema- Waefeso 2:8-9). Kusiwe na mfutano wowote juu ya uongozi (Kristo ndiye kuchwa cha kanisa- Wakolosai 1:18). Kusiwe na upaguzi wowote (wote tu sawa katika Kristo- Wagalatia 3:28).
 
Umemjibu Vizuri maana kuna watu huwa wanataka kumfanya Mungu watakavyo wao... kumlazimisha kuwa Mungu ana Dini ambayo Yeye Yupo

Amesahau kuwa Hekima Ya Mungu haijali Dini ndo maana Unaweza Kuwa Mkristo Mwisho wa Siku ni Motoni...

Unaweza Kuwa mtu mwema sana na Wala hukuzijua Sheria ila kwa Wema wako kwa Watu na Upendo ambao Mungu aliuweka toka Mwanzo ukafurahia Mbingu... Huu wema na Upendo walikuwa nao Manabii wa Zamani na Mababu wetu ambao hata sheria moja ya Musa hawakuijua na Wala hawakumjua Yesu Kristo
 
Mathayo 6:33 (a) "Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake ..."

Imeandikwa Pia kwa Mtu yeyote atakaye kubali kutiwa chapa ya mnyama kwenye paji la Uso au mkono wa kulia atapata adhabu sawa na huyo mnyama... Ufalme wa Mungu tunautafuta kwanza kwa kukataa chapa ya huyo mnyama. Na tutaikataa kwa kumjua kwanza huyo mnyama ni nani..
1. Hiyo 666 ni uongo. Hapo walikuwa wameandika 60 60 60 wakimaanisha miaka 60. Na picha hiyo inaendelea ivo ivo...ziko 60 60 60 ukuta mzima.

Ndiyo hata kama wanamaanisha hivyo kwanini waweke 60 60 60 tatu.? Na umeshawahi kujiuliza na Kusoma why kiti namba 666 hakina mtu?

2. Mwanamke aliyetajwa kwenye ufunuo amepanda mnyama mwenye pembe saba na vichwa kumi.

3. Mambo yaliyotabiriwa yakifika hutohitaji kuanzisha thread kuyatambua. Tutayaona waziwazi..neno linasema hivyo

4. Mathayo 6:33, "Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake..." (itakufaidi nini kuyafahamu yote haya na nafsi yako bado ikaangamia katika dhambi?)

Pia kuna Mnyama wa Pili kwenye UFUNUO 13 ana pembe mbili kama mwanakondoo...

Ulishawahi kupitia hapo?
 
RGforever sorry bro am too busy to reply. Hizi mambo zenu za kupoteza muda kumjua shetani mi siziezagi bana. Huyu Mungu wangu na maajabu yake tu sijaweza kumfahamu vyema.
Raha ya kumjua Mungu bana ni kuwa yatakapotokea haya ya kutokea hutohitaji kuingia jf au google kuyajua. Atakuonesha. Unakumbuka ya Nuhu? Before he even destroyed Sodom and Gomorah alimshirikisha mtumishi aake Nuhu!

Kwenye huo ukuta kuna 60 60 60 nyingiiiii ukuta mzima.

Jana nilikuwa naongea na mtu nikamwambia: shetani anachotaka ni kutupotezea muda tusimwabudu Mungu kwa kutupa vikazi ambavyo kwa nje vitatufanya tuone kama tunaabudu kumbe kiundani tunapoteza muda. Na lengo lake linakuwa limetimia.

Nataka nimjue Yesu, na nizidi kumpambanua
Anenavyo kitabuni kujidhihirisha kwangu!
 
Mkuu hongera sana kwa kuliona ilo.shetani anatufanya wehu sana kwa kutupa vijikazi vya kipuuzi kuvijadiri ili tupoteze mda tu na kuacha kusali na kufanya mambo mengine ya maendeleo.ebu imagine nguvu watu wanayotumia kufukunyua mitandao cjui wanaingia adi kweny kumbukumbu za kanisa na pahala kibao.je effort io ingetumika kuwazia mambo ya maendeleo ingekuaje??
 
Last edited by a moderator:
RGforever sorry bro am too busy to reply. Hizi mambo zenu za kupoteza muda kumjua shetani mi siziezagi bana.

Bila samahani... sasa utamjuaje huyo shetani atakayejidhihilisha kama hautakuwa umemsoma kwenye Biblia.

Inamaana kwamba kama utagundua hii chapa ni ya mnyama jua tayari ulishasoma ufunuo 13 maana ndipo ilipokuwepo...

Kumbuka Hata Biblia inamfunua Shetani na Mungu anatuambia kuhusu yeye.. ili tumjue na tujiepushe naye. UFUNUO imetoa siri zake..

Sasa nashangaa wewe unasema hutaki habari hizo za kumjua wakati biblia utakayoenda kuisoma inafundisha mambo yote mabaya ya Shetani......

Kama Asingekuwepo shetani Biblia isingeandikwa

Huyu Mungu wangu na maajabu yake tu sijaweza kumfahamu vyema.
Raha ya kumjua Mungu bana ni kuwa yatakapotokea haya ya kutokea hutohitaji kuingia jf au google kuyajua. Atakuonesha. Unakumbuka ya Nuhu? Before he even destroyed Sodom and Gomorah alimshirikisha mtumishi aake Nuhu!

Kwenye huo ukuta kuna 60 60 60 nyingiiiii ukuta mzima.

Jana nilikuwa naongea na mtu nikamwambia: shetani anachotaka ni kutupotezea muda tusimwabudu Mungu kwa kutupa vikazi ambavyo kwa nje vitatufanya tuone kama tunaabudu kumbe kiundani tunapoteza muda. Na lengo lake linakuwa limetimia.

Nataka nimjue Yesu, na nizidi kumpambanua
Anenavyo kitabuni kujidhihirisha kwangu!

Safi mkuu.... but si dhambi kumjua shetani pia hata kwa alama... ndo maana sisi hatuja conclude jambo lolote kwamba kwa vile ipo 666 basi ni ile ya Ufunuo.

Ila Sisi tunajiuliza haya ili kujifunza kwahiyo kama unataka kujifunza hutoona jambo lolote baya....

SOMA KICHWA CHA THREAD KIMEANDIKWA HII NI BAHATI MBAYA AU NI MALENGO MAALUMU.

Sasa kama wewe unajua maana ya hilo jengo tuambie na Huyo mnyama na mwanamke tuambie maana hakuna kitu kinawekwa tu bila malengo
 
Last edited by a moderator:
hivi mnara wa babeli kuna maelezo yoyote ya kina yaliyowezesha kupata picha kama hiyo hapo juu au ilikuwa impression ya artist tu?

Yes Through Story Telling na Makumbusho ya Picha huko Iraq maana ndo kina sehemu palipoyengenezwa Huo mnara
 
Back
Top Bottom