RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,432
Mkuu hongera sana kwa kuliona ilo.shetani anatufanya wehu sana kwa kutupa vijikazi vya kipuuzi kuvijadiri ili tupoteze mda tu na kuacha kusali na kufanya mambo mengine ya maendeleo.ebu imagine nguvu watu wanayotumia kufukunyua mitandao cjui wanaingia adi kweny kumbukumbu za kanisa na pahala kibao.je effort io ingetumika kuwazia mambo ya maendeleo ingekuaje??
Kitabu cha Biblia kimeandika mambo mengi sana kumuhusu shetani na kazi zake na jinsi gani tuziepuke.. huwezi kulipinga hilo
IN RED
Mentor amesema tafuteni Ufalme wa Mungu kwanza wewe unasema Tofauti
Hivi Unafikiri kazi za Maendeleo hata Watu waovu hawawezi kuzileta? Hata shetani ndo ahadi yake kuu kwa Yesu alivyokuwa anamjaribu