Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Ok Eiyer nimekuelewa.Kwa hiyo wewe doubt yako ni pale kwenye Daniel,kwamba Rumi haipo.Labda tujiulize kidogo,ni sifa gani zilitumika kuziingiza falme katika unabii wa Sanamu?Falme ni nyingi duniani,lakini pale tumepewa tano tu,which means kwamba kuna sifa maalum zilizotumika kuchuja wengine wote na kupata falme hizo tano.Then baada ya hapo tutazame katika historia kama vimeshakuwepo vitu vyenye sifa hizo au bado.Then tujadili hawa wanyama na Mungu atuongoze.
Rumi ipo kwa maana hizo Falme kulingana na wale Wanyama au tukirudi katika ile mfuatano wa ile sanamu ina maana zilikuwa zikienda kwa kupokezana na historia inaonyesha baada ya Ugiriki ilifuatia Rumi, na kipindi cha Yesu Rumi ndio iliyokuwa ikitawala... kwa hiyo sifa kubwa ilikuwa ni ile trend ya mfuatano wa zile Falme ndio maana huwezi iweka Ottoman hapo au Falme nyingine...