juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Nipo makini kufatilia hatua kwa hatua
lakini kuna mdau kasema Mungu hana dini,hili linanipa wakati mgumu kuamini.
Binafs Kupitia maandiko matakatifu naona kabisa kupitia nabii Musa,kupitia Yesu kirsto na manabii wengine Mungu alijitambulisha vyema kwa mwanadamu,
Yesu kirsto alikuja kuingunisha mwanadamu aliyejitenga na MUNGU
NIPO TAYARI KUKOSOLEWA
ila naamini kabisa kuputia agano la kale na agano jipya,Mungu katuelekeza dini ya kufuata
Labda tungejaribu kudadavua maana ya dini.Halafu tutazame kama ni lazima dini na imani kuwa kitu kimoja.