juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Roman empire ndio msingi mkuu wa ulaya iliyoungana.Kabla ya akina Constantine na emperors wengine wa kirumi kuleta vision ya kuunganisha ulaya chini ya himaya ya kirumi,hakukuwa na ulaya iliyoungana.Ni wakati wa ukoloni wa warumi ndipo hizi idea za kuungana na kuwa na superstate ya ulaya zikaletwa.
Constantine alifanya kazi kubwa kuintergrate culture za wazungu wa ulaya,na silaha yake ya kutumia dini ya ukristo kuunganisha himaya ya rumi ilisaidia sana.
Hivyo ni ngumu kuzungumzia asili ya muungano wa ulaya bila kutaja roots zake ambazo ni ancient roman empire.
Enzi zile,emperors na popes walitumia vitu viwili,doctrine of apostolic succession na doctrine of temporal powers kuunganisha kanisa na serikali na kupata nguvu kubwa ya utawala.
Kwa kiasi kikubwa ukristo ule uliowekwa na Constantine ilikuwa gundi iliyounganisha makabila ya ulaya na ukawa mwanzo wa taswira ya ulaya iliyoungana inayotafutwa leo.
Kuanguka kwa himaya ya kirumi kulileta power struggle kati ya mabaki ya himaya hiyo na baada ya kipindi kirefu cha mivutano,yakazaliwa mataifa haya makubwa ya ulaya tuyaonayo leo.
Leo hii ulaya inataka kuungana tena.Na sio kuungana wao tu,bali kuunganisha dunia nzima.
Zipo challenge nyingi sana zinazoukabili muungano huu,na ukichunguza kwa makini,mojawapo ya obstacles kubwa ni tofauti za kiuchumi na kiutamaduni kati ya nchi za ulaya mashariki na ulaya magharibi.Hizi tofauti zina asili yake katika anguko la Rumi,ilipogawanyika na kuleta civilization tatu,Western,Byzantine na Islam pale middle east.Civilization hizo zina influence fulani katika kushape culture,uchumi na politics za maeneo zilipokuwepo.
The only way kwa ulaya kurudia enzi zake za utukufu ni kutumia method ile ile iliyosababisha izaliwe,nayo ni kufuata njia za Rome.Na mzee Benedict XVI ameshawashauri,kuwa ili wafanikiwe,they have to go back to their roots.
Katika his third encyclical,Benedict alisema,"there is a need for world political authority that would have wide-ranging influence in other areas as well,to manage the global economy,to revive economies hit by the crisis,to avoid any deterioration of the current crisis and the greater imbalances that would result,to bring about integral and timely disarmament,food security and peace,to guarantee the protection of the environment and to regulate migration,for all this,there is urgent need of A TRUE WORLD POLITICAL AUTHORITY."
Mwaka 2005,wakati akihojiwa na Eberhard von Gemmingen wa idhaa ya kijerumani ya radio Vatican,Pope Benedict XVI alisema,"many heavy burdens exist in our modern western society,driving us away from Christianity.There should be a renewal of Europe's Christian roots.Extrapolating the continent's civilization and technology from its deep roots in Christianity,and attach them to less secure moorings,was a mistake.I believe civilization,with all it's dangers and hopes,can only be tamed and led back to greatness if it recognises again the sources of it's power."
Hivi karibuni,akiwa ametembelea jumuiya ya Sant'Egidio huko Roma,papa Francis alitamka kauli kama ya mtangulizi wake,akisema,"Europe is tired,We have to help Europe rejuvenate,to find its roots.It is true,Europe has disowned its roots,and we must help Europe discover those roots."
Papa Yohane wa pili nae aliwahi kuzusha mtafaruku pale alipowaomba viongozi wa ulaya wafikirie kwa kina na kuhakikisha katiba ya jumuiya ya ulaya inatambua Europe's "Christian base".
Is this a call for church and state union?
Pia,juhudi nyingi zinafanywa na Vatican kuunganisha dini za dunia.Ni wazi kwa tofauti ya kimafundisho iliyopo,kama lengo hili litafanikiwa,basi dini nyingi zitalazimika kuacha mafundisho yake mengi unique ili kwenda sawa na wengine kwenye hiyo dini moja.Kwa hiyo ni wazi papa na viongozi wa dini wengine wanapofikiria kuungana,wanaelewa vizuri gharama ya muungano huo kwenye mafundisho makali ya dini hizo.Ni wazi yataachwa.Na katika mtazamo wa kidini,kuacha doctrine za msingi ili uendane na dunia ni apostasy kubwa sana.Dunia inapaswa kukufuata,siyo wewe ufuate dunia.Ila huko ulaya wamekazana.The WCC etc.Are we heading to a new world religion?Na kama ndio,dini hiyo itaweza kubeba mafunzo yote makali ya dini zote?jibu hapana.Itabidi yachakachuliwe kutafuta common grounds in favour of the so called "world peace" na uhuru wa kila mtu kama gays etc.Na mwelekeo tumeanza kuuona.Now,effort zote hizi huko ulaya zinaleta picha gani in the near future?binafsi naona muungano wa ulaya(revived roman empire) ukileta msukosuko wa kuunganisha na dunia yote,huku juhudi za kutengeneza apostate religion(mwanamke Babel),itakayoenea na kufuatwa na watu wengi(maji ya bahari) zikipamba moto.namuona beast mwekundu akiwa kasimama, juu yake kambeba mdada,paleeee nje ya bunge la ulaya.