Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Ngoja ni assume unajua ulichoandika ....

Mpinga Kristo sio yule ambae mimi na wewe tunamtaka awe bali ni yule ambae maandiko yanamsema kuwa ndie,sasa basi kwakuwa umekleta hapa unachodai ni ushahidi wa Upapa kuwa ni Mpinga Kristo,nitakuuliza maswali mawili

1;Ni nini maana ya Mpinga Kristo?

2;Tabia ya Mpinga Kristo imesemwa kwenye Biblia ambayo ni hii hapa chini

1Yohana 2:22-23
22 Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na
Mwana.

23 Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.

Sasa huyo Papa metimizaje hayo?

Zingatia kwe nye red ........
Sasa naomba unijibu hayo maswali na nakushauri uachane na bla bla za kwenye mtandao,sifa ya mpinga Kristo ipi wazi kabisa!

Nimeleta mada ya Kiingereza, inaonesha imekupiga chenga, uliza kwa Kiingereza. Hapo sasa.

Wakati bado unajishauri uanze vipi, pata raha kidogo:

Satanism In The Vatican!
popecross.jpg
Please notice the picture above with an upside-down cross. In his article, The Kingdom of Satan, Professor J.S. Malan says this about the inverted cross . . .
"This cross is not broken, but turned upside down. It indicates the rejection of Jesus Christ and contempt for the gospel of salvation. Inverted symbols are typical of the opposite values pursued by Satanists. People who are sometimes sacrificed to Satan on Black Sabbath are crucified upside down in accordance with this tradition."
"...even now are there many antichrists…" -1st John 2:18
pope_is_a_dope.jpg
It is easy to find Satanic websites and occult stores where you can purchase all types of items with inverted crosses. The "Upside Down Cross" symbolizes mockery and rejection of Jesus. Necklaces are worn by many Satanists. It can often be seen on Rock singers and their album covers."
"...and no marvel; for Satan himself is transformed into an angel of light"
-2nd Corinthians 11:14.

The "Bent Cross" is a grotesque emaciated depiction of Jesus Christ, the only Son of God who died to provide salvation for those who believe in Him. This scepter is used by the Popes on many occasions. Its occult ramifications and connections cannot be disregarded.
bentcross.jpg

Pope John Paul II with frontal view of the Bent Cross.

Pope John Paul II with side view of the Bent Cross.
The Catholic religion often calls herself the "Mother Church." She's NOT the mother of Christ's church! By calling herself "mother" she is telling on herself. Is this the abomination spoken of in the Scriptures? . . .
THE MOTHER OF HARLOTS AND ABOMINATIONS OF THE EARTH
(Revelation 17:5)!
Notice the Catholic religion calls herself a woman. The Bible calls Catholicism a -----, and what a GREAT WHOREshe is-committing spiritual fornication with the kings and rulers of the earth (nearly every king throughout history has had some type of political, economic or religious ties with the Vatican). Read about how Nazi Germany and the Vatican worked together to murder millions of innocent Jews in the holocaust! Read The Vatican's Holocaust. She's DRUNKEN with the blood of the saints. Study the Inquisitions-the torture and killing of tens-of-millions of people.Oh, even the antichrist is naked in light of God's word.
"Little children, it is the last time: and as ye have heard that antichrist shall come, even now are there many antichrists (Popes and priests); whereby we know that it is the last time" -1st John 2:18
"And the woman was arrayed in purple and scarlet color (official Vatican colors), and decked with gold and precious stones and pearls (the Vatican is filthy rich), having a golden cup in her hand full of abominations (the Holocaust, inquisitions, etc.) and filthiness of her fornication: And upon her forehead was a name written, MYSTERY (very few people realize where the Catholic religion started), BABYLON THE GREAT, THE MOTHER OF HARLOTS (who seduce people into their damnable religion) AND ABOMINATIONS OF THE EARTH" -Revelation 17:4,5
Catholicism's ill-gotten children profess to know Christ but do service to Satan by disregarding the commandments of God in order to keep the traditions of men which papists even themselves call "TRADITION." Why is she (the -----) called a mystery? The antichrist spirit of ancient pagan Babylon, though seemingly long fallen, lives in the rites and blasphemies of the Roman Catholic religion. Now that ancient Babylonian false religion lives today within the Catholic religion, disguised by Christian names. What a Satanic scam! The queen of heaven is now... Mary! Mystery Babylon lives, undetected by doomed millions across the world.
"The children gather wood, and the fathers kindle the fire, and the women knead their dough, to make cakes to the QUEEN OF HEAVEN...that they may provoke me to anger" -Jeremiah 7:18
Notice the Halo around Mary (especially her head). The is an idolatrous practice of the Catholics which symbolizes deity (that she is equal with God).The Babylonians practiced the same idolatrous worship to the Queen of Heaven. Mary is NOT deity, she was a normal every-day woman. Yes friend, Satan is definitely working in the Vatican and in Catholic organizations all across the world. Though most Catholics will deny worshipping Mary, the evidence says something very different! They bow down and literally pray in the name of "Mother Mary" to a graven statue of Mary. This is sinful idolatry! They are lying through their teeth. God makes CLEAR in His Word that He will NOT share His glory with another (that includes Mary).
"I am the LORD: that is my name: and my glory will I not give to another, neither my praise to graven images." -Isaiah 42:8
How could anyone be so foolish to actually bow down in prayer to a statue of Mary, yet at the same time deny that they are worshipping her? Talk about crazy! God clearly command us in the second of the Ten Commandments NOT to make unto ourselves ANY graven images.
"Thou shalt not make unto thee any graven image, or any likeness of any thing that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth:" -Exodus 20:4
Do the Catholics need glasses? It says right there in black and white in Exodus 20:4 that we are NOT to make unto ourselves ANY likeness of anything that is in heaven!!! Mary is in Heaven. We are NOT to make any likeness of her according to Exodus 20:4. So what do you call a statue of mother Mary?It surely is a likeness of her, a graven image! Here's another shocker...
"Thou shalt not bow down thyself to them..." -Exodus 20:5
Ok, so then why does every Catholic BOW DOWN before a statue of Mary in their worship places? I'll tell you why... because they are practicing FALSE religion totally void of the truth of God. You can argue whether or not you are worshipping Mary as your bowing down to her; but one thing is for certain, God has commanded us in Exodus 20:5 NOT TO BOW DOWN to her. Even if your not worshipping Mary, you ARE SINNING if you bow down to her because the Bible strictly forbids it! As I write, millions of people all around the world are bowing down to Mary in violation of God's Word. Yes, Satanism is in the Vatican!
"Howbeit in vain do they worship me, teaching for doctrines the commandments of men." -Mark 7:7
"For false Christs and false prophets shall rise, and shall shew signs and wonders, to seduce, if it were possible, even the elect." -Mark 13:22

Source: Satanism In The Vatican!
 
Nimeleta mada ya Kiingereza, inaonesha imekupiga chenga, uliza kwa Kiingereza. Hapo sasa.

Wakati bado unajishauri uanze vipi, pata raha kidogo:
Please notice the picture above with an upside-down cross. In his article, The Kingdom of Satan, Professor J.S. Malan says this about the inverted cross . . .

Faiza,naamini wee ni mtu mzima kabisa na una uwezo wa kuelewa,kwasababu hiyo basi sitegemei kuwa na sababu ya kuamini vinginevyo

Kama niko sahihi,nashindwa kuelewa kinachokufanya ushindwe kunielewa pale ambapo nakuuliza mambo ambayo ni wzi kabisa na mstari nilikuwekea

Labda nikusaidie kitu,ni kwamba sio kila muabudu shetani ni mpinga kristo kwa maana ile ambayo imetajwa kwenye Biblia ikimzungumzia Mpinga Kristo,kwenye Biblia amezungumzwa Mpinga Kristo na ameelezwa sifa zake na moja kati ya sifa yake kubwa ni hiyo niliyokuwekea hapo kwenye hilo andiko

Kwa maana hiyo sasa ni kitu gani kimekufanya uniwelee hapa hii copy and paste yako wakati haijibu nilichokuuliza?

Nilikuuliza kuwa,Papa ana sifa hiyo ambayo inasemwa hapo kwenye andiko?

Na swali lingine ambalo nilikuuliza ni maana ya Mpinga Kristo

Hiyo Copy and paste yako haina jibu hata noja ya maswali niliyokuuliza,lakini pia nilitarajia uje na maandishi yako mwenyewe lakini nasikitika hujafanya hivyo

Hebu nijibu nilichokuuliza na achana na coy and paste,hayo wanafanya wale ambao hawana uwezo wa kujenga hoja na siamini kama wewe huna uwezo wa kujenga hoja

Karibu ...!!
 
FaizaFoxy, msalaba uliogeuzwa juu chini si ishara za ushetani Vatican, hiyo ni kumbukumbu ya kifo cha Petro ambaye alisulubishwa kama Yesu huku msalaba ukigeuzwa juu chini
 
Last edited by a moderator:
Kubishana na Bwenga! Ni kupoteza muda tu.

Km wewe na WAKRISTO WOTE MNASEMA KWELI KUWA BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU.
Hebu nitajie majina ya BABA ya WAANDISHI WA BIBILIA!

MARK...who?
MATHEW. ..who?
LUKE....who?
JOHN. ..who

Ukiweza Kunipa tu MAJINA YA BABA ZAO kwa USHAHIDI WA ANDIKO basi na mimi unanibatiza Bila maji Hata leo.!

La Huwezi basi ukubali kuwa HAWA WOTE NI WATOTO WA ZINAA waliozaliwa Mitaani wasiowajua BABA ZAO.

Nasubiri MAJINA YA BABA ZAO, tena sio wewe tu. NA MKIRISTO YYT ANAESOMA HAPA!

Sasa tazameni Wagalatia WATAKAVYO GEUZA UZI!

teh teh teh teh.

nawe nipe andiko toka katika Koran linalokataza ngono na wanyama, sababu waarabu wanasema PILGRIMAGE TO MECCA IS INCOMPLETE WITHOUT COPULATING WITH A CAMEL!
 
FaizaFoxy, msalaba uliogeuzwa juu chini si ishara za ushetani Vatican, hiyo ni kumbukumbu ya kifo cha Petro ambaye alisulubishwa kama Yesu huku msalaba ukigeuzwa juu chini

Na swali la kichokozi kwako,kwanini akumbukwe Petro badala ya Yesu?
 
Last edited by a moderator:
nawe nipe andiko toka katika Koran linalokataza ngono na wanyama, sababu waarabu wanasema PILGRIMAGE TO MECCA IS INCOMPLETE WITHOUT COPULATING WITH A CAMEL!

Ss Mkuu kama huna jibu si bora ungebaki kimya tu, kuliko hicho ulicho kifanya unazid kujivunjia heshima tu!!!
 
Na swali la kichokozi kwako,kwanini akumbukwe Petro badala ya Yesu?

Kwanini tunamkumbuka Nyerere..? Kuna baadhi ya mambo amefanya Nyerere Mazuri ndio maana tunamkumbuka..hata tuna special day kwaajili yake....

Petro kama mtu aliyekubali kutoa maisha yake kwa Kristo hata kufa tena kwa kusulubiwa kichwa chini miguu juu, Kama Wakristo lazima umkumbuke kama kioo kwa Ukristo, mfia dini na aliyetunza Imani....
 
Na swali la kichokozi kwako,kwanini akumbukwe Petro badala ya Yesu?

Unajua saa nyingine inachosha sana ..... mnakonsetreti sana kwenye vitu ambavyo huwezi kudhibitisha hata kwa nukta ya maandiko vinahusiana vipi na upinga kristo.Wakatoliki wanakwambia alama ya msalaba kwenye kiti cha Pope ni kumbukumbuku ya kifo cha Petro arifa wa kwanza wa Yesu....lakini unalazimisha imani yako kinyume na wahusika wanavyoamini.......sasa unazidi kutia aibu kwa kuuliza eti kwanini tumkumbuke Petro na si Yesu !!!!! basi Biblia yote ingeandikwa habari zinazomuhusu Yesu tu ili tuiamini!!!! Kwanza mlidanganya maana ya msalaba kugeuka specifically kwenye kiti cha Pope lakini mliposhindwa Kitheolojia sasa hoja ni kwanini akumbukwe Petro!!!!
 
Mkuu nimeuliza swali nikiitaji majibu km mwenzako hapo juu alivyonijibu. Sasa badala kujibu unaanza kuleta habari nyingine kabisa! So hivyo mkuu na ukizingatia hayo maelezo ya msalaba ameleta mwingine na mimi nimeuliza tu swali.
 
FaizaFoxy, msalaba uliogeuzwa juu chini si ishara za ushetani Vatican, hiyo ni kumbukumbu ya kifo cha Petro ambaye alisulubishwa kama Yesu huku msalaba ukigeuzwa juu chini

Ushoga uliojaa Vatican nao si "anti Christ"?

[h=1]The Vatican's Secret Life[/h]
Despite headlines about a powerful "gay lobby" within the Vatican, and a new Pope promising reform, the Catholic Church's gay cardinals, monks, and other clergy inhabit a hidden netherworld. In Rome, the author learns how they navigate the dangerous paradox of their lives.

By Michael Joseph Gross

inShare​

Source: [url]http://www.vanityfair.com/culture/2013/12/gay-clergy-catholic-church-vatican

[/URL]
 
nawe nipe andiko toka katika Koran linalokataza ngono na wanyama, sababu waarabu wanasema PILGRIMAGE TO MECCA IS INCOMPLETE WITHOUT COPULATING WITH A CAMEL!

Umeshindwa kujibu hii, sema tu, nimeshindwa na hao hawana baba:

quote_icon.png
By kahtaan
Kubishana na Bwenga! Ni kupoteza muda tu.

Km wewe na WAKRISTO WOTE MNASEMA KWELI KUWA BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU.
Hebu nitajie majina ya BABA ya WAANDISHI WA BIBILIA!

MARK...who?
MATHEW. ..who?
LUKE....who?
JOHN. ..who

Ukiweza Kunipa tu MAJINA YA BABA ZAO kwa USHAHIDI WA ANDIKO basi na mimi unanibatiza Bila maji Hata leo.!

La Huwezi basi ukubali kuwa HAWA WOTE NI WATOTO WA ZINAA waliozaliwa Mitaani wasiowajua BABA ZAO.

Nasubiri MAJINA YA BABA ZAO, tena sio wewe tu. NA MKIRISTO YYT ANAESOMA HAPA!

Sasa tazameni Wagalatia WATAKAVYO GEUZA UZI!

teh teh teh teh.
 
Shangazi Nyakageni Hayo ndio majina ya WAANDISHI WA BIBILIA?

Nasema hivi HAKUNA KTK HISTORIA YA ULIMWENGU HUU Toka binaadamu Aanze kutumia KALAMU halafu akaandika HABARI YYT bila KUWEKA JINA LAKE NA LA BABA YAKE au La UKOO WAKE Ispokuwa BIBILIA PEKE YAKE!

Natoa Challenge Hii kwa MKRISTO YOYOTE Aje hapa ANIANDIKIE MAJINA YA HAWA WAANDISHI WANNE WA BIBILIA kwa USHAHIDI WA ANDIKO.

NA Atakaeweza Kufanya hivyo LEO LEO kahtaan anavaa msalaba kilo 20! Na kile kikofia km muuza Karanga! Na Ile damu ya yesu (dodoma wine) Naahidi kunywa NDOO NZIMA Tena Mtaniona wote kwenye AGAPE TV nikiwa ni mtume MPYA KABISA WA KIGALATIA.

Na Km HAMTOWEZA basi Mfahamu kuwa ASIEJUA JINA LA BABA YAKE LAZIMA ATAKUWA MTOTO WA ZINAA.
Ni wale watoto ambao mama zao walifanya NGONO na WANAMME WENGI na bahati mbaya Kina mama hao WAKAPATA MIMBA.
Sasa wanashindwa Kujua Ni Nani hasa BABA wa wale Watoto walio wazaa.

Bado Nasubiri MAJINA Hapa.

Au kupunguza FEDHEHA Kwa WAKRISTO Tuhitimishe tu kuwa BIBILIA IMEANDIKWA NA WATOTO WA HARAMU.

Teh teh teh kwa hili swali Nguchiro wote wameingia mitini ngoja tumsubiri yule mwanaharamu Max mashimba aje na mapepo yake.

Cc Eiyer Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Shangazi Nyakageni Hayo ndio majina ya WAANDISHI WA BIBILIA?

Nasema hivi HAKUNA KTK HISTORIA YA ULIMWENGU HUU Toka binaadamu Aanze kutumia KALAMU halafu akaandika HABARI YYT bila KUWEKA JINA LAKE NA LA BABA YAKE au La UKOO WAKE Ispokuwa BIBILIA PEKE YAKE!

Natoa Challenge Hii kwa MKRISTO YOYOTE Aje hapa ANIANDIKIE MAJINA YA HAWA WAANDISHI WANNE WA BIBILIA kwa USHAHIDI WA ANDIKO.

NA Atakaeweza Kufanya hivyo LEO LEO kahtaan anavaa msalaba kilo 20! Na kile kikofia km muuza Karanga! Na Ile damu ya yesu (dodoma wine) Naahidi kunywa NDOO NZIMA Tena Mtaniona wote kwenye AGAPE TV nikiwa ni mtume MPYA KABISA WA KIGALATIA.

Na Km HAMTOWEZA basi Mfahamu kuwa ASIEJUA JINA LA BABA YAKE LAZIMA ATAKUWA MTOTO WA ZINAA.
Ni wale watoto ambao mama zao walifanya NGONO na WANAMME WENGI na bahati mbaya Kina mama hao WAKAPATA MIMBA.
Sasa wanashindwa Kujua Ni Nani hasa BABA wa wale Watoto walio wazaa.

Bado Nasubiri MAJINA Hapa.

Au kupunguza FEDHEHA Kwa WAKRISTO Tuhitimishe tu kuwa BIBILIA IMEANDIKWA NA WATOTO WA HARAMU.
Unaongea vitu ambavyo hauwezi kuvifanya, unanikumbusha kama kipindi kile kwenye mihadhara ya kina Mazinge na Yahya, sasa Yahya akawa anakaa kwenye meza, Mazinge yupo jukwaani... Yahya anasoma Biblia, halafu anawaambia watu aje mtu amwonyeshe katika Biblia sehemu iliyoandikwa Yesu anasema mimi ni Mungu au sehemu iliyoandikwa Ukristo ni dini, halafu anasema akitokea mtu akafanya hivyo basi yeye atavaa msalaba wenye chuma kama cha Reli, yaani ile Reli anaenda kutengeneza msalaba halafu anavaa shingoni, sasa namfananisha na wewe...

Pamoja na maswali ambayo hayana mantiki kabisa...
 
Nyakageni naomba unisikilize tafadhali
Mkuu wa chuo achana na hawa watu!

Vipi kijana, challenge imekuwa ngumu kwako na kwa wenzako? msome tena kahtaan

quote_icon.png
By kahtaan
Shangazi Nyakageni Hayo ndio majina ya WAANDISHI WA BIBILIA?

Nasema hivi HAKUNA KTK HISTORIA YA ULIMWENGU HUU Toka binaadamu Aanze kutumia KALAMU halafu akaandika HABARI YYT bila KUWEKA JINA LAKE NA LA BABA YAKE au La UKOO WAKE Ispokuwa BIBILIA PEKE YAKE!

Natoa Challenge Hii kwa MKRISTO YOYOTE Aje hapa ANIANDIKIE MAJINA YA HAWA WAANDISHI WANNE WA BIBILIA kwa USHAHIDI WA ANDIKO.

NA Atakaeweza Kufanya hivyo LEO LEO kahtaan anavaa msalaba kilo 20! Na kile kikofia km muuza Karanga! Na Ile damu ya yesu (dodoma wine) Naahidi kunywa NDOO NZIMA Tena Mtaniona wote kwenye AGAPE TV nikiwa ni mtume MPYA KABISA WA KIGALATIA.

Na Km HAMTOWEZA basi Mfahamu kuwa ASIEJUA JINA LA BABA YAKE LAZIMA ATAKUWA MTOTO WA ZINAA.
Ni wale watoto ambao mama zao walifanya NGONO na WANAMME WENGI na bahati mbaya Kina mama hao WAKAPATA MIMBA.
Sasa wanashindwa Kujua Ni Nani hasa BABA wa wale Watoto walio wazaa.

Bado Nasubiri MAJINA Hapa.

Au kupunguza FEDHEHA Kwa WAKRISTO Tuhitimishe tu kuwa BIBILIA IMEANDIKWA NA WATOTO WA HARAMU.
 
Last edited by a moderator:
Vipi kijana, challenge imekuwa ngumu kwako na kwa wenzako? msome tena kahtaan

quote_icon.png
By kahtaan
Shangazi Nyakageni Hayo ndio majina ya WAANDISHI WA BIBILIA?

Nasema hivi HAKUNA KTK HISTORIA YA ULIMWENGU HUU Toka binaadamu Aanze kutumia KALAMU halafu akaandika HABARI YYT bila KUWEKA JINA LAKE NA LA BABA YAKE au La UKOO WAKE Ispokuwa BIBILIA PEKE YAKE!

Natoa Challenge Hii kwa MKRISTO YOYOTE Aje hapa ANIANDIKIE MAJINA YA HAWA WAANDISHI WANNE WA BIBILIA kwa USHAHIDI WA ANDIKO.

NA Atakaeweza Kufanya hivyo LEO LEO kahtaan anavaa msalaba kilo 20! Na kile kikofia km muuza Karanga! Na Ile damu ya yesu (dodoma wine) Naahidi kunywa NDOO NZIMA Tena Mtaniona wote kwenye AGAPE TV nikiwa ni mtume MPYA KABISA WA KIGALATIA.

Na Km HAMTOWEZA basi Mfahamu kuwa ASIEJUA JINA LA BABA YAKE LAZIMA ATAKUWA MTOTO WA ZINAA.
Ni wale watoto ambao mama zao walifanya NGONO na WANAMME WENGI na bahati mbaya Kina mama hao WAKAPATA MIMBA.
Sasa wanashindwa Kujua Ni Nani hasa BABA wa wale Watoto walio wazaa.

Bado Nasubiri MAJINA Hapa.

Au kupunguza FEDHEHA Kwa WAKRISTO Tuhitimishe tu kuwa BIBILIA IMEANDIKWA NA WATOTO WA HARAMU.
Hii sio mada ya hayo

Mwambie afungue mada inayohusu hayo ...

Wakati unajiapanga ku muambia hayo jiulize umuhimu wa hilo swali,ikiwa hakuna majina yao itakuwaje?
 
Hii sio mada ya hayo

Mwambie afungue mada inayohusu hayo ...

Wakati unajiapanga ku muambia hayo jiulize umuhimu wa hilo swali,ikiwa hakuna majina yao itakuwaje?

Unaoneshwa wapinga Kristo halafu unasema hii si mada.

Kama kwa upunguani wako tu hujaelewa, ni hivi, mpinga Kristo namba moja ni yule aliyebadili maneno na mafundisho ya Yesu aleyhi salaam na kuiandika injili atakavyo yeye.

Upo hapo ulipo?
 
Tazama Qur'an inavyokusuta, wacha uongo

3_45.png
Sahih International

Qur'an 3:45

[And mention] when the angels said, "O Mary, indeed Allah gives you good tidings of a word from Him, whose name will be the Messiah, Jesus, the son of Mary - distinguished in this world and the Hereafter and among those brought near [to Allah ]

45. Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu). ***
Isa wa Quran sio Yesu wa Biblia.
 
Back
Top Bottom