Hao wenyewe wanadili na wa RC pamoja na wakristo wengine, wazee wa ndevu hawana shida nao, ndio maana unaona itikadi zinaendana, hata ile principle ya hata Adamu alikuwa ni... ndio maana hata ku reason wanaenda sawa... Sema wazee wa ndevu busara ni ndogo zaidi...
Mkuu za siku mbili tatu?sasa nina mambo fulani hapa naomba unisaidie.La kwanza ni kuhusu Jesuits.Hili shirika linasakamwa sana na wachambuzi wengi duniani wanalihusisha na mipango mibaya ya kubadili kanisa katoliki na dini zote kuelekea kwenye imani ya babeli.Kwamba Jesuits ni satanic infiltration ndani ya kanisa na hata baadhi ya mapapa wamekuwa katika mivutano na hawa Jesuits baada ya kuwagundua si wazuri.Kuna stori kwamba hata yule papa aliyekufa ghafla baada ya kuongoza kwa muda mfupi sana aliuawa na hawa jamaa baada ya kuonyesha dhamira ya kushughulikia kashfa za masuala ya fedha ndani ya Vatican,kashfa ambazo zilikuwa zikiwagusa Jesuits moja kwa moja.Inasemekana hata mzee Ratzinger alijiuzulu kutokana na shinikizo la hawa jamaa,na aliamua kujiuzulu baada ya kugundua they are so powerful at the moment within the holy see.Inasemekana pia Adam Weishaupt aliyeanzisha Illuminati baada ya kuasi kanisa alikuwa ni Jesuit na ule uasi wake ilikuwa plan B ya Jesuits baada ya kuona kuna mambo hawawezi kuyaendesha huku wakioperate kutokea ndani ya kanisa.Kabla ya kuasi,Weishaupt alikuwa Professor wa Canon law katika chuo cha Ingolstadt huko Bavaria(Ujerumani).Inasemekana pia hawa Jesuits wako aina mbili,kuna wanaojulikana wakiwa kama mapadre wa kanisa na kuna wasiojulikana ambao kazi yao ni infiltration kwenye maeneo wanayotaka kuyacontrol kama governments,banks,other religious institutions(not catholic) etc.Kwa mfano kuna shirika moja ambalo linashutumiwa kuhusika kuvichochea na kuviuzia silaha vikundi vyenye itikadi kali kwenye maeneo yenye vita ya middle east.Linaitwa Blackwater,inasemekana hawa Blackwater ni mkono wa Jesuits,na sio moja kwa moja,bali kupitia knights of Malta.Inasemekana jamaa wako kila mahali nyeti,hata kwa ndugu yangu Ntuzu inasemekana ile executive comittee ya General Conference,chombo kikuu kinachoendesha kanisa la wasabato duniani imeshakuwa infiltrated na invisible Jesuits na ndio maana kuna migogoro ya kimafundisho sana ndani ya dini zetu zote hivi sasa,hata Ntuzu na wasabato wenzie inclusive na hata vitabu vya yule mama inasemekana vinachakachuliwa hivi sasa kupitia new translation,hasa kitabu cha The great controversy ambacho hakipendwi mno kule Vatican kutokana na kuexpose historia iliyojaa damu ya Roman empire na Catholic Church enzi zile,mafundisho ya zamani yaliyodumu miaka mingi yakiachwa na kuleta mafundisho mapya ambayo hayana support ya vitabu vitakatifu kama Biblia,Qur'an etc.Kuna siku watu watajikuta dini zao hazitofautiani sana huko mbele.Una maoni gani kuhusu hawa jamaa?Wanazungumzwa sana kiasi mtu yeyote makini hawezi kupuuzia.
Pili,naomba kafanye research juu ya hii habari ya utawala wa Rumi kumtengeneza mtume Muhammad.Kwamba Muhammad alitengenezwa na Augustinian monks ili alete dini itakayodhibiti ueneaji wa kasi wa ukristu katika himaya ya Roma hasa middle east,pamoja na kuwaunganisha waarabu chini ya ustaarabu mpya ambao hautakuwa hostile kwa himaya ya Rumi kama ilivyokuwa kwa ukristu,lakini baada ya kifo cha Muhammad,makalifa walioongoza dini hiyo wakaasi mfumo na kuigeuza hostile kwa warumi,especially baada ya kuutwaa Yerusalem,wakagoma kuukabidhi mji huo kwa Rome,wakagoma kuwafisha wayahudi na badala yake wakawaruhusu kurudi Palestine na Judea,wakaishi nao kwa amani na kuwaruhusu kujenga masinagogi yao na kusali humo ilimradi hawaingilii masuala ya utawala wa kiislam ya eneo hilo.
Majeshi ya waislam yakasonga mbele hadi Africa kaskazini na kwingineko,hata khazars wa asia minor wakaanguka mikononi mwa majeshi ya kiislam.Rumi ikachukizwa na hili.Baada ya kuona uislam walioutengeneza wenyewe umekuwa tishio kubwa na unapiga hodi hadi ulaya,Papa akatumika kutengeneza jeshi kubwa kwa jina la dini,watu wakaambiwa hii ni vita ya kidini,kuukomboa mji mtakatifu,ikaanza crusade,wakapigana wee mpaka wakachoka.Yerusalem ikawekwa mikononi mwa crusaders,chini ya uangalizi wa knights maalum.Do a research on Alberto Rivera.Halafu pia tafuta kitabu cha Robert Spencer chenye title,"Did Muhammad exist?"Mojawapo ya very challenging arguments za huyu jamaa humo ni kuhusu tofauti ya muda wa miaka mingi kati ya mwanzo wa uislam na muda ambao profile ya Muhammad ilianza kuenezwa na kujulikana sana kama mtume wa waislam.Tena wakati jina la Muhammad lilipoanza kuwa maarufu kama mtume wa muslims ilicoincide na wakati ambao waarabu walihitaji sana kuungana ili kupambana na Byzantine empire ya kikristo na Persia iliyokuwa na dini ya Zoroastrian.Pia amegusia suala la kitabu cha Qur'an kutokujulikana na watu wa zamani.Neither arabs,nor jews and Christians mentioned it's existence until early eighth century.Pia pitia mahusiano ya some islamic doctrines with ancient traditional religion practices za eneo hilo kabla ya uislam,even the name Allah.Kuna blog moja inaitwa mysterybabylonwatch inazungumzia jinsi modern religion zilivyojaa mambo ya kipagani,uislam na ukristo inclusive.
La mwisho mkuu,kuna hili la Constantine.Kwamba the guy conspired when he joined Christianity.The actual plan was to establish a new kind of Christian religion which is neutral to Roman empire and it's pagan culture.Pitia what happened at the church councils,especially the ones at Laodicea and Nicea.Katika kupitia huko,kuwa mchunguzi na kitu kinaitwa canonicalization of the holy scripts.Pitia google,soma kuhusu Christian persecution under the popes and emperors.Pia do a research on Qumran excavation.Google na issues za Bilderberg,connection yake na Jesuits na knights of Malta(ambao wengi hujua haipo active siku hizi).
Baada ya kupitiapitia humo,ntaomba maoni yako in six months time,uje uifufue hii mada,unitag.Nikusome maoni yako mkuu.
Haya,mie nimemaliza,sasa ni zamu ya matusi.