Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Wewe huwa napenda uwepo kwenye mijadala kwa sababu moja yaani we ni mchekeshaji wa kijiwe, yaani kwa maana nyingine ni mshehereshaji tu...
Maana nikianza kuweka aya za quran nadhani hali inaweza ikabadilika... na nikikuuliza maswali nadhani unaweza ukachukia, busara yangu inaniambia nikuache uendelee kutubirudisha tu...
Wenzako wasabato wanadai nyie ni miongoni mwa Watakatifu mliouliwa na Papa ushahidi ni kutoka kwa msabato Lawkeys aliyotuwekea orodha ya watakatifu waliouliwa na Papa kwenye uzi ule mwingine...
ngojea niishie hapo...
nyie watu ni noma, nimesoma hapo yaani kila issue Papa anasingiziwa hadi kuchakachua maandishi ya Ellen G. White Jesuits wanaambiwa wao wanafanya hivyo wamejipenyeza hadi huko kwenu hadi kwa Wasabato hao jamaa ni noma, hawana tofauti na mfumo kristo, sasa imekuwa kama utamaduni kila kitu sehemu kikienda ndivyo sivyo wa RC wanasingiziwa wamekuwa kama punching bag...
Lakini katika ibada zao sijawahi kuona waki deal na imani za wengine, wala wakitoa shutuma...
CC: RGforever
Mkuu ndugu juve2012 ametoa ushauri mzuri kwa kukuelekeza vyanzo vya wewe kufatilia hizo habari vzr. Tena ametoa miezi 6 ili uweze kumpa mrejesho vzr. Lkn nashangaa kwa wewe kuona km Pope anasingiziwa kwa kujipenyeze ktk kila jambo.
Last edited by a moderator: