RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,432
Lawkeys nimekusoma pia inaonekana una Intelijensia kali kuhusiana na RC, lakini sina uhakika kama nilichokiandika kwenye sentensi iliyopita kwenye hii post kina ukweli au ni sahihi...
THEY ARE GOD Mkuu wa chuo...... Maana Intellijensia wa kawaida hana Ufunuo wa namna hii... wanajua kila kitu mpaka Mwisho wa Dunia na Yesu alipo.. unadhani ni Akili ya Binadamu wa kawaida hiyo
Last edited by a moderator: