Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Papa Francis,anasema kwamba mkristo bila Bikira Maria na Kanisa ni yatima.Haya ni maneno aliyozungumza hivi karibuni pale Rome.(Lourdes Grotto of the Vatican gardens).Anasema wakati fulani miaka 40 iliyopita akiwa kwenye mkutano fulani,aliwauliza rafiki zake fulani imani yao kwa Maria,wakamjibu kuwa HAWAMHITAJI MARIA KWA KUWA WAMESHAMJUA YESU ANAWATOSHA.PAPA AKAHUZUNIKA MOYONI NA KUWAONA NI YATIMA.MKRISTO BILA MARIA NA KANISA NI YATIMA.Akaendelea kwa kusema kuwa Mkristo anahitaji mama wawili ili awe na ustawi mzuri kiimani,Maria na Kanisa,na ili aweze kufanya uchaguzi sahihi katika mambo mbalimbali kimaisha,ili aweze kufuata wito sahihi kwake katika maisha,anapaswa kujiuliza kwanza kama ana mahusiano mazuri na Maria na kanisa.
Kuonyesha msisitizo baadae Papa alitweet hivi,"A CHRISTIAN WHO DOES NOT FEEL THAT THE VIRGIN MARY IS HIS OR HER MOTHER IS AN ORPHAN".
Maelezo haya ya Papa Francis yamezua mjadala huko ulaya hivi sasa.Yoyote anayetaka kufuatilia agoogle tu hiyo tweet ya Papa,zitakuja sources kibao,fuatilia hiyo mijadala.
Biblia takatifu,katika Wakolosai 1;12-14,inasema,
"mkimshukuru BABA aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru.Naye alituokoa katika nguvu za giza,akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake,ambaye katika yeye tuna ukombozi,yaani,msamaha wa dhambi."
Pia nikichunguza muktadha wa mafundisho ya biblia kuhusu uhusiano huu wa "kuwa wana",sioni mahali inaposisitiza uhusiano wa mama(Maria) na mwana(binadamu),bali uhusiano wa BABA(Mungu) na mwana(binadamu) kupitia mwana wa Mungu(Yesu) kama jambo muhimu kwa ustawi wa mkristo kiimani.
Mafungu yanayoeleza hii doctrine ni meeengi mno,nitoe moja kama hili hapo chini;
"Kwa kuwa alitangulia kutuchagua,ILI TUFANYWE WANAWE KWA NJIA YA YESU KRISTO,sawa sawa na uradhi wa mapenzi yake.Na usifiwe utukufu wa neema yake,ambayo AMETUNEEMESHA KATIKA HUYO MPENDWA."
Katika waefeso 1;12 inasema
"Nasi katika huyo tupate kuwa sifa ya utukufu wake,sisi tuliotangulia KUMWEKEA KRISTO TUMAINI LETU".
Kuna yale ambayo Yesu mwenyewe anasema yeye ndiye njia na uzima,mtu haendi kwa BABA ila kwa njia yake,kuna lile la kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe...so,so,so many bible verses zinaeleza hii doctrine,kwamba ni BABA na si mama,tena intercession inafanywa na YESU,sio Maria.Ukatoliki ni ukristo,na ukristo unatokana na biblia.Papa anapata wapi authority ya kufundisha hii doctrine ya "tunamhitaji mama yetu Maria" kwa ustawi wetu kiimani?!Tena amefikia mahali anatuita sisi wakristo tusiomuomba Maria kuwa tu YATIMA?Mtu amemwambia kuwa hamhitaji Maria kwa kuwa amemjua Yesu,yeye anamuona Yatima?Maria na Yesu nani zaidi?!Nini maana ya kujiita "Christian" ikiwa "Christ" mwenyewe humtambui kama njia kuu na pekee kwako kumfikia Mungu?!Naomba mkasome wenyewe,mie nimepitia Catholic news agency na radio Vatican.
 
Huyo juve2012 ni Msabato ambaye hataki kijionesha....We msome kwa jicho la 3D....

Kwa hiyo hawa binadamu wooote humu duniani wanaohoji ukatoliki na doctrines zake ni wasabato?!hawa watu wote mitandaoni duniani wanapost hoja zinazohoji au kuexpose matatizo ya ukatoliki ni wasabato?!hivi marehemu Alberto Rivera ni msabato?hata hivyo,kuwa msabato kunamharamisha mtu kuhoji au kuelezea jambo fulani humu mtandaoni?au wasabato ndio wenye ruhusa ya kuhoji ukatoliki kiasi kwamba mkimwona mtu anahoji tu basi 3D yenu inaonyesha ni msabato?kama wasabato ndio wenye hadhi pekee ya kuhoji ukatoliki,basi ngoja nijiite msabato kuanzia leo maana ni utukufu kuwa msabato hapa jf na huonekani wa maana hadi uwe msabato au mkatoliki humu,sivyo?!hakuna room for Christianity in general?ni usabato,ukatoliki,unini,unini...kaazi kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Nope, not RC at all. It is Muhammadans who are part of that. In fact, Mahdi is the guy.

The similarities between Islams Mahdi and the Christians anti-christ is absolutely stunning, check it out. ^

It seems very evident that Islam could potentially be the one world religion / government that takes over as told in revelations, by deceiving many. This makes particular sense to me because who else would behead Jews and Christians other than Muslims? Certainly not atheists, they generally don't care. However ..

Qur'an (4:74) - "Let those fight in the way of Allah who sell the life of this world for the other. Whoso fighteth in the way of Allah, be he slain or be he victorious, on him We shall bestow a vast reward."

Qur'an (4:104) - "And be not weak hearted in pursuit of the enemy; if you suffer pain, then surely they (too) suffer pain as you suffer pain..." (ooph, what happened to turn the other cheek? ... I guess those darned Jews corrupted the bible to demote violence ...)

Check this out, I mean...what else can you say but...DUH?

"And I saw thrones, and they sat on them, and judgment was committed to them. And I saw the souls of those who had been beheaded for their witness to Jesus and for the word of God, who had not worshipped the beast or his image, and had not received his mark on their foreheads or on their hands. And they lived and reigned with Christ for a thousand years." (Revelation 20:4)

Do you guys realize how often beheading occurs for our faith?! How much worse could it potentially get? I'm assuming far worse. Especially considering the fact that Obama is INDEED a Muslim, there is no denying that fact.

Watch all parts of Perry Stones video please, and if you could, watch how John could have potentially seen "In the name of Allah" as opposed to 666, talked about by Walid Shoebat. Which would make sense if Islam took over the world, enforced sharia law, and forced those who wanted to buy / sell to take the mark of "In the name of Allah"

Also, it is no secret that Muslims believe Islam will be the reigning religion very soon, and it seems as if Obama is in the midst of trying to fulfill this prophecy as well, if you have time, check out Perry Stones video on Obama fulfilling islamic prophecy. Look at all the democrats who defend Islam till their last breathe, they couldn't even comprehend the fact that the "hearing on the radicalization of Islam" was not about all Muslims, as there were Muslims among the panel, they insisted on personally degrading these Muslims, and would not come to the fact that the republicans were talking about "radicalization" as opposed to "Islam". Where in fact I think the republicans were being far too politically correct in the first place.

Umeleta utetezi dhaifu kabisa.unafanya kz ya kuusafisha uroma na kuutupia upinga kristo uislamu.

Umeandika mambo mengi lkn hakuna cha maana ata kimoja.

Nimekupa ushahidi wa amri ya 4 ktk kitabu cha kutoka 20:8-11 jinsi Rc walivyoibadili km Daniel 7:25 ilivyosema unaleta habari za Sharia ya waislam. Unapingana na kweli iliopo.

Yani uprotestant ni kazi sn siku hizi. Mmeacha njia yenu ya waanzilishi wenu na kilichobaki mnaomba msamaha tena kwa RC,na ndicho mnachofanya hapa ISHAMael na Mkuu wa chuo kuwabembeleza Eiyer na RGforever

Eti Obama anaonekana kutimiza unabii. Jidanganyeni wenyewe na hizo hoja dhaifu
 
Last edited by a moderator:
Papa Francis,anasema kwamba mkristo bila Bikira Maria na Kanisa ni yatima.Haya ni maneno aliyozungumza hivi karibuni pale Rome.(Lourdes Grotto of the Vatican gardens).Anasema wakati fulani miaka 40 iliyopita akiwa kwenye mkutano fulani,aliwauliza rafiki zake fulani imani yao kwa Maria,wakamjibu kuwa HAWAMHITAJI MARIA KWA KUWA WAMESHAMJUA YESU ANAWATOSHA.PAPA AKAHUZUNIKA MOYONI NA KUWAONA NI YATIMA.MKRISTO BILA MARIA NA KANISA NI YATIMA.Akaendelea kwa kusema kuwa Mkristo anahitaji mama wawili ili awe na ustawi mzuri kiimani,Maria na Kanisa,na ili aweze kufanya uchaguzi sahihi katika mambo mbalimbali kimaisha,ili aweze kufuata wito sahihi kwake katika maisha,anapaswa kujiuliza kwanza kama ana mahusiano mazuri na Maria na kanisa.
Kuonyesha msisitizo baadae Papa alitweet hivi,"A CHRISTIAN WHO DOES NOT FEEL THAT THE VIRGIN MARY IS HIS OR HER MOTHER IS AN ORPHAN".
Maelezo haya ya Papa Francis yamezua mjadala huko ulaya hivi sasa.Yoyote anayetaka kufuatilia agoogle tu hiyo tweet ya Papa,zitakuja sources kibao,fuatilia hiyo mijadala.
Biblia takatifu,katika Wakolosai 1;12-14,inasema,
"mkimshukuru BABA aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru.Naye alituokoa katika nguvu za giza,akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake,ambaye katika yeye tuna ukombozi,yaani,msamaha wa dhambi."
Pia nikichunguza muktadha wa mafundisho ya biblia kuhusu uhusiano huu wa "kuwa wana",sioni mahali inaposisitiza uhusiano wa mama(Maria) na mwana(binadamu),bali uhusiano wa BABA(Mungu) na mwana(binadamu) kupitia mwana wa Mungu(Yesu) kama jambo muhimu kwa ustawi wa mkristo kiimani.
Mafungu yanayoeleza hii doctrine ni meeengi mno,nitoe moja kama hili hapo chini;
"Kwa kuwa alitangulia kutuchagua,ILI TUFANYWE WANAWE KWA NJIA YA YESU KRISTO,sawa sawa na uradhi wa mapenzi yake.Na usifiwe utukufu wa neema yake,ambayo AMETUNEEMESHA KATIKA HUYO MPENDWA."
Katika waefeso 1;12 inasema
"Nasi katika huyo tupate kuwa sifa ya utukufu wake,sisi tuliotangulia KUMWEKEA KRISTO TUMAINI LETU".
Kuna yale ambayo Yesu mwenyewe anasema yeye ndiye njia na uzima,mtu haendi kwa BABA ila kwa njia yake,kuna lile la kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe...so,so,so many bible verses zinaeleza hii doctrine,kwamba ni BABA na si mama,tena intercession inafanywa na YESU,sio Maria.Ukatoliki ni ukristo,na ukristo unatokana na biblia.Papa anapata wapi authority ya kufundisha hii doctrine ya "tunamhitaji mama yetu Maria" kwa ustawi wetu kiimani?!Tena amefikia mahali anatuita sisi wakristo tusiomuomba Maria kuwa tu YATIMA?Mtu amemwambia kuwa hamhitaji Maria kwa kuwa amemjua Yesu,yeye anamuona Yatima?Maria na Yesu nani zaidi?!Nini maana ya kujiita "Christian" ikiwa "Christ" mwenyewe humtambui kama njia kuu na pekee kwako kumfikia Mungu?!Naomba mkasome wenyewe,mie nimepitia Catholic news agency na radio Vatican.

Mkuu juve2012 hiyo ndio babeli machafuko, yani ktk babeli kumejaa mafundisho machafu ya wanadamu na si ya Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Nope, not RC at all. It is Muhammadans who are part of that. In fact, Mahdi is the guy.

The similarities between Islams Mahdi and the Christians anti-christ is absolutely stunning, check it out. ^

It seems very evident that Islam could potentially be the one world religion / government that takes over as told in revelations, by deceiving many. This makes particular sense to me because who else would behead Jews and Christians other than Muslims? Certainly not atheists, they generally don't care. However ..

Qur'an (4:74) - "Let those fight in the way of Allah who sell the life of this world for the other. Whoso fighteth in the way of Allah, be he slain or be he victorious, on him We shall bestow a vast reward."

Qur'an (4:104) - "And be not weak hearted in pursuit of the enemy; if you suffer pain, then surely they (too) suffer pain as you suffer pain..." (ooph, what happened to turn the other cheek? ... I guess those darned Jews corrupted the bible to demote violence ...)

Check this out, I mean...what else can you say but...DUH?

"And I saw thrones, and they sat on them, and judgment was committed to them. And I saw the souls of those who had been beheaded for their witness to Jesus and for the word of God, who had not worshipped the beast or his image, and had not received his mark on their foreheads or on their hands. And they lived and reigned with Christ for a thousand years." (Revelation 20:4)

Do you guys realize how often beheading occurs for our faith?! How much worse could it potentially get? I'm assuming far worse. Especially considering the fact that Obama is INDEED a Muslim, there is no denying that fact.

Watch all parts of Perry Stones video please, and if you could, watch how John could have potentially seen "In the name of Allah" as opposed to 666, talked about by Walid Shoebat. Which would make sense if Islam took over the world, enforced sharia law, and forced those who wanted to buy / sell to take the mark of "In the name of Allah"

Also, it is no secret that Muslims believe Islam will be the reigning religion very soon, and it seems as if Obama is in the midst of trying to fulfill this prophecy as well, if you have time, check out Perry Stones video on Obama fulfilling islamic prophecy. Look at all the democrats who defend Islam till their last breathe, they couldn't even comprehend the fact that the "hearing on the radicalization of Islam" was not about all Muslims, as there were Muslims among the panel, they insisted on personally degrading these Muslims, and would not come to the fact that the republicans were talking about "radicalization" as opposed to "Islam". Where in fact I think the republicans were being far too politically correct in the first place.

Daniel 7:7-8.

After this I saw in the night visions, and behold, a fourth beast, dreadful and terrible, exceedingly strong. It had had huge iron teeth; it was devouring, breaking in pieces, and trampling the residue with its feet. It was different from all the beasts that were before, it had ten horns.

I was considering the horns, and there was another horn, a little one, coming up among them, before whom three of the first horns were plucked out by the roots. And there, in this horn, were eyes like eyes of man, and a mouth speaking a pompous words.

FASIRI YA NDOTO YA MNYAMA WA NNE.

Daniel 7:23-25

Thus he said:

The fourth beast shall be a fourth kingdom on earth, which shall be different from all other kingfoms, and shall devour the whole earth, Trample it and break it in pieces.

The ten horns are the ten kings WHO SHALL ARISE FROM THIS KINGDOM. AND ANOTHER SHALL ARISE AFTER THEM; SHALL BE DIFFERENT FROM THE FIRST ONES, AND SHALL SUBDUE THREE KINGS,

HE SHALL SPEAK POMPOUS WORDS AGAINST THE MOST HIGH, SHALL PERSECUTE THE SAINTS OF THE MOST HIGH, AND SHALL INTEND TO CHANGE TIMES AND LAW. THE SAINT SHALL BE GIVEN INTO HIS HAND FOR A TIME AND TIME AND HALF TIMES.

Hii hapo juu ndio fasiri ya mnyam wa nne ktk hiyo ndoto ya nabii Daniel.

Maandiko yanatuonyesha tawala zilizopita kuanzia ya Babeli na Waamed na Wayunani na mpk tawala ya nne ambayo ni Roma. Na hizo tawala zilizopita zilikua zinaagushwa ndio inakuja tawala ingine. Lkn tawala ya 4 haikuangushwa km zile tawala tatu zilizotangulia. Tawala ya nne walitokea wafalme kumi kutoka ktk hiyo tawala ya 4 ambazo ni zili pembe kumi na baada ya hapo ikatokea pembe ndogo moja ambayo ni mfalme ktk hizo pembe kumi ambaye huyu sasa ndio ana sifa ya kuzungumza maneno yq makufuru kwa Mungu, atatesa watu wa Mungu, atabadili nyakati na sheria, na watu wa Mungu atawatesa kwa muda.

Ukisoma hayo mafungu na hayo maelezo yangu kidogo hapo mpinga Kristo atatoka ktk Mnyama wa Nne yani Rumi ya kipagani. Sasa nashindwa kukuelewa wewe Ishmael unshindwa kuona chimbuko la mpinga Kristo mpk ulete habari za Mahdi au Obama? Acha uongo bhana tena mnalazimisha kuleta maandiko na maana zenu za uongo ili kumsafisha papa au kanisa la roma kutoka ktk upinga Kristo. Lkn kamwe hamtoweza maana maandiko yako wazi kabisa kua mpinga Kristo atatoka in the same root km zamani. Unajaza habari za uongo mara sijui Obama mara Mohammad mara Mahdi mara sharia tangu lini waislam walitawala dunia ata km wanaamini kua watakuja kutawala dunia? Acheni uongo wenu na muache kuwabembeleza wa RC.
 
Last edited by a moderator:
Aiseee.....Wasabato huwa nawaonea huruma sana.....

Muone huyu Msabato Ntuzu anavyojikakamua hapa mpaka huruma....Dahhh

Hivi kuanzia mwaka 1844 enzi za kina Miller mpaka Mama Hellena White ni lipi mmelitabiri likatokea...? Eti Ntuzu hebu nijuze nilipi mmelitabiri likatokea zaidi ya hekaya ambazo mpaka leo mnaziimba...?

Maana nikianzia kwa Miller mpaka Mama White ni upotofu wa kuzimu..
 
Huna hoja wewe. Ngoja aje Ishmael tuendelee na hoja!
 
Hoja gani angali Wasabato na Waislamu mmekuja kuvuruga uzi wa Eiyer....?

Hivi nyie watu mnamatatizo gani...?

Kwa taarifa yako ili unachokijadili kiwe sahihi lazima tuangalie historia yenu na wasisi wenu wa Usabato kina Miller na Hellena White...

Otherwise unachojadili na kukiita eti hoja ni Fallacy....
 
Namsubiri Ishmael aje tujadili kile tunajadili huna hoja weye
 
Last edited by a moderator:
Papa Francis,anasema kwamba mkristo bila Bikira Maria na Kanisa ni yatima.Haya ni maneno aliyozungumza hivi karibuni pale Rome.(Lourdes Grotto of the Vatican gardens).Anasema wakati fulani miaka 40 iliyopita akiwa kwenye mkutano fulani,aliwauliza rafiki zake fulani imani yao kwa Maria,wakamjibu kuwa HAWAMHITAJI MARIA KWA KUWA WAMESHAMJUA YESU ANAWATOSHA.PAPA AKAHUZUNIKA MOYONI NA KUWAONA NI YATIMA.MKRISTO BILA MARIA NA KANISA NI YATIMA.Akaendelea kwa kusema kuwa Mkristo anahitaji mama wawili ili awe na ustawi mzuri kiimani,Maria na Kanisa,na ili aweze kufanya uchaguzi sahihi katika mambo mbalimbali kimaisha,ili aweze kufuata wito sahihi kwake katika maisha,anapaswa kujiuliza kwanza kama ana mahusiano mazuri na Maria na kanisa.
Kuonyesha msisitizo baadae Papa alitweet hivi,"A CHRISTIAN WHO DOES NOT FEEL THAT THE VIRGIN MARY IS HIS OR HER MOTHER IS AN ORPHAN".
Maelezo haya ya Papa Francis yamezua mjadala huko ulaya hivi sasa.Yoyote anayetaka kufuatilia agoogle tu hiyo tweet ya Papa,zitakuja sources kibao,fuatilia hiyo mijadala.
Biblia takatifu,katika Wakolosai 1;12-14,inasema,
"mkimshukuru BABA aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru.Naye alituokoa katika nguvu za giza,akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake,ambaye katika yeye tuna ukombozi,yaani,msamaha wa dhambi."
Pia nikichunguza muktadha wa mafundisho ya biblia kuhusu uhusiano huu wa "kuwa wana",sioni mahali inaposisitiza uhusiano wa mama(Maria) na mwana(binadamu),bali uhusiano wa BABA(Mungu) na mwana(binadamu) kupitia mwana wa Mungu(Yesu) kama jambo muhimu kwa ustawi wa mkristo kiimani.
Mafungu yanayoeleza hii doctrine ni meeengi mno,nitoe moja kama hili hapo chini;
"Kwa kuwa alitangulia kutuchagua,ILI TUFANYWE WANAWE KWA NJIA YA YESU KRISTO,sawa sawa na uradhi wa mapenzi yake.Na usifiwe utukufu wa neema yake,ambayo AMETUNEEMESHA KATIKA HUYO MPENDWA."
Katika waefeso 1;12 inasema
"Nasi katika huyo tupate kuwa sifa ya utukufu wake,sisi tuliotangulia KUMWEKEA KRISTO TUMAINI LETU".
Kuna yale ambayo Yesu mwenyewe anasema yeye ndiye njia na uzima,mtu haendi kwa BABA ila kwa njia yake,kuna lile la kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe...so,so,so many bible verses zinaeleza hii doctrine,kwamba ni BABA na si mama,tena intercession inafanywa na YESU,sio Maria.Ukatoliki ni ukristo,na ukristo unatokana na biblia.Papa anapata wapi authority ya kufundisha hii doctrine ya "tunamhitaji mama yetu Maria" kwa ustawi wetu kiimani?!Tena amefikia mahali anatuita sisi wakristo tusiomuomba Maria kuwa tu YATIMA?Mtu amemwambia kuwa hamhitaji Maria kwa kuwa amemjua Yesu,yeye anamuona Yatima?Maria na Yesu nani zaidi?!Nini maana ya kujiita "Christian" ikiwa "Christ" mwenyewe humtambui kama njia kuu na pekee kwako kumfikia Mungu?!Naomba mkasome wenyewe,mie nimepitia Catholic news agency na radio Vatican.

Mkuu nimesoma haya maelezo yako lakini naona tatizo hapa

Tatizo lenyewe ni msingi wa hoja yako,hoja yako imejikita kwenye suala la Papa kudai mkristo bila ya Maria ni yatima na umeona kama ni tusi kubwa sana,hilo ni sawa kwa upande wako na sikukatalii,lakini pale unapotaka kuwashawishi na wengine waone kama unavyoona wewe hapo ndipo ninapotaka kukuhoji mambo yafuatayo

Hicho alichokizungumza Papa ni msingi wa Kanisa Katoliki na kuna hadi sala za kumuomba Maria,kama utafuata Mkristo Mkatoliki yoyote kumhoji kuhusiana na uhalali wa kumuomba Mariamu anaweza kukupa andiko linalosema "na vizazi vyote vitaniita mbarikiwa" sasa wewe kama Mkristo na ni miongoni wa vizazi,unatimizaje hilo agizo?

Pamoja na hayo,imani ya kumuomba Maria ni msingi wa Ukatoliki kama nilivyosema hapo juu,kwasababu hiyo hiyo haikutakiwa kuwa hoja kwasababu kila dhehebu lina tofauti yake ambayo kwa wengine ni tatizo kubwa,ili uonekane wewe uko fair ingekupasa uweke na matatizo ya madhehebu mengine ili ionekane kuwa huna ajenda yoyote ya kuli atack kanisa katoliki ila una atack mafundisho ya uongo

Masuala ya sabato kwa mfano kwangu ni tatizo na ninaona wote wanaoipigia debe sabato wako kinyume na Mungu kwenye mpango wake wa kumuokoa binadamu kwasababu kwangu mimi kuishikilia sabato ni kumkana Yesu,je unataka na mimi niseme nini kuhusiana na jtazamo wangu huu? Niseme Usabato ni mpinga Kristo? You got to be kidding me ...

Kuna mambo makanisa yanayojiita ya Kiroho wanafanya ambayo mimi nayaona yako kinyume na Biblia,mfano ni kule kufanya maombi kwa kupiga makelele,hili kwangu naliona ni tatizo,je nianze kuwaatack nao kwasababu tu kuna tatizo?

Mkuu,hapa tunatakiwa tuwe fair kwa kueleza matatizo ya wote na sio kubagua tu na kueleza tatizo la fulani na kutengeneza dhana ya wao kuonekana ndio wanaoharibu kuliko wengine

Ni kosa kwa mfano Mkuu wa chuo aseme fulani ni mwizi kuliko wote wakati kuna mtu mwingine nae ni mwizi kwa kiwango kile kile au zaidi,hilo litakuwa ni tatizo kwasababu hajawa fair

Tujaribu kuweka hisia za kidhehebu pembeni ili tuweze kujifunza zaidi ...!!
 
Last edited by a moderator:
Daniel 7:7-8.

After this I saw in the night visions, and behold, a fourth beast, dreadful and terrible, exceedingly strong. It had had huge iron teeth; it was devouring, breaking in pieces, and trampling the residue with its feet. It was different from all the beasts that were before, it had ten horns.

I was considering the horns, and there was another horn, a little one, coming up among them, before whom three of the first horns were plucked out by the roots. And there, in this horn, were eyes like eyes of man, and a mouth speaking a pompous words.

FASIRI YA NDOTO YA MNYAMA WA NNE.

Daniel 7:23-25

Thus he said:

The fourth beast shall be a fourth kingdom on earth, which shall be different from all other kingfoms, and shall devour the whole earth, Trample it and break it in pieces.

The ten horns are the ten kings WHO SHALL ARISE FROM THIS KINGDOM. AND ANOTHER SHALL ARISE AFTER THEM; SHALL BE DIFFERENT FROM THE FIRST ONES, AND SHALL SUBDUE THREE KINGS,

HE SHALL SPEAK POMPOUS WORDS AGAINST THE MOST HIGH, SHALL PERSECUTE THE SAINTS OF THE MOST HIGH, AND SHALL INTEND TO CHANGE TIMES AND LAW. THE SAINT SHALL BE GIVEN INTO HIS HAND FOR A TIME AND TIME AND HALF TIMES.

Hii hapo juu ndio fasiri ya mnyam wa nne ktk hiyo ndoto ya nabii Daniel.

Maandiko yanatuonyesha tawala zilizopita kuanzia ya Babeli na Waamed na Wayunani na mpk tawala ya nne ambayo ni Roma. Na hizo tawala zilizopita zilikua zinaagushwa ndio inakuja tawala ingine. Lkn tawala ya 4 haikuangushwa km zile tawala tatu zilizotangulia. Tawala ya nne walitokea wafalme kumi kutoka ktk hiyo tawala ya 4 ambazo ni zili pembe kumi na baada ya hapo ikatokea pembe ndogo moja ambayo ni mfalme ktk hizo pembe kumi ambaye huyu sasa ndio ana sifa ya kuzungumza maneno yq makufuru kwa Mungu, atatesa watu wa Mungu, atabadili nyakati na sheria, na watu wa Mungu atawatesa kwa muda.

Ukisoma hayo mafungu na hayo maelezo yangu kidogo hapo mpinga Kristo atatoka ktk Mnyama wa Nne yani Rumi ya kipagani. Sasa nashindwa kukuelewa wewe Ishmael unshindwa kuona chimbuko la mpinga Kristo mpk ulete habari za Mahdi au Obama? Acha uongo bhana tena mnalazimisha kuleta maandiko na maana zenu za uongo ili kumsafisha papa au kanisa la roma kutoka ktk upinga Kristo. Lkn kamwe hamtoweza maana maandiko yako wazi kabisa kua mpinga Kristo atatoka in the same root km zamani. Unajaza habari za uongo mara sijui Obama mara Mohammad mara Mahdi mara sharia tangu lini waislam walitawala dunia ata km wanaamini kua watakuja kutawala dunia? Acheni uongo wenu na muache kuwabembeleza wa RC.

Hao wafalme 10 watainuka wakati Rumi ikiwepo au itakuwa haipo?
 
Eiyer huyo juve2012 nimekwisha msoma muda mrefu yupo biased sana, kama utarejea wakati aki quote andiko langu katika huu uzi mwishoni alimalizia sasa ni zamu ya matusi, eti huwa tunajadili kwa matusi au ni fact zaidi!? alikuja kule kwenye uzi wa Ellen G. White akatetea nilimtandika maswali akatoka nduki hakuonekana tena, huku nilimuomba tuendelee kujadili...
 
Last edited by a moderator:
Hao wafalme 10 watainuka wakati Rumi ikiwepo au itakuwa haipo?

Hoja iliopo hapo juu ni root ya mpinga Kristo. Naona hujibu hilo bali unakuja na hoja ingine kabisa.

Mnajitoa ktk upinga Kristo na kuwasukumia waislamu ambao hawana root yoyote ya kimaandiko na mnakuja kujifariji tu hapa kwa hoja dhaifu.
 
Mkuu nimesoma haya maelezo yako lakini naona tatizo hapa

Tatizo lenyewe ni msingi wa hoja yako,hoja yako imejikita kwenye suala la Papa kudai mkristo bila ya Maria ni yatima na umeona kama ni tusi kubwa sana,hilo ni sawa kwa upande wako na sikukatalii,lakini pale unapotaka kuwashawishi na wengine waone kama unavyoona wewe hapo ndipo ninapotaka kukuhoji mambo yafuatayo

Hicho alichokizungumza Papa ni msingi wa Kanisa Katoliki na kuna hadi sala za kumuomba Maria,kama utafuata Mkristo Mkatoliki yoyote kumhoji kuhusiana na uhalali wa kumuomba Mariamu anaweza kukupa andiko linalosema "na vizazi vyote vitaniita mbarikiwa" sasa wewe kama Mkristo na ni miongoni wa vizazi,unatimizaje hilo agizo?

Pamoja na hayo,imani ya kumuomba Maria ni msingi wa Ukatoliki kama nilivyosema hapo juu,kwasababu hiyo hiyo haikutakiwa kuwa hoja kwasababu kila dhehebu lina tofauti yake ambayo kwa wengine ni tatizo kubwa,ili uonekane wewe uko fair ingekupasa uweke na matatizo ya madhehebu mengine ili ionekane kuwa huna ajenda yoyote ya kuli atack kanisa katoliki ila una atack mafundisho ya uongo

Masuala ya sabato kwa mfano kwangu ni tatizo na ninaona wote wanaoipigia debe sabato wako kinyume na Mungu kwenye mpango wake wa kumuokoa binadamu kwasababu kwangu mimi kuishikilia sabato ni kumkana Yesu,je unataka na mimi niseme nini kuhusiana na jtazamo wangu huu? Niseme Usabato ni mpinga Kristo? You got to be kidding me ...

Kuna mambo makanisa yanayojiita ya Kiroho wanafanya ambayo mimi nayaona yako kinyume na Biblia,mfano ni kule kufanya maombi kwa kupiga makelele,hili kwangu naliona ni tatizo,je nianze kuwaatack nao kwasababu tu kuna tatizo?

Mkuu,hapa tunatakiwa tuwe fair kwa kueleza matatizo ya wote na sio kubagua tu na kueleza tatizo la fulani na kutengeneza dhana ya wao kuonekana ndio wanaoharibu kuliko wengine

Ni kosa kwa mfano Mkuu wa chuo aseme fulani ni mwizi kuliko wote wakati kuna mtu mwingine nae ni mwizi kwa kiwango kile kile au zaidi,hilo litakuwa ni tatizo kwasababu hajawa fair

Tujaribu kuweka hisia za kidhehebu pembeni ili tuweze kujifunza zaidi ...!!

Na vizazi vyote vitaniita mbarikiwa.hili andiko linapatikana wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hoja iliopo hapo juu ni root ya mpinga Kristo. Naona hujibu hilo bali unakuja na hoja ingine kabisa.

Mnajitoa ktk upinga Kristo na kuwasukumia waislamu ambao hawana root yoyote ya kimaandiko na mnakuja kujifariji tu hapa kwa hoja dhaifu.

Hebu acha maneno mengi,nimekuuliza kuwa hao wafalme 10 watainuka wakati Rumi ipo au itakuwa imeshaanguka?
 
Back
Top Bottom