Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe.

Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi ushahidi wowote kuthibitisha madai hayo lakini haohao wanaodaiwa kuchochea huo mgogoro ndio tena wameamua kuchukua hatua madhubuti ili kuukomesha huo mzozo.
************************************************************************
Bunge la Ulaya limeitaka Umoja wa Ulaya siku ya Alhamisi kusimamisha uungwaji mkono wa moja kwa moja wa bajeti kwa Rwanda hadi itakapovunja uhusiano na waasi wa M23 wanaoongozwa na Watutsi na kuruhusu ufikiaji wa kibinadamu katika maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako walisonga mbele.

Bunge pia lilitoa wito wa kusitishwa kwa mkataba wa maelewano kati ya Rwanda na EU ambao unalenga kusaidia usambazaji wa madini ya kimkakati ya Rwanda, hadi Rwanda itakapoacha kuingilia Kongo.

1739464206444.png
 
The EU is an arsonist who pretends to be a firefighter. European Prime States of Vatican, Germany, France and Belgium are at the helm of Congolese misfortunes.

Kagame is their lackey and henchman, running white man's errands in Congolese forests.​
 
Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.

Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Waafrika kufikia maamuzi ni waoga sana kwa sababu za kinafiki na kuzungukana
Kama wote wana msimamo mmoja sidhani kama angefurukuta wangesema Ondoa majeshi yako au utakula nyasi
 
Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.

Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Mawazo kama yako hayana tofauti na wote wanaosababisha vita ili kiwe nini? Yaani unataka nchi zikose mapato kisa majirani wanapigana?
 
Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.

Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Usije Kujaribu Kufanya Dili na Kenya
Hao ni Mbwa ni Masaliti Vibaya.
Huo mpango Utamuharibia Zaidi Tanzania Kenya ndio Kwaanza Atazidisha Kupokea Mizigo ya Rwanda.
Kenya ni Taifa La Kisaliti Africa sio Watu hao
 
Mgogoro wa Genocide ya Rwanda ulikuwa na maslahi gani?! Ilikuwa ni chuki tu dhidi ya Kabila la Watutsi.
Habyarimana alikuwa Hutu aliuwawa
Mauwaji ya kimbari ni ukabila zaidi na waliokimbilia Congo ndio hawa baadhi wanapigana kutwaa maeneo
Nafikiri ukubwa wa eneo na rasilimali ndio zinafanya mpaka watu wa nje waingie huko na kupigana
Mimi sijawahi kufika huko ila nafikiria kuzuru Kigali soon
 
Mkuu nani kakulisha matango pori waliokimbilia Kongo sio hawa M23 wale ni fldr ambao ni mabaki ya Interahamwe waliokuwa wakifanya mauaji ya kimbari Rwanda.

M23 ni Wakongo wa jamii za Kitutsi.
 
Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe.

Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi ushahidi wowote kuthibitisha madai hayo lakini haohao wanaodaiwa kuchochea huo mgogoro ndio tena wameamua kuchukua hatua madhubuti ili kuukomesha huo mzozo.
************************************************************************
Bunge la Ulaya limeitaka Umoja wa Ulaya siku ya Alhamisi kusimamisha uungwaji mkono wa moja kwa moja wa bajeti kwa Rwanda hadi itakapovunja uhusiano na waasi wa M23 wanaoongozwa na Watutsi na kuruhusu ufikiaji wa kibinadamu katika maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako walisonga mbele.

Bunge pia lilitoa wito wa kusitishwa kwa mkataba wa maelewano kati ya Rwanda na EU ambao unalenga kusaidia usambazaji wa madini ya kimkakati ya Rwanda, hadi Rwanda itakapoacha kuingilia Kongo.

Mabeberu ndio kiboko ya PK.

Tresor Mandala
 
Punguzeni kulia nyie wa nyarwanda, manayo yafanya yako wazi sana pale congo, mzungu sio fala hata siku moja
 
Back
Top Bottom