Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

Kuuliza Wazee ni sawa kabisa na inafaa lakini pia kuutafuta Ukweli waweza kusearch kwenye vyanzo vingine tofauti-tofauti mitandaoni ili kuepuka habari zitakazokuwa zinaegemea upande mmoja. Sio Wazee wote ni wasema ukweli.
Jichunge na Propaganda za Tiktok Instagram nk.
 
Waafrika tumeshindwa kutatua mgogoro huu hadi Wazungu watusaidie. Tunaweza jambo gani sasa? Je, sisi ni Kima tuliochangamka? 🤔 Hii ni aibu kwa Africa.
Yaani angalia Haiti ni asilimia kubwa ni weusi pamoja na kuwa Iko mamtoni ni shida tupu,eeh Mungu inusuru ngozi nyeusi!
 
📌📌Kuna mtu amechokwa na mabwana zake ni muda wa kumtafutia sababu,wamuwaishe mavumbini!!!
 
Waafrika tumeshindwa kutatua mgogoro huu hadi Wazungu watusaidie. Tunaweza jambo gani sasa? Je, sisi ni Kima tuliochangamka? 🤔 Hii ni aibu kwa Africa.
Tanzania na Kenya want uwezo wa kuilazimisha Rwanda kupiga magoti wakidhamiria. Lkn sasa.........
 
Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.

Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Kuna usafiri wa ndege
 
Kwa hiyoi watusi walikuwa wanaweka shingo xzikatwe bila hata kujitetea? Hao wahutu hawakufa je ni idadi gani? Wale askari wa kihutu walioko huko Congo wametoka wapi? Je wanapigana na hao watusi wa Congo? Ina maana hao watusi wa Congo ndio ewana shida ya kuwafukuza wahutu wealiokimbia mauaji ya kimbari kutoka kwa watusi wa rwanda. UKWELI USSEMWE. AU MNASEMAJE WANA JF? TUJUE UKWELI.
Mkuu ukweli uko waz, tufanye hatujui kuhusu watutsi na wahutu katika tukio la 1994.Lakin tuchukue picha ya tabia za sasa za hizo jamii mbili,hususan vita ya congo.
Hivi kama congo ina makabila zaid ya 200,inakuwaje kabila moja ndo limekuwa mwiba?.
Tena usikute wengi wao ni watoto wa wakimbiz, sasa swali ni je huko kwenye nchi yao asilia walikuwa watulivu kama tunavyosimuliwa?.
Je nikweli wao ndo wanao onewa au huko congo na drc na Rwanda kipind hicho?.
 
Yaani kama M23 ni wacongo pure basi ilitakiwa prezda PK asioneshe kuwatetea kwa uwazi kama anavofanya. Maana yeye ni rais wa nchi nyingine, bora angewapa hifadhi tuu nchin kwake au angefanya kuwasapot kwa siri mnoo.

Nasema hivo kwasababu atawaharibia watutsi wengne walio mataifa jirani wataonekana wanaelement za utii kwa nchi zinazotawaliwa na watutsi. Ukizngatia dunia ya leo haina siri sio kama dunia ya miaka hiyo.
Mfano mzuri ni mzee M7 yeye hatakama anasapot lakin ni kimyakimya mnoo hayuko waz saana.
 
Back
Top Bottom