Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.

Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Shida ni uthubutu hatuna.
 
Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.

Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Pia ndege zake zisipite anga letu. Kimbaumbau atanyooka.
 
Nanukuu: Tunaweza jambo gani sasa?
Samahani mkuu - (kwa sauti ya kunong'ona) Unauliza makofi Polisi????
Jibu mbona lipo wazi siku zote? Tunaweza kucheza ngoma na kunengua sana; Tunaweza kuoa na kuolewa au kugegeda/kunyandua 24/7, Tunaweza kunywa pombe za aina zote na kusema uongo wa kiwango cha lami.
 
Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.

Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Ukisikia "Kunyonga kwa mkono bila kamba" ndo mfano wake huo 👆 👆 👆. Ni siku moja tuu au ikizidi sana ni wiki moja mtu anaomba poo. Likifanyika hilo manake nchi inakuwa practically ime-cease (imesimama) hakuna huduma yoyote inayoweza kutolewa na Serikali isipokuwa mazishi.
 
Mgogoro wa Genocide ya Rwanda ulikuwa na maslahi gani?! Ilikuwa ni chuki tu dhidi ya Kabila la Watutsi.
Mwanzilishi alikua PK huyo huyo akiwa Rwanda; Wahutu hawakua na sababu yoyote ya kuwaua Watutsi while Wahutu walikua madarakani. Watutsi wana amini wao ndio wanatakiwa kua watawala popote watakapokua
 
Ama kweli!?? Yan inakuwa ni lazima uwe Mtawala kwa kuzaliwa ndani ya kabila fulani. Hata kama ukizaliwa taahira ni lazima uwe ndo Mtawala. Inafikirisha sana.
 
Rais tuliye naye hana ubavu wa kumvimbia Kagame
Lakini Akiamua anaweza. Ni suala la kuthubutu ili kuyanusuru maisha na uhai wa waathirika. Haki na Amani vitawale. Wote wana Haki ya kuishi kwa Amani pale walipo kwa kuzingatia Sheria na Taratibu zilizokubalika.
Halafu Jamii zote mbili husika ktk mgogoro huo zielimishwe na zikubaliane na hoja ya kuachana na ukabila au kujiona kabila moja ni bora zaidi kuliko mwenzake.
 
Mgogoro wa Genocide ya Rwanda ulikuwa na maslahi gani?! Ilikuwa ni chuki tu dhidi ya Kabila la Watutsi.
Kwa hiyoi watusi walikuwa wanaweka shingo xzikatwe bila hata kujitetea? Hao wahutu hawakufa je ni idadi gani? Wale askari wa kihutu walioko huko Congo wametoka wapi? Je wanapigana na hao watusi wa Congo? Ina maana hao watusi wa Congo ndio ewana shida ya kuwafukuza wahutu wealiokimbia mauaji ya kimbari kutoka kwa watusi wa rwanda. UKWELI USSEMWE. AU MNASEMAJE WANA JF? TUJUE UKWELI.
 
Huu mgogoro ni complex sana kwani chanzo chake sio tu ile genocide ya 1994 bali unaanzia mbali zaidi na uzoefu wao hao wahusika suluhisho wanalojua ni njia ya kuuana. Mgogoro huo pia unakuzwa na wale Walio madarakani na zaidi kuna utoaji wa silaha kama sehemu ya kuwaunga mkono makundi ya wale wanaokinzana yanayopatikana pande zote mbili mahasimu. Ukisikiliza maelezo kutoka kila Upande utaona kana kwamba "kundi linalotoa maelezo" wana Uhalali wa kufanya kile wanachokifanya -Mapambano ya kujitetea lakini ukihoji: Kwani ni lazima umuue mpinzani wako ili amani ipatikane? Hupati majibu au maelezo yaliyonyooka. Tena utagundua kwamba wapo baadhi ya viongozi wa kidini(Imani) bila kuwasahau wanaSiasa wana mkono katika vurugu hizo ndani ya nchi na hata nje ya nchi. Kwa mantiki hiyo hata mchakato wa kuisaka suluhu au Amani na Maelewano unaanzia wapi? Hiyo sumu imeshaenea hadi rohoni ndani kabisa mwa wahusika i.e. makabila hayo mawili.Makabila hayo yametawanyika - waliopo Congo DRC wapo wakimbizi na wenyeji kabila hilo hilo moja lakini pia wapo waliopo nchini mwao Rwanda na Burundi nchi zao asilia. Katika mchanganyiko huo Mseto/Mixer sio rahisi kuwatenganisha na wakati huo huo Kundi lenye nguvu zaidi linawasaka mahasimu wao ili kuwashikisha adabu n.k. It is a very complicated issue.
Ni Mungu tu pekee awafanyie wepesi ili wajitambue na kuachana na hiyo "biashara" ya kuuana hovyo. Watu wanasingizia eti ni madini (Uchumi)lakini ukiangalia kwa undani zaidi utaona kwamba madini yanaweza kuchukuliwa bila kuuana na sio Wahutu rika zote au Watutsi rika zote wote wanayatafuta hayo madini. Lakini kwenye kuuana wanauawa wote wadogo kwa wakubwa hadi wazee na akina mama. Ngumu hiyo kitu Aisee.
 
Kwa hiyoi watusi walikuwa wanaweka shingo xzikatwe
Ulikuwa ni mpango uliopangwa na serikali ya Kihutu ya Rwanda wakati huo na raia wa asili ya Kitutsi walikuwa wananyimwa hata passport ya kusafiria.

Mimi sio kwamba naongea tu nilikuwa huko Rwanda mimi ni Dereva wa Lory la mizigo ninajua jinsi jamii za Kitutsi zilivyokuwa zikibaguliwa.
 
Mwanzilishi alikua PK huyo huyo akiwa Rwanda; Wahutu hawakua na sababu yoyote ya kuwaua Watutsi while Wahutu walikua madarakani. Watutsi wana amini wao ndio wanatakiwa kua watawala popote watakapokua
Hizo ni Propaganda za Wahutu Rwiygema na Kagame waliomba kurudi Nyumbani Rwanda lakini Habyarimana akasema Rwanda ni "Akazu" maana ni Kibanda kidogo kwamba Rwanda ni ndogo.

Ndipo walipoamua kutumia Mitutu kurudi kwao.

Kama hamjui historia ya maziwa makuu tuulizeni sisi wazee acheni kuleta Propaganda za Tiktok na Instagram.
 
Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe.

Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi ushahidi wowote kuthibitisha madai hayo lakini haohao wanaodaiwa kuchochea huo mgogoro ndio tena wameamua kuchukua hatua madhubuti ili kuukomesha huo mzozo.
************************************************************************
Bunge la Ulaya limeitaka Umoja wa Ulaya siku ya Alhamisi kusimamisha uungwaji mkono wa moja kwa moja wa bajeti kwa Rwanda hadi itakapovunja uhusiano na waasi wa M23 wanaoongozwa na Watutsi na kuruhusu ufikiaji wa kibinadamu katika maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako walisonga mbele.

Bunge pia lilitoa wito wa kusitishwa kwa mkataba wa maelewano kati ya Rwanda na EU ambao unalenga kusaidia usambazaji wa madini ya kimkakati ya Rwanda, hadi Rwanda itakapoacha kuingilia Kongo.

Ulaya fuateni nyayo za babu hadi akina Luka na genge lao waombe poo.
 
Hizo ni Propaganda za Wahutu Rwiygema na Kagame waliomba kurudi Nyumbani Rwanda lakini Habyarimana akasema Rwanda ni "Akazu" maana ni Kibanda kidogo kwamba Rwanda ni ndogo.

Ndipo walipoamua kutumia Mitutu kurudi kwao.

Kama hamjui historia ya maziwa makuu tuulizeni sisi wazee acheni kuleta Propaganda za Tiktok na Instagram.
Kuuliza Wazee ni sawa kabisa na inafaa lakini pia kuutafuta Ukweli waweza kusearch kwenye vyanzo vingine tofauti-tofauti mitandaoni ili kuepuka habari zitakazokuwa zinaegemea upande mmoja. Sio Wazee wote ni wasema ukweli.
 
Back
Top Bottom