Shida ni uthubutu hatuna.Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.
Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Pia ndege zake zisipite anga letu. Kimbaumbau atanyooka.Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.
Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Aliyemlipua Habyarimana na mwenzake ni Theoneste Bagosora Mhutu mwenye msimamo mkali.wenye chuki ni watutsi ambao walikuwa na tabia ya kulipua marais wahutu
Ukisikia "Kunyonga kwa mkono bila kamba" ndo mfano wake huo 👆 👆 👆. Ni siku moja tuu au ikizidi sana ni wiki moja mtu anaomba poo. Likifanyika hilo manake nchi inakuwa practically ime-cease (imesimama) hakuna huduma yoyote inayoweza kutolewa na Serikali isipokuwa mazishi.Kwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.
Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Mwanzilishi alikua PK huyo huyo akiwa Rwanda; Wahutu hawakua na sababu yoyote ya kuwaua Watutsi while Wahutu walikua madarakani. Watutsi wana amini wao ndio wanatakiwa kua watawala popote watakapokuaMgogoro wa Genocide ya Rwanda ulikuwa na maslahi gani?! Ilikuwa ni chuki tu dhidi ya Kabila la Watutsi.
Rais tuliye naye hana ubavu wa kumvimbia KagameKwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.
Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Lakini Akiamua anaweza. Ni suala la kuthubutu ili kuyanusuru maisha na uhai wa waathirika. Haki na Amani vitawale. Wote wana Haki ya kuishi kwa Amani pale walipo kwa kuzingatia Sheria na Taratibu zilizokubalika.Rais tuliye naye hana ubavu wa kumvimbia Kagame
Kwa hiyoi watusi walikuwa wanaweka shingo xzikatwe bila hata kujitetea? Hao wahutu hawakufa je ni idadi gani? Wale askari wa kihutu walioko huko Congo wametoka wapi? Je wanapigana na hao watusi wa Congo? Ina maana hao watusi wa Congo ndio ewana shida ya kuwafukuza wahutu wealiokimbia mauaji ya kimbari kutoka kwa watusi wa rwanda. UKWELI USSEMWE. AU MNASEMAJE WANA JF? TUJUE UKWELI.Mgogoro wa Genocide ya Rwanda ulikuwa na maslahi gani?! Ilikuwa ni chuki tu dhidi ya Kabila la Watutsi.
Huu mgogoro ni complex sana kwani chanzo chake sio tu ile genocide ya 1994 bali unaanzia mbali zaidi na uzoefu wao hao wahusika suluhisho wanalojua ni njia ya kuuana. Mgogoro huo pia unakuzwa na wale Walio madarakani na zaidi kuna utoaji wa silaha kama sehemu ya kuwaunga mkono makundi ya wale wanaokinzana yanayopatikana pande zote mbili mahasimu. Ukisikiliza maelezo kutoka kila Upande utaona kana kwamba "kundi linalotoa maelezo" wana Uhalali wa kufanya kile wanachokifanya -Mapambano ya kujitetea lakini ukihoji: Kwani ni lazima umuue mpinzani wako ili amani ipatikane? Hupati majibu au maelezo yaliyonyooka. Tena utagundua kwamba wapo baadhi ya viongozi wa kidini(Imani) bila kuwasahau wanaSiasa wana mkono katika vurugu hizo ndani ya nchi na hata nje ya nchi. Kwa mantiki hiyo hata mchakato wa kuisaka suluhu au Amani na Maelewano unaanzia wapi? Hiyo sumu imeshaenea hadi rohoni ndani kabisa mwa wahusika i.e. makabila hayo mawili.Makabila hayo yametawanyika - waliopo Congo DRC wapo wakimbizi na wenyeji kabila hilo hilo moja lakini pia wapo waliopo nchini mwao Rwanda na Burundi nchi zao asilia. Katika mchanganyiko huo Mseto/Mixer sio rahisi kuwatenganisha na wakati huo huo Kundi lenye nguvu zaidi linawasaka mahasimu wao ili kuwashikisha adabu n.k. It is a very complicated issue.Kwa hiyoi watusi walikuwa wanaweka shingo xzikatwe bila hata kujitetea? Hao wahutu hawakufa je ni idadi gani? Wale askari wa kihutu walioko huko Congo wametoka wapi? Je wanapigana na hao watusi wa Congo? Ina maana hao watusi wa Congo ndio ewana shida ya kuwafukuza wahutu wealiokimbia mauaji ya kimbari kutoka kwa watusi wa rwanda. UKWELI USSEMWE. AU MNASEMAJE WANA JF? TUJUE UKWELI.
Ulikuwa ni mpango uliopangwa na serikali ya Kihutu ya Rwanda wakati huo na raia wa asili ya Kitutsi walikuwa wananyimwa hata passport ya kusafiria.Kwa hiyoi watusi walikuwa wanaweka shingo xzikatwe
Hizo ni Propaganda za Wahutu Rwiygema na Kagame waliomba kurudi Nyumbani Rwanda lakini Habyarimana akasema Rwanda ni "Akazu" maana ni Kibanda kidogo kwamba Rwanda ni ndogo.Mwanzilishi alikua PK huyo huyo akiwa Rwanda; Wahutu hawakua na sababu yoyote ya kuwaua Watutsi while Wahutu walikua madarakani. Watutsi wana amini wao ndio wanatakiwa kua watawala popote watakapokua
Ulaya fuateni nyayo za babu hadi akina Luka na genge lao waombe poo.Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe.
Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi ushahidi wowote kuthibitisha madai hayo lakini haohao wanaodaiwa kuchochea huo mgogoro ndio tena wameamua kuchukua hatua madhubuti ili kuukomesha huo mzozo.
************************************************************************
Bunge la Ulaya limeitaka Umoja wa Ulaya siku ya Alhamisi kusimamisha uungwaji mkono wa moja kwa moja wa bajeti kwa Rwanda hadi itakapovunja uhusiano na waasi wa M23 wanaoongozwa na Watutsi na kuruhusu ufikiaji wa kibinadamu katika maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako walisonga mbele.
Bunge pia lilitoa wito wa kusitishwa kwa mkataba wa maelewano kati ya Rwanda na EU ambao unalenga kusaidia usambazaji wa madini ya kimkakati ya Rwanda, hadi Rwanda itakapoacha kuingilia Kongo.
Kuuliza Wazee ni sawa kabisa na inafaa lakini pia kuutafuta Ukweli waweza kusearch kwenye vyanzo vingine tofauti-tofauti mitandaoni ili kuepuka habari zitakazokuwa zinaegemea upande mmoja. Sio Wazee wote ni wasema ukweli.Hizo ni Propaganda za Wahutu Rwiygema na Kagame waliomba kurudi Nyumbani Rwanda lakini Habyarimana akasema Rwanda ni "Akazu" maana ni Kibanda kidogo kwamba Rwanda ni ndogo.
Ndipo walipoamua kutumia Mitutu kurudi kwao.
Kama hamjui historia ya maziwa makuu tuulizeni sisi wazee acheni kuleta Propaganda za Tiktok na Instagram.
Kwa mstari hu, tunakubaliana kwamba is PK ndio alianzisha mauaji ya Watutsi wenzie ili ipatikane sababu ya mauaji ya kimbari, right?Ndipo walipoamua kutumia Mitutu kurudi kwao.
Sio kweli.Kwa mstari hu, tunakubaliana kwamba is PK ndio alianzisha mauaji ya Watutsi wenzie ili ipatikane sababu ya mauaji ya kimbari, right?