Jichunge na Propaganda za Tiktok Instagram nk.Kuuliza Wazee ni sawa kabisa na inafaa lakini pia kuutafuta Ukweli waweza kusearch kwenye vyanzo vingine tofauti-tofauti mitandaoni ili kuepuka habari zitakazokuwa zinaegemea upande mmoja. Sio Wazee wote ni wasema ukweli.
Basi unaandika kitu usicho kijua; nimenukuu maandishi yako mwenyeweSio kweli.
Yaani angalia Haiti ni asilimia kubwa ni weusi pamoja na kuwa Iko mamtoni ni shida tupu,eeh Mungu inusuru ngozi nyeusi!Waafrika tumeshindwa kutatua mgogoro huu hadi Wazungu watusaidie. Tunaweza jambo gani sasa? Je, sisi ni Kima tuliochangamka? 🤔 Hii ni aibu kwa Africa.
Sisi ngozi nyeusi tuna matatizo ya problem sana.Yaani angalia Haiti ni asilimia kubwa ni weusi pamoja na kuwa Iko mamtoni ni shida tupu,eeh Mungu inusuru ngozi nyeusi!
Tanzania na Kenya want uwezo wa kuilazimisha Rwanda kupiga magoti wakidhamiria. Lkn sasa.........Waafrika tumeshindwa kutatua mgogoro huu hadi Wazungu watusaidie. Tunaweza jambo gani sasa? Je, sisi ni Kima tuliochangamka? 🤔 Hii ni aibu kwa Africa.
Kuna usafiri wa ndegeKwa ninavyo faham Kenya na Tz zikiamua kuiambia Rwanda hakuna kupitisha biadhaa zako bandari zetu.Rwanda anashika adabu haraka sana.
Atapeleka wapi Kahawa yake? ni atapokea wapi bidhaa nyingine?
Kazi kwisha
Mkuu ukweli uko waz, tufanye hatujui kuhusu watutsi na wahutu katika tukio la 1994.Lakin tuchukue picha ya tabia za sasa za hizo jamii mbili,hususan vita ya congo.Kwa hiyoi watusi walikuwa wanaweka shingo xzikatwe bila hata kujitetea? Hao wahutu hawakufa je ni idadi gani? Wale askari wa kihutu walioko huko Congo wametoka wapi? Je wanapigana na hao watusi wa Congo? Ina maana hao watusi wa Congo ndio ewana shida ya kuwafukuza wahutu wealiokimbia mauaji ya kimbari kutoka kwa watusi wa rwanda. UKWELI USSEMWE. AU MNASEMAJE WANA JF? TUJUE UKWELI.