Bunge la Ulaya lataka Lissu aachiwe mara Moja. Lamshangaa Rais Samia

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
"Vita dhidi ya TUNDU LISSU , ni vita dhidi yetu, ni vita dhidi ya Wanademokrasia , ni vita dhidi ya Interests za Ulaya na Dunia ya kidemokrasia ".... Bunge la Ulaya !!.

Kuna wajinga ,wajinga, machawa darasa la Saba, watakuja wawaambie Serikali na Dola ya watu wajinga "Sisi ni Nchi huru, hatupaswi kuingiliwa " 🤣🤣

Haya Tuone hao Wachina, Warusi na Wakorea watawasaidia nn!!.

Bunge la Ulaya lamshangaa Samia, lakiri baada ya Magufuli, Samia kushika madaraka wakawa na matumaini ya Kuheshimiwa Kwa misingi ya Demokrasia, Haki na Utawala Bora, lakini wanashangaa kuona Njia ya Samia aloichagia, sio njia ileeee ya Wanademokrasia !!!.

Your browser is not able to display this video.
Pia soma ~ European Lawmakers Condemn Lissu’s Treason Trial, Demand Immediate Release
 
Naungana na Bunge la Ulaya, IDU, Marekani, Gwajima na Gen z kutaka Lissu aachiwe mara moja
 
IDU ndio ule upuuzi kila mwenyekiti wa chadema ndio anakuwa mwenyekiti wa IDU,acheni kutuona kuwa watanzani wajinga Nyumbu nyie.
 
Hivi ile ya UKRAINE NA GAZA wamemalizaje ?
 
Elimu yako ya mwisho kabisa ya juu ni ngazi ipi???.


Nisije kua najibizana na Tauhidi wa Trainung institute
Ulichoandika naomba uandike kwa lugha tofauti na kiswahili ndio nitapima uwezo wako na akili yako kwa ujumla.
 
Bunge Lina nguvu sana hilo

Haliitaki mahakama Bali linamtaka samia

And at the same time linataka mahakama iwe huru
 
Hamjachoka tu kuandika habari za wazungu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…