Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,636
- 2,020
PUPPET wa Waarabu humuoni kabisa, eti? Anagawa tu vipande vya ardhi yetu kwa "WAJOMBA ZAKE" kama njugu, IDIOT.Lissu ni puppet (kibaraka) wao. Kupitia kwake akiwa rais nchi yetu itaklrudi kwenye himayayao. Lazima tupambane nao kama walivyopambana na babu zetu akina Mkwawa wa wahehe Mirambo wa wanyamwezi na Kinjekitile wa wagoni etc