SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
Hayo yote ni mafront.
Wanajitutumua.
Nyuma ya pazia wanatamani asingekuwepo.
Hakuna beberu anayetaka "Interest" zake ziguswe guswe-hawataki sintofahamu.
Si mlisema nchi imefungwa enyi mazuzu, leo imefunguliwa, halafu aje mhaini(...) aharibu mrija wao uliofungwa? 🤬
😅😌Hadaa za Kisiasa ndivyo zilivyo.
"Walimwengu embu acheni maneno maneno"
...Wacha waseme, mwisho watachoka...
Goma la sikinde lnaendelea.
Kazi ziendelee